Yupo wapi James Mbatia ukimya wake unaleta sintofahamu

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,837
Kwa sisi tunaomjua mbatia ni mwanasiasa Nguli na anapenda sana haki, mbona yupo kimya sana na haonekani kwenye media.

Tulitarajia hili suala la Bandari na bajeti ya kipumbavu iliyopitishwa bungeni na wasiojitambua angekuwa kawapa vidonge vyao ila no any information about him

Je, yu Wapi Mbatia wana NCCR Mageuzi njooni mtupe majibu tafadhari Mbatia sio Mali yenu ni mali ya Watanzania
 
Kaamua kutulia ale maisha yake vizuri uzeeni..kuitisha press conference Kila mwezi na kuwaelezea mazombie kuwa watawala wao hawafai alafu wanakutazama tu,ni kazi ambayo inachosha....
 
Back
Top Bottom