KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,301
- 738
Jamani ufisadi na unyonyaji hautokaaa kuisha Tanzania.
Hii kampuni ya GSM ni jipuuuuuuu. Yaani Msione hivyo wanatoa misaada ni bonge moja la jipu.
Sasa bwana issue iko hivi;
Hawa wenye wenye Hii GSM sio Ndio wale Home Shopping Center, waliokuwa wanakula nchi kipindi cha Jakaya Kikwete. Sasa basi, hao wauza sura GSM foundation Ni Watoto wa kikwete, huyo kaka wa kushoto anaitwa Khalfan Kiwamba, kalelewa na kusomeshwa na Kikwete na mkewe. Yaani ni mtoto wao kasoro sio biological. Mpaka Harusi yake baba mzaa chema alikuwa Jakaya Kikwete. Huyu demu Mzungu sijui mkabila gani ni mkewe.
Mpaka hapo mmeipata Picha Eeeh?
Sasa Je, hao GSM wanapata nini kujifanya kutwa wanatoa misaada? Eeh bwana Eeh issue iko hivi. Nawaomba mniamni, huu sio umbea this is fact. Ni hivi Makonda ana kula na hawa GSM. Yaani Makonda njaa zake siku hizi zinamalizwa na hawa Home shopping Centre. Hawa Home Shopping Centre wamefungua makampuni kibao ila wameweka watu wengine wanajifanya sio zao.
Anachofanya Makonda ni nini? Makonda anawafosi Wakurugenzi wa Halmashari watoe tenda kwa hizo kampuni za hao kina Ghalib. Unaambiwa Makonda anawaambia kabisa Wakurugenzi wa Halmashauri hiyo tenda muwape kampuni fulani. Hizo kampuni zooooote ndo za hawa Kina Ghalib wakiwa wanashirikiana na Mkuu aliyemaliza muda wake. Makonda anapewa 10% yake Maisha yanaendelea.
Eeh bana Eeh mnakumbuka nilichonga sana kuhusu ofisini ya Makonda nikasema katumia pesa za walipa kodi? Eeh bana Eeh Ofisini imetengenezwa Na hawa GSM foundation .
Wamemnunulia na bonge moja la gari. Yaani Makonda ni fisadi kama yule Mkurugenzi wa Dar aliyemchongea kwa Magufuli kipindi kile. Yaani unaambiwa anavyowashurutisha Wakurugenzi wa Halmashauri kutoa Tenda kwa kampuni za hawa GSM. .
Jamani Eeh msidhani Magufuli hajui huu mchezo unaochezwa hapa between Makonda, Jakaya Kikwete na hawa Home Shopping Centre. Anajua vizuri. Unaambiwa Tanzania nzima hakuna sehemu yenye hela kama Halmashauri za Dar. Ukizishika basi wewe bilionea. Basi Sasa hivi ndio wamezishika hawa Home Shopping Centre na mkuu aliyepita. Msione wanatoa misaada, wanarudisha pesa zao Mara 20 zaidi kwa kumtumia Makonda.
Chanzo: Mangi Kimambi Instagram