Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania tumeangushwa na vizazi vyetu sana mpaka sasa 1. Vizazi vya wakina Nyerere na Mwinyi- Ujamaa wametuletea umasikini sana kiasi kwamba wakati Nyere anaondoka uchumi ulikuwa mbaya sana 2...
9 Reactions
13 Replies
724 Views
Salaam, shalom!! Lengo la mada hii ni kuwasaidia wote waombao Kwa Mungu ulinzi wa kimwili na kiroho. Lengo lingine pia ni kuwaondoa HOFU wale waombao Kwa mashaka, ulinzi atoao Mungu Kwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Taarifa kamili hii hapa, ni kutokea eneo la Vwawa Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Wananchi wa hapo wamekubaliana kwa kauli moja kwamba bila Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na...
14 Reactions
26 Replies
2K Views
Mji wenye pilika nyingi km Arusha unakuwaje na kastand kadogo kazamani km hii iliyopo? Utaambiwa kuna ubishani kati ya mbunge na viongozi wengine wa mkoa. Wananchi ndio wenye nchi ndio...
12 Reactions
41 Replies
3K Views
Yaani kupata watu ambao wanapedwa kweli CCM hii ni ngumu sana na ndiyo kitu wanachozidiwa na Chadema na hawapati namna. Viongozi wengi wameingia kwa rushwa na sio kupedwa kama zamani. . Ndiyo...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Duuh vita ikawa Kali sana, Mzee Mbowe akawa anataka Uenyekiti, hapohapo anataka Agombee Urais 🤣. Kumbe Lengo akiwa Mwenyekiti autumie kuwabana akina Lissu , Heche . Agombee Urais yeye, ili Samia...
12 Reactions
25 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini dhana ya No reform No election na kutafakari iwapo itafanikiwa. Kimsingi kuzuia uchaguzi ni ngumu katika nchi hii bila sapoti ya wananchi, wanachama, vyama vya...
1 Reactions
17 Replies
814 Views
Mbio za Mwenge 2025 zitahimiza Wananchi kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, amesema...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Waziri wa Ardhi , Mh Anjelina Mabula ametoa Marufuku hiyo alipotembelea Maonesho ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea Kwenye Barabara ya Kilwa Mjini Dar es Salaam. Amesema sababu kubwa ya kuzuia...
47 Reactions
119 Replies
15K Views
Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu...
6 Reactions
136 Replies
10K Views
Kuna umuhimu gani wa kwa wakurugenzi wote waliorekodi hasara kubwa katika mashirika ya umma wanayoyaongoza kuendelea kuwa kazini? Hakuna uwajibikaji katika utumishi wa umma kabisa na ukichunguza...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Huyu ndiye anaomba kurudi tena ikulu kwa miaka mingine mitano
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kupata hati safi kwa 99% baada y ukaguzi wa matumizi ya fedha za waTanzania kwenye mashirika, idara na taasisi za umma, ni kielelezo tosha muhimu sana cha uwazi, uwajibikaji, utawala bora na...
2 Reactions
18 Replies
867 Views
Kuna habari ya uwongo inayosambaa kuwa eti mjumbe wa kamati kuu Sigrada Mligo alipigwa na mlinzi mpaka kufikia hatua ya kulazwa hospitali. Habari nzima imejaa uwongo. Ukweli ni kuwa kwenye kikao...
15 Reactions
52 Replies
3K Views
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.
31 Reactions
111 Replies
5K Views
Wakuu, Diwani wa Kata ya Mshangano, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Samwel Mbano ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kwa maslahi mapana ya serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM? Aliyerudisha kadi ya Chama amesema ameamua kurudi CCM kwani Chadema hawana mipango inayoeleweka na kwamba...
3 Reactions
8 Replies
615 Views
Back
Top Bottom