Five55
Senior Member
- Jun 14, 2024
- 170
- 162
Dunia iko Kasi sana.
Wakati Tanzania na Watanzania kwa gharama kubwa wakiendelea kujiimarisha kifedha, kitaasisi na kirasimali watu ili kupambana na rushwa na Ufisadi kwenye baadhi ya miradi na taasisi zetu mbalimbali ni wazi dunia inaondoka kwa Kasi kwenye mifumo hii ya control kwenda kwenye mfumo wa Private and Public Partnership project yaani PPP.
Wakati PPP Tanzania ikionekana na kuchukuliwa kama chanzo cha upigaji wa mali za Umma wa Watanzania hali ni tofauti sana huko duniani kwani PPP ni kama TAKUKURU ya Tanzania inavyopambana na rushwa na Ufisadi, Sasa hapa kama nchi au Taifa tunaweza tukaelewa umuhimu wa hii PPP ulivyo mkubwa kwa mustakabali wetu na ule wa watoto wa watoto wetu hasa katika miradi mikubwa ya maendeleo ya Taifa.
Tangu PPP Tanzania ipate Director mpya ambae ni mzalendo na kinara wa muda mrefu wa kupinga rushwa na Ufisadi nchini Bw David Kafulila nilielewa kabisa dhamira ya Rais Samia sasa inafanana kabisa na ile ya marais wengine wajanja duniani waliyoigeuza PPP kama njia na chombo mojawapo Cha kupambana na rushwa, Uzembe, matumizi mabaya ya fedha za Umma, Ufisadi, Utekelezaji wa chini ya kiwango wa miradi mbalimbali ya Serikali na mengine mengi,
Kuna kitu Watanzania sijui kama wanakifahamu vema,
Watanzania kwa mfano tunafahamu kila mwaka katika kila Kodi tunazolipa baadhi yake zinapelekwa kulipia gharama za kuendesha na kuendeshea denge zetu za Air Tanzania au shrikika letu la simu TTCL , kama huelewi jaribu kujipa muda ukasome ripoti za CAG za miaka mitano mfufulizo ukianza na ripoti ya Sasa.
Natamani kuona siku moja chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan miradi yote ya Serikali inayoiletea Serikali yetu hasara iendeshwe kwa Ubia ili hata kama hatutapata faida ila tusitoe Kodi zetu sisi walala hoi kuzipeleka kuendeshea miradi ambayo inasura ya kibiashara kama ATCL au ATTCL.
Mfano, Leo Mchina atakayejenga njia 10 za kulipia Dar es salaam na ili kupunguza msongamano akapewa may be miaka 30 ya mkataba maana yake barabara zitakazojengwa na wachina hawa zitakuwa na ubora wa kutumika zaidi ya Miaka 30 tofauti na barabara zinazojengwa na kuharibika kila baada ya miaka miwili Mitatu huku Serikali ikitumia Kodi zetu kuzifanyia marekebisho hayo ya mara kwa mara.
My Take: ANAYEPINGA PPP NI YULE TU ASIYEELEWA FAIDA ZAKE AU NI MPIGAJI KWA ASILI.
Take Five🤛🏿