Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi si mwandishi mzuri,ni mvivu kuandika mambo kwa undani. Nitaandika short & clear. Ndani ya miaka 5 ya uongozi wa Mh. Magufuli Watanzania kama wafanyabiashara, watumishi wa umma na watumishi...
21 Reactions
86 Replies
9K Views
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Kulwa Mang'ana, amepata ajali katika eneo la Boman'gombe wilayani Hai wakati akiwa njiani kuelekea wilayani Siha kwa lengo la kuchukua fomu ya kugombea...
14 Reactions
51 Replies
8K Views
U.S. Senate Foreign Relations. Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of...
37 Reactions
202 Replies
13K Views
Mgombea Jacob Tesha akipokea fomu za kugombea ubunge kutoka kwa Kaimu Katibu wa CCM, Wilaya ya Moshi Ndugu Nada Orry. Mtangazaji na Mwandishi wa Habari nguli nchini Ndugu Jacob Tesha leo...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Naomba nitangaze maslahi binafsi kwanza! Mimi ni Mzaliwa wa Shinyanga,Wilaya ya Kishapu. Hivyo ninaumizwa sana na uwakilishi hafifu toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hapa Tanzania mwaka 1992...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Membe jana kachukua Form ya kugombea Urais toka kwenye chama Cha ACT. Kwa mbaali namuona ulimi wake ukiteleza akiwa jukwaani na kusema Mambo yasiyoeleweka. Nimkubushe kuwa:- Sheria ya Usalama wa...
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Ni ombi tu kwa wenyeviti wa vyama shirika katika uchaguzi mkuu ambavyo ni Chadema, ACT Wazalendo na Chauma. Mara ya mwisho kushuhudia mdahalo wa wagombea urais ilikuwa ni 2015 kati ya January...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Wagombea 60 wa ubunge jimboni Shinyanga Mjini wamepewa onyo kali baada ya kujihusisha na vitendo vya rushwa. Katibu wa CCM mkoani Shinyanga amesema atalifutilia mbali zoezi la kura za maoni kama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukonga ni miongoni mwa majimbo 3 ambayo yapo katika Wikaya ya Ilala. Wengi wa wakazi ni wa kipayo cha chini na wachache cha kati. Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi, kama kawaida mengi hujitokeza...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi mwaka huu kimepata kazi ya ziada tangu kilipofungua mlango kwa watia nia kuchukua fomu za kuomba nafasi ya kugombea ubunge. Tangu tarehe 14 mwezi huu ofisi za chama zimekuwa...
3 Reactions
89 Replies
9K Views
Ndugu wanamabadiliko wenzangu mlioko ndani ya vikao vya maamuzi CHADEMA chonde chonde mnapoenda kwenye kwenye kura za kuteua mgombea wa urais tafadhalini kazi moja tu mlionayo fitina na figisu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika hali iliyowashangaza wengi, watia nia wapatao 55 wamejitokeza kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, ili wapitishwe kugombea Ubunge Jimbo la Chato. Ikumbukwe kwamba Jimbo la Chato...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Tumeshuhudia katika kipindi kisichozidi wiki moja, Rais Magufuli akifanya teuzi na tengua, za nafasi zaidi ya mia moja, katika nafasi zake za uteuzi, kama vile maRC, maDC, maDAS, maDED nk. Kitu...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Chama cha NCCR Mageuzi kimeingia choo cha kike kwa ahadi ya mbeleko toka CCM. Eti watapata wabunge 15 na kuwa chama kikuu cha upinzani. Tunatambua Serikali ya CCM itatafuta uhalali wa demokrasia...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Membe anahoji: "Je Tupo tayari kwenda kwenye Uchaguzi bila kuwa na tume huru? Tume huru ya Uchaguzi ndugu zangu, maana yake ni kwamba uwe na Tume katika ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa ambayo...
4 Reactions
96 Replies
10K Views
Leo tarehe 17 Julai 2020, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu na Mwanachama wa ACT Wazalendo Ndugu Bernard Membe atazungumza na waandishi wa habari. Ukumbi: Ofisi ya ACT Wazalendo Magomeni, Dar es...
6 Reactions
100 Replies
13K Views
Kumekucha CHADEMA. Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesema hajachukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA lakini hiyo haimzuii kugombea ubunge jimbo hilo hilo kupitia...
5 Reactions
65 Replies
10K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taarifa kwa Umma Jeshi la Polisi maeneo mbalimbali ya nchi yetu limepeleka barua kwa viongozi wetu ngazi za Wilaya wakiwataka kuwapelekea Majina ya...
23 Reactions
152 Replies
17K Views
Kwa mara ya mwisho alionekana Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akilalamika kuibiwa kura 2015 , naona sasa amekuja na mkakati mpya . Mytake : Wassira bado yupo
9 Reactions
38 Replies
6K Views
Back
Top Bottom