PreGE2025 UVCCM Iringa vijijini yatembelea miradi ya maendeleo mboliboli

PreGE2025 UVCCM Iringa vijijini yatembelea miradi ya maendeleo mboliboli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
418
Reaction score
550
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, leo tarehe 3 Aprili 2025, Umefanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata ya Mboliboli, tarafa ya Pawaga, Wilaya ya Iringa.

1.png
Ikiongizwa na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, akiogozana na kamati ya utekelezaji, wametembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo. ikiwemo Shule ya sekondari Mboliboli.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Miradi hii ya maendeleo imesaidia sana kuboresha huduma za kijamii, hasa katika sekta ya elimu. Tunaona ongezeko la idadi ya wanafunzi wanaopata elimu Hii ni kutokana na juhudi za viongozi wetu, kuanzia madiwani ,Wabunge ambaye ni William Lukuvi chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ambao wamejizatiti kuhakikisha maendeleo yanafikiwa," alisema Kidavile.

Ziara hiyo pia ilihusisha uzinduzi wa shina la bodaboda la UVCCM katika kata ya Mboliboli. Wilayani Iringa.

Screenshot 2025-04-04 084447.png
Screenshot 2025-04-04 084533.png
 
Back
Top Bottom