Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeielekeza Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum katika mradi wa ujenzi wa kituo cha...
0 Reactions
2 Replies
650 Views
Meneja wa Bandari ya Mtwara, Ferdinand Nyathi amesema Serikali imegharamia na kuisadia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kusaini mkataba na Mkandarasi ambaye ni kampuni ya China...
1 Reactions
4 Replies
471 Views
https://youtu.be/eUJUVzmpAIg Katibu Mkuu Chadema, John Mnyika Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amesema kuwa chama cha Chadema kitaendelea na mpango wake wa kuzuia uchaguzi kwa sababu hakuna...
2 Reactions
6 Replies
565 Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko Benki ya Dunia Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa...
13 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakuu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza leo Aprili 4, Songea kwenye Mkutano Mkuu maalum wa Jukwaa hilo, amesema chini ya Uongozi wa Rais Samia Uhuru wa...
0 Reactions
8 Replies
777 Views
Gwiji la siasa Tanzania limesema, nani atabisha? Huyu ni moja ya mabingwq wa tathmini za siasa ambaye nchi hii haijawahi kupata. Mbowe mitano tena.
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Bado sijaelewa kisa chake hasa cha jambo hili kuibuka ghafla namna hii, Unaambiwa ziko hata kofia ambazo quality yake ni kama ya Mamtoni hivi. Zinavutia sana kiasi ambacho wadau wa vyama...
13 Reactions
46 Replies
2K Views
Akizungumza katika mkutano mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, March 04, 2025, Ruvuma. Naibu waziri wa Habari, sanaa na Michezo na utamaduni Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amevitaka vyombo vya habari...
1 Reactions
4 Replies
650 Views
Nilijizuia kulisema hili muda mrefu Ila niweke wazi maana naona inazidi kudhirika nilichokuwa naona kuhusu mh Lisu. Kiu yetu kubwa ilikuwa kwanza mabadiliko ndani ya chadema haswa nafasi ya juu...
1 Reactions
2 Replies
522 Views
https://www.youtube.com/live/-ws4Ojesg7U Vijana katika sekta isiyo rasmi wapo 80%. Kila uchao wanahamishwa na kukimbizwa. Hawana bima ya afya wala pensheni. Ndio maana nasema Vijana tuungane na...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa amesema serikali ipo katika hatua muhimu za kuanza ujenzi wa reli ya kisasa ya treni za mwendokasi (SGR) katika mikoa ya...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
"Tumeenda Ikulu baada ya uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020, kwa kauli ya Rais mwenyewe amesema yaliyojitokeza 2019 na 2020 hayatajirudia tena. Tumeshiriki kikao, Mwenyekiti Mbowe anatuongoza...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM...
14 Reactions
195 Replies
60K Views
Ni kama vile mikutano ya Tundu Lissu, ilikwenda kuibua na kuchochea migawanyiko baina ya wanaopinga no reform no elections dhidi ya wale wanaoiunga mkono dhana hiyo potofu isiyo na umuhimu wala...
4 Reactions
63 Replies
2K Views
Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa akizungumza na Clouds FM amesema "Ukisikiliza ile ripoti ya CAG utaona Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Serikali amempongeza Rais...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, Khalifa Mtukura amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa miongoni mwa wanachama 26 waliohama kutoka vyama...
0 Reactions
6 Replies
487 Views
Ukiwasilkiliza vizuri wale wanaochukuliwa na kuitwa wasomi wetu serikalini, unachukia maana ya neno usomi. Hebu jikumbushe wasomi wetu wanaotia aibu na mashaka kama vile: Prof Paramagamba Kabudi...
1 Reactions
7 Replies
550 Views
Baraka za Idd El Fitri zimfikie kila mmoja wetu popote Alipo, tusherehekee kwa Amani. Baada ya Utangulizi huo Muruwa, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja. Ni hivi, Ile kampeni Tukufu ya No...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
https://youtu.be/_X_QgulWKlM?si=kz5G6jk79XVRX1R8 Safari hii hatutaki comed, tunataka uchaguzi kweli. Wewe Yanga unaenda kwenye match dhidi ya Simba ambayo refa na jopo lake lote wameteuliwa na...
4 Reactions
5 Replies
484 Views
Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Geita kimekemea baadhi ya wanachama wake ambao wanaendesha kampeni za chini chini kabla ya wakati jambo ambalo linakiuka katiba ya chama Mwenyekiti wa CCM mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
295 Views
Back
Top Bottom