Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shaaban ametolea ufafanuzi juu ya Msajili wa Vyama kufuta usajili wa chama.Kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya.
Ufafanuzi: "Kifungu cha 19(3)...
Nimepata kumsikiliza Bernard Membe. Hotuba yake, manuwio na matatajio yake. Lakini pia nimepata kumsikiliza Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif na Kiongozi Zitto Kabwe.
Kuna...
Mwandishi wa Habari Uhuru Media Group (UMG) Hamis Shimye amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mgombea Ubunge jimbo la Handeni vijijini Hussein Msopa maarufu kama Sheikh Sharif Majini ni mmoja wa wagombea walionitokeza leo na amefika ofisi za CCM wilaya ya Handeni kwa ajili ya kusalimia na...
Rais Magufuli baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dodoma amenena kwamba viongozi mbalimbali hawaridhiki kabisa na madaraka hasa waliozaliwa mwaka 82 (1982).
Pia soma> Uchaguzi 2020 -...
Happiness Essau ALITAKA JIMBO LA BUKOBA MJINI, AJITOSA KUCHUKUA FOMU
Bi Happiness Essau akikabidhiwa fomu yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi...
Sijui ni ndoto ama lah ila hawa ndio wabunge wa jimbo la Moshi Vijijini na Vunjo. Japo lakini mimi sio mpiga ramli. Dr Kimei nimefanya nae kazi alikuwa boss wangu CRDB na Comrade Victor Tesha...
Yawezekana jambo hilo likaonekana ni la kawaida lakini CHADEMA jimbo la Geita kuna fukuto kubwa sana kwani kura za maoni zinakipasua chama, mwisho wake ni mbaya, viongozi tazameni hilo kwa ukaribu.
Hii ya Rais wa sasa kuwakataza wateule wake wasiende kugombea eti kuwa waridhike na akiwataka kuingia kwenye Baraza la Mawaziri atawateua.
Najiuliza ameshajihesabia kuwa ameshashinda? Kwa Mamlaka...
Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya...
Tetesi
Members, wasibezwe hili kundi la CCM mpya na waongeaji watapita kwa kishindo kikuu kwa lengo maalum bungeni kubadili katiba na Kuongeza muda wa Rais kutawala
Kauli ya Rais mstaafu Mwinyi...
Huyu kamanda alikuwa diwani wa Tabata , ni mtu shupavu asiyekubali kuburuzwa kibwege , baada ya kutambua hilo wanachadema wa Rombo wamempitisha kugombea ubunge ili kuziba pengo la msaliti Selasini...
1: Sehemu nyingi duniani viongozi wakuu wa vyama ndio huongoza vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu walk wakiwa ndio wagombea Dhidi ya aliye madarakani ( incumbent). Zitto ndio kiongozi mkuu wa...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo.
Pia...
Salaam,
Za masiku wandugu...
Nimeona humu kuna watu wanalalamika na kulialia kuhusu baadhi ya watu wanaoenda kuchukua fomu za kugombea ubunge hususan kwenye Chama Cha Mapinduzi.
Watu...
Mtoto wa Mfanyabiashara Maarufu Jijini Arusha, hayati Melleo Mrema, Michelle Mrema amejitokeza kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge kupitia nafasi ya UVCCM Mkoa wa Arusha na kunogesha idadi ya...
Wafuasi wa Mgombea Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma, wametupiana maneno na kutishana kuuana kwa Risasi, Wafuasi hao ni Mkiti wa CCM Wilaya ya Bunda Justine Lukaka ambae ni mbeba mikoba ya...
SISI CUF MGOMBEA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA RAIS WA ZANZIBAR WATAJULIKANA JULAI 27
"Mkurugenzi wa Mipango Na Uchaguzi CUF TAIFA Mhe. Juma Kilaghai ameyasema hayo Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.