Vifo vya viongozi vyenye utata

Vifo vya viongozi vyenye utata

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi.

Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki

Kama ifatavyo
  • Karume
  • Edward Moringe Sokoine
  • Kighoma Malima
  • Horace Kolimba
  • Imrani Kombe
  • JK Nyerere
  • Salome Mbatia
  • Dkt. Omari Ali Juma
Orodha inaendelea
kibona
Mwaikambo
Kombe
Dr jumaa
Prof haroub
Professor Nicas Guido Mahinda
 
Kifo cha Karume sidhani kama kina utata, huyo si alipigwa risasi inasemekana na mtoto alieuliwa mzazi wake, nae akamlea baadae akamtungua na yeye ..kulipiza kuuliwa baba yake so hilo lipo wazi.

Kivumbi kipo kwa Kighoma Malima, Horace Kolimba, Imraan Kombe, Edward Moringe Sokoine. JK Nyerere lakini nae huyu alishazeeka ila nae alizidi kubana watu na sera zake za Ujamaa.

Msisahau na wale wanaopofuliwa macho kiaina,

Salmin Amour
Aboud Jumbe
 
Hivi kama CCM ni wauaji kiasi hiki kwanini bado kumeikumbatia....

Na yule Chacha Wangwe mbona hukumtaja ? aliuliwa na nani ? mbona nasikia M a gwanda walimuua eti kweli,... please ninong'oneze ... halafu nasikia jamaa alosababisha accident yake ameachiwa juzi juzi ...
 
Kifo cha Karume sidhani kama kina utata, huyo si alipigwa risasi inasemekana na mtoto alieuliwa mzazi wake, nae akamlea baadae akamtungua na yeye ..kulipiza kuuliwa baba yake so hilo lipo wazi.

Kivumbi kipo kwa Kighoma Malima, Horace Kolimba, Imraan Kombe, Edward Moringe Sokoine. JK Nyerere lakini nae huyu alishazeeka ila nae alizidi kubana watu na sera zake za Ujamaa.

Msisahau na wale wanaopofuliwa macho kiaina,

Salmin Amour
Aboud Jumbe
Je tanzania ukizeeka serikali ya CCM wana haki ya kukuua au hapa ulikuwa unataka kusema nini mkuu....Usukumani wazee huuliwa je ni sera ya CCM...
 
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi …
Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki, ni wakati mafaka hasa baada ya Mtoto wa marehemu Mwalimu JK Nyerere kuweka baya kuwa raisi mstafu ndg Benjamini Wiliam Mkapa alimuua Nyerere .
Kama ifatavyo

  • Karume
  • Edward Moringe Sokoine
  • Kighoma Malima
  • Horace Kolimba
  • Imrani Kombe
  • JK Nyerere
  • Salome Mbatia
Orodha inaendelea
  • Chacha Wangwe
  • Regia Mtema
 
  • Karume - Huyu aliuawa na mwanajeshi ambaye baba yake aliuawa na Karume akimwita ndumila kuwili
  • Edward Moringe Sokoine - Huyu aliuawa na wahuju uchumi akina Rashid Kawawa na Cleopa Msuya
  • Kighoma Malima - Huyu aliuawa na Kikwete kwa presha baada ya kufungiwa akaunti zake za Uingereza
  • Horace Kolimba - Huyu aliuawa na Mkapa na Nyerere baada ya matamshi yake kwamba ccm imekosa mwelekeo
  • Imrani Kombe - Aliuawa na Mkapa baada ya kutuhumiwa kumpigia debe Mrema
  • JK Nyerere - Aliuawa na Gonjwa Kubwa
  • Salome Mbatia - Aliuawa na Ajali za barabarani, labda ilikuwa ajali ya kupangwa.
 
Je tanzania ukizeeka serikali ya CCM wana haki ya kukuua au hapa ulikuwa unataka kusema nini mkuu....Usukumani wazee huuliwa je ni sera ya CCM...

acha kupotosha watu, kuchafua kabila la wasukuma nyambafu mkubwa we! unauhakika wazee wanauliwa usukumani?
 
