Je chadema watatumia mbinu hii ya kufanyia vyama vingine vurugu ili visipitishe wagombea, au kitawadhuru au hata kuwatishia maisha watu watakaotumia haki yao kugombea pamoja na familia zao?
Haya...
====
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzània (PPP-Centred) Bw. David Kafulila ametoa wito kwa Sekta binafsi au watu binafsi wenye mitaji, teknolojia na...
Bado nitaendelea na msimamo ule ule wa CHADEMA kuwafuta uanachama, wanachama wanaotaka kukwamisha mipango ya chama.
Kama ningekuwa sehemu ya maamuzi ya CHADEMA, ningeshauri wajibiwe hoja zao zote...
Jana Mjadala wa suala la IPTL kupitia Jamii Media JamiiForums
umezuiwa kwa hoja kwamba jambo lipo mahakamani. Sikubaliani na tafsiri hiyo ya jambo kuwa mahakamani kwamba lisijadiliwe. Jambo hili...
Mkurugenzi wa Ubia nchi Bwana David Kafulila ameiambia ARIDHIO ya TBC kuwa sasa ni rasmi mtu au kikundi chochote chenye uwezo na nia ya kununua na kuendesha vichwa vya treni pamoja na...
Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu.
Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na...
Mi nadhani ukiona CHADEMA wanasema No Reforms No Election. Njoo CCM, TLP, ACT, CUF, NCCR, CHAUMA n.k mbona rahisi sana. Haina hata haja ya kujiuliza mara mbilimbili.
Hii kauli mbiu alianzisha...
Kwenye kikao cha watia nia wa Chadema walioitwa HQ Dar es salaam, ilitangazwa rasmi kwamba tayari ndugu Tundu Lisu ameshawasilisha barua ya kutangaza nia ya kugombea urais kwa katibu mkuu wa...
TRA YAKUSANYA TRILIONI 7.53 JANUARI HADI MACHI 2025 .
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na...
Wakati uongozi wa Chadema ukikutana na watia nia ya kugombea ubunge na udiwani katika ofisi ya makao makuu jijini Dar es Salaam Machi 3, 2025, kundi hilo linaundwa na wagombea na watiania wa...
Tanzania imeshika nafasi ya 5 Duniani Kwa Mazingira Bora ya Utayari wa kufanya biashara ikijinyakulia pointi 78.73 kati ya 100.
Vipengele vilivyoibeba Tanzania ni Operational efficiency na...
No reforms No election ni kaulimbiu inayopanga kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 ikiwa hakutakuwa na Reforms za Uchaguzi. Kwa hiyo itakuwa kama ifuatavyo:-
1. Wapinzani watazuia...
Kwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake
1. Akiikubali na kufanya Reform anakuwa Rais wa Kipindi cha Mpito cha Miaka 3 na kwa kuwa sifa zote atapata yeye kwa kukubali Reforms...
Huyu ni mwanamke wa shoka.
Dodoma ni mkoa wenye harakati nyingi sana za kisiasa na kiserikali. Lakini huyu mama kazimudu bila kuwa na kashfa yoyote ole wala mikwaruzano.
Nadhani anastahili...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni kosa la kisheria na kikatiba kukilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki uchaguzi bali kiungwe...
!!!!!!!
Tuache kuingizwa kwenye mtego na watu walio busy kuwaza jinsi ya kutengeneza uchochoro wa kupiga pesa kwa kuongeza zaidi dau la malipo kutoka kwa walipaji maana watu wa aina hii mbele ya...
Naamini Watanzani wengi wanataka mageuzi ila walikosa mtu sahii wa kuwasemea katika mda sahihi,Walipita Viongozi wengi kuanzia kina Mrema, Lipumba,Mbatia mpaka Mbowe,lakini wote waliwasi wanainchi...
CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi...
Ukisoma huo waraka sehemu ya tatu aya ya 2 inasema lengo la kupitisha "No reforms, no election" ilikuwa si kuzuia uchaguzi bali kuhamasisha tu. Huo ndiyo ulikuwa mpango wa kauli mbiu?
Tunaposema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.