Yaani kupata watu ambao wanapedwa kweli CCM hii ni ngumu sana na ndiyo kitu wanachozidiwa na Chadema na hawapati namna. Viongozi wengi wameingia kwa rushwa na sio kupedwa kama zamani. . Ndiyo maana CCM imechuja na njia pekee ya kushinda ni wizi.
Nani leo hii anaweza kufananishwa na majembe ya Chadema kwa kupendwa kihalisia😳
Nani leo hii anaweza kufananishwa na majembe ya Chadema kwa kupendwa kihalisia😳