Samahani mkuu huyu ni nani katika medani za siasa au alimu? au

Alikuwa Naibu Waziri wa Madini na Nishati then Biashara na Viwanda nadhani......was gunned down

ta57_scan-17-300x206.jpg

May 1, 1997 at 12:50 am

Once again Tanzania's unpredictable electorate has surprised the nation. This was in the second and third by-elections under the multi-party system. The results of the Magu, (Mwanza Region) by-election, following the death of the late MP Mr Malaki Lupondije and the Morogoro North by-election, following the murder of Professor Nicas Mahinda MP, are given below. Some mystery surrounds the death of Professor Mahinda. The police have been quoted as saying that the MP was probably killed by a bullet from his own shotgun fired by his mason, Mr Franco William, while some 30 armed bandits were raiding the professor's beach house in Dar es Salaam. Mr William was arrested.
 
Na yule Chacha Wangwe mbona hukumtaja ? aliuliwa na nani ? mbona nasikia M a gwanda walimuua eti kweli,... please ninong'oneze ... halafu nasikia jamaa alosababisha accident yake ameachiwa juzi juzi ...
Nimesema orodha inaendela na kuna wachangia wametaja ungetaja na wewe ningeongeza......na kuhusu kuuliwa na CHADEMA bado huiondolei CCM tuhuma maana wao ndiyo walio apa kuilinda katiba ambayao ni pamoja na usalama wa watanzania.
 
jamani mnataka watu wasife? Planet yetu itawezaje kuhimili watu kama kifo hakitakuwepo?
Kuna sehemu mtu amesema watu wasife.......je hao ni watanzania wa kwanza kufa tunataka serikali ya CCM itolee ufafanuzi utata wa vifo vya viongozi hao.
 
  • Karume - Huyu aliuawa na mwanajeshi ambaye baba yake aliuawa na Karume akimwita ndumila kuwili
  • Edward Moringe Sokoine - Huyu aliuawa na wahuju uchumi akina Rashid Kawawa na Cleopa Msuya
  • Kighoma Malima - Huyu aliuawa na Kikwete kwa presha baada ya kufungiwa akaunti zake za Uingereza
  • Horace Kolimba - Huyu aliuawa na Mkapa na Nyerere baada ya matamshi yake kwamba ccm imekosa mwelekeo
  • Imrani Kombe - Aliuawa na Mkapa baada ya kutuhumiwa kumpigia debe Mrema
  • JK Nyerere - Aliuawa na Gonjwa Kubwa
  • Salome Mbatia - Aliuawa na Ajali za barabarani, labda ilikuwa ajali ya kupangwa.
Sokoine na Salome Mbatia wote waliuwawa kwa jari za barabra iweje moja umeitolea maelzo kuwa aliuliwa na wahujumu uchumi na mwingine umesema ajari ya barabrani nani alithibitisha hayo...Mbona nasikilia salome mbatia aliuwawa baada ya kugundulika kuwa iko siku ataboa siri ya pesa za EPA maana yeye ndiyo aliepewa jukumu la kuzipokea kutoka kwa makampuni yalio kuwa yanazichukua benki kuu....
Je wewe una taarifa mhimu kulko Vicent Nyerere kuwa Nyerere alikufa kwa ngoma...
kwa kuwa ugonjwa wa Mwakyembe unafanana na wa mwalimu yaani ugonjwa wa gozi je Mwakyembe nae ana ngoma...
 
Wote hawa wameuwa kwa Ajali za barabarani, labda ilikuwa ajali ya kupangwa.

Hatutaki labda ndiyo maana tunaitaka serikali ya CCM itoe maelezo vifo vya viongozi wote vyenye utata....maana tumedhani sana sasa imetosha....kuna watu tuna walipa kwa kazi za kuchunguza
 
acha kupotosha watu, kuchafua kabila la wasukuma nyambafu mkubwa we! unauhakika wazee wanauliwa usukumani?
Hujui kama wazee wanauliwa usukumani.....wewe ni msukuma wa wapi? nikupe mfano
 
Back
Top Bottom