Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, leo tarehe 3 Aprili 2025, Umefanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata ya Mboliboli, tarafa ya...
Kwa sisi tunaomjua mbatia ni mwanasiasa Nguli na anapenda sana haki, mbona yupo kimya sana na haonekani kwenye media.
Tulitarajia hili suala la Bandari na bajeti ya kipumbavu iliyopitishwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa...
1. Mbowe rafiki yenu angekuwepo leo
2. No reform no election isingekuwepo leo
3. Lissu na Heche wasingekuwepo kwenye uwenyekiti leo
4. Chadema Nimo isngekuwepo leo wangekuwa wanasubiri pesa za...
Wazo la lissu ni mukide kabisa !! Rais apewe miaka mitatu ya mpito ili tufanye reforms za uhakika kuanzia katiba na maoni kwa wananchi kazi hii mpaka ikamilike itachukua sio chini ya miaka 3 ...
Katika kuweka malengo huwa unabidi usiangalie muda Ila unabidi kuangalia njia sahihi ya kutimiza hayo malengo.
Kutoa miaka mitatu ya kujipanga kuandaa reform , kuandaa katiba Mpya sio mbaya maana...
====
Wakati Tanzania na Watanzania kwa gharama kubwa wakiendelea kujiimarisha kifedha, kitaasisi na kirasimali watu ili kupambana na rushwa na Ufisadi nchini kwenye baadhi ya miradi na taasisi...
Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote.
Sasa...
Rais wangu Samia Suluhu Hassan anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T | SG kwa TZS 6.5T na miradi mingine huku akiachilia vicheko kwa makundi mbalimbali ya watanzania,
" Hakuna...
Hivi hivi Ndugu zangu, Ukweli ni kwamba , Yale Mabadiliko ya Sheria za Vyama vingi mwaka 1992, yalipoondoa Sheria ya Ugawaji majimbo kulingana na Idadi ya Watu, Kwa wakati ule wa Chama Kimoja, na...
Kama Kuna mwanaCCM kaisikiliza Hotuba ya LISSU kwa kutumia Akili zake with Open Heart and clear Mind , bila uchawa Wala kutanguliza matumbo na bila kushupaza Shingo.
Mtakubaliana namimi, MWAKA...
Kama upinzani utakomaa na no reform no election ni rasmi vituo vya kupiga kura vya kawaida kutatokea vurugu ambazo zitaharibu utulivu na polisi hawawezi tuliza ghasia vituo vyote nchi nzima...
Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo...
Mfumo wa CCM wakupata wagombea hautegemei kukubalika kwa wagombea kwa wanachama. Ni mfumo unaotegemea unajipendekeza vipi kwa wakubwa.
Mfumo huu umepelekea wanaccm wengi wenye akili na nguvu...
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa...
Kuna vitu vinafanyika nchini hadi unapatwa na vicheko ukifikiria yanayoendelea halafu watawala hata hawajali, wanapiga hela na wanatutambia
Baadhi ya mambo yanayochekesha nchini na serikali...
Lissu kataza awa wafuasi wako kuendelea kutumia jina la Soka kufanya siasa chafu za chuki.
Mnawaumiza ndugu zake Soka kuendelea kutumia maswahibu yaliyomkuta huyu kijana kupata uungwaji mkono...
Siku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi.
Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha...
Maandalizi ya mkutano wa viongozi wa Chama Taifa na watia nia wa nafasi ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini yamekamilika katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chama, Mikocheni Dar es salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.