Uchaguzi 2020 Kila la Kheri Bernard Membe

Oct 7, 2019
51
156
Membe jana kachukua Form ya kugombea Urais toka kwenye chama Cha ACT. Kwa mbaali namuona ulimi wake ukiteleza akiwa jukwaani na kusema Mambo yasiyoeleweka. Nimkubushe kuwa:-

Sheria ya Usalama wa nchi namba 3 ya mwaka 1970 inakataza mambo mengi ambayo hayapaswi kufanywa na mtumishi wa Umma ambaye yupo kazini au ambaye utumishi wake umekoma.

Mambo hayo ni kama kutoa siri, kutoa habari za serikali kwa mtu asiyehusika kwa ajili ya matumizi ambayo hayana maslahi na Jamhuri, kutoa nyaraka za serikali, kuendelea kumiliki nyaraka za serikali kama ramani, mihuri, hati, mavazi, vitambulisho nk huku ukiwa utumishi wako umekoma.

Sheria ile inakataza mambo mengi ndio maana watumishi wengi ambao kwa mujibu wa kazi zao wanaweza kujua siri nyingi au kupata nyaraka nyingi za kiserikali ambazo ni nyeti basi masharti ya kazi zao ni pamoja kuapishwa kabla ya kuanza kazi.

Kuna mawili nayaona mbele kwa siku za karibuni, aidha ACT Wazalendo itapata janga la kisiasa au mgombea wake atatiwa nguvuni. Haya yanaweza kutokea yote mawili au moja Kati ya hayo.

2460307_Screenshot_2020-07-19_9_Thadei_Ole_Mushi_Facebook.jpg
 
Huyo ni mkakati wa serikali, ndio maana anasema hadharani kuwa yeye ni mtumishi mzoefu wa idara nyeti kinyume kabisa na sheria ya usalama wa taifa ya 1996 na hakamatwi.

Kwasasa nimeshaweka tiki kubwa kuwa Zitto sio mpinzani wa kweli, ni mamluki na ndio maana CDM walimtimua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom