Uchaguzi 2020 U.S. Senate: Disturbing 'trend' of opposition party leaders in Tanzania being arrested leading up to Oct. Elections

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,660
2,000
U.S. Senate Foreign Relations.

Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.

IMG_20200625_051450.jpg

========

Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.

Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
6,966
2,000
Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Usitegemee ujio wa hao kwa wakati wowote hivi karibuni.

Unachoweza kufanya, ongeza juhudi mwenyewe nchini, omba msaada wa hali na mali uweze kuweka mapambano ya nguvu wewe mwenyewe.

Lakini kutegemea wao waje, huko ni kujipa matumaini hafifu sana.
 
Themagufulianz

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
3,904
2,000
Unajua wangapi ambao wameuawa bila kesi?

Hii ni kwa ajili ya video kwenda viral tu....

Na hata kushtakiwa kwao kulitokana na shinikizo la maandamano...

Ama unajilazimisha upofu ama huelewi...

Wako kati ya wale wa4 wanatembea mitaani furiiiii

Wajue wazungu....

Baada ya Floyd wangapi wameendelea kufa?

Waafrika zaidi ya wa4 wamenyongwa baada ya Floyd.
Polisi waliomuua Floyd wamefunguliwa mastaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,752
2,000
tunaelekea kwenye lockout.

SGR na Stiegler's Gorge tutamaliziaje siye yarabi toba!
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
17,728
2,000
Unajua wangapi ambao wameuawa bila kesi?

Hii ni kwa ajili ya video kwenda viral tu....

Na hata kushtakiwa kwao kulitokana na shinikizo la maandamano...

Ama unajilazimisha upofu ama huelewi...

Wako kati ua wale wa4 wamatembea mitaani furiiiii

Wajue wazungu....

Baada ya Floyd wangapi wameendelea kufa?

Waafrika zaidi ya wa4 wamenyongwa baada ya Floyd.
Hawa jamaa utawawezs ndugu yangu.

Wanaipenda US kwenye mifano yao,ila ukiiweka USA katika meza wanakula kona.
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
9,011
2,000
Polisi waliomuua Floyd wamefunguliwa mastaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.
Na hiyo ndiyo inatenganisha kati ya nchi zenye demokrasia, kama US, zenye kuwatendea haki raia wao na zinazofuata mfumo wa utawala wa sheria na zile zinazoongozwa kidikteta, kama ilivyo nchi yetu.

Uhalifu hutendeka katika mataifa yote. Tofauti kubwa ni namna wahalifu wanavyoshughukikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
1,013
2,000
Usitegemee ujio wa hao kwa wakati wowote hivi karibuni.

Unachoweza kufanya, ongeza juhudi mwenyewe nchini, omba msaada wa hali na mali uweze kuweka mapambano ya nguvu wewe mwenyewe.

Lakini kutegemea wao waje, huko ni kujipa matumaini hafifu sana.
Juhudi ndiyo hizi zineanza

1,Lissu kugombea urais, kubwa zaidi kurudi nchini, wamkamate kama alivyosema polisi yule, WAONE KITAKACHOTOKE.

2.Membe kugombea kupitia chama chochote, wamguse ANUKE,
Anaushawishi wa kimataifa, hata ivo ccm hawajui kuwa yawezekana mpango wa membe unaasisiwa kimataifa.
MUDA NI HAKIMU
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom