Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali: 1. Nina shughuli yangu sitaki...
3 Reactions
2 Replies
514 Views
Chadema, inahitaji kuponywa, tokea uchaguzi wake kumpata Mwenyekiti wake, mpaka sasa, kuna majeraha bado, ni kazi ya uongozi sasa kuwakutanisha uongozi uliopita ili kuteta na kuondoa tofauti...
0 Reactions
7 Replies
525 Views
Salaam wakuu, Imenibidi niingie uringoni kutoa mawazo yangu kuhusu harakati za uchaguzi mkuu ulioko mbele yetu. Binafsi naamini hakuna jambo zuri lisilokuwa na upinzani. Binafsi naamini hoja ya...
4 Reactions
39 Replies
974 Views
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Jimbo la Mtama, Ambako Ile No Reform No Election inafundishwa muda huu. Baada ya Mkutano kuanza wananchi waliomba Nafasi ya Kumfuta Ubunge Nape Nnauye kwa Tuhuma...
18 Reactions
43 Replies
2K Views
Ningeanza na kurudisha hela nilizokula hata Kama zimebaki chache . Baada ya hapo ningekimbilia nje ya nchi. Ahsante
0 Reactions
4 Replies
303 Views
Naona ngojera zimepamba moto kila anaye kwenda tofauti kimtazamo na dikteta uchwara ana tenguliwa bila kufatwa kwa taratibu...ombi letu ni moja No reform haipingwi ila wakati ukifika wote wasihame...
2 Reactions
10 Replies
558 Views
TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU. NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO. Anapaswa kurudi tena darasani kusoma nini maana ya siasa kabla ya kile Chama Cha Ufipa kumfia...
0 Reactions
4 Replies
300 Views
Sumbawanga leo imezizima. Kila kona ni Lissu. Leo Lissu amefanya mkutano wa aina yake Sumbawanga mjini. Baada ya Wananchi kukoshwa na sera zake pamoja na elimu murua aliyotoa wamefanya maandamano...
13 Reactions
60 Replies
4K Views
Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024...
9 Reactions
96 Replies
7K Views
"G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Ninaomba mnieleweshe,nimeshindwa kuielewa!
2 Reactions
7 Replies
706 Views
Inashusha heshima ya serikali kuiba kura au kufumbia wizi wa kura serikali ni chombo kitakatifu hakipaswi kufanya hayo.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye...
1 Reactions
2 Replies
369 Views
Agenda ya CHADEMA ya No reform No Election imepelekea baadhi ya wanachama wa CHADEMA kuelekea kuasi kwa sababu ya tumbo. Wengi wao wako pale kwa kutafuta masilahi na siyo vinginevyo. Agenda hii...
9 Reactions
11 Replies
615 Views
Naomba kujuzwa mamlaka ya Lissu kutengua uongozi wa wanachama katika nyadhifa mbalimbali anapatia wapi kwa mujibu wa katiba ya chama ? Na je, chama kimetoa nafasi ya yeye kufanya hivyo pasipo...
1 Reactions
23 Replies
814 Views
Hii ndio Taarifa ya Sasa inayozunguka mitandaoni, kwamba Muasisi wa Chadema, Edwin Mtei amepata Msiba wa Mdogo wake, hivyo baadhi ya Wadau wameshiriki katika kuwapa faraja Wafiwa. Pichani ni...
2 Reactions
14 Replies
901 Views
Kada wa CCM, Peter Msigwa baada yakumalizika kwa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi mjini Mbamba by, Ruvuma amevitaka vyama vya upinzani kunadi sera...
1 Reactions
11 Replies
633 Views
Ni vyama vile ambavyo vitashiriki uchaguzi mkuu na kuwasilisha wagombea na ratiba za kampeni ndivyo viruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa. Hii itaondoa mvurugano na vurugu zisizo na msingi, na...
4 Reactions
24 Replies
713 Views
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom