Uchaguzi 2020 Saed Ahmed Kubenea: Sijachukua fomu za Kugombea Ubunge CHADEMA Jimbo la Ubungo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Kumekucha CHADEMA.

Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesema hajachukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA lakini hiyo haimzuii kugombea ubunge jimbo hilo hilo kupitia chama kingine

Maendeleo hayana vyama

======

Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea ameiambia JamiiForums kwamba hajachukua fomu ya kugombea Ubunge sababu hana mkataba unaombana kwamba lazima agombee wala sio lazima yeye kugombea Ubunge.
 
Kumekucha CHADEMA.

Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesema hajachukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA lakini hiyo haimzuii kugombea ubunge jimbo hilo hilo kupitia chama kingine.

Source Eatv

Maendeleo hayana vyama!
Keshasoma alama za nyakati...
SK hajawahi kuwa mpinzani tangu awali...
 
Back
Top Bottom