Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kama tunavyojua muda hausimami muda unakimbia tufanye magufuli tunaye hadi 2025 je ni nani atapeperusha bendera ya ccm mwaka wa 2025? huu ni mjadala unaondelea chini kwa chini kwa sasa kila...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Leo, kwenye uzinduzi wa ukawa kitu ambacho nimeona, 1) Mbowe analazimisha kitu ambacho akiwezekani kabisa kabisa, kwenye uzinduzi sikusikia point za maana kabisa tofauti na marudio ya magufuri...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Anasema Lisu nyota yake inangara sana, akiichezea hataipata tena. Anakubalika na kila mmoja. Asipoteze nafasi , asipoteze kete hii. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 10, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine, kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali...
0 Reactions
1 Replies
377 Views
SHIKWAMBI maana yake ni shinda kwa mbinu Kwa sisi wazee wa kwenye siasa za mchangani ukisikia mtu analalamika mambo magumu ujue kwenye siasa anafikiria mbinu mpya Shikwambi ya 2020 bado...
0 Reactions
7 Replies
914 Views
Wanabodi,Huu ni mwezi wa wanavyuo au Graduate kuhitimisha safari yao vyuo vikuu ,Kwa ufupi ni kipindi cha Graduation au Mahafali Pongezi za kwanza ni kwa Rais Magufuli ambaye aliamua hawa vijana...
9 Reactions
55 Replies
7K Views
Meya mstaafu wa jiji la Dar es Salaam, Boniface Jacob, amesema kuwa alipokea taarifa kwamba Jumanne, tarehe 10 Septemba 2024, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, kupitia Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa...
7 Reactions
90 Replies
6K Views
Nchi mbalimbali zimeamua kuwalinda wazalishaji wake na Uchumi wa Nchi zao Kwa kuongeza Ushuru wa bidhaa za Marekani kama nayo ilivyowaongezea wengine. Kujikalisha kimya Kwa watu wenye maamuzi ni...
2 Reactions
77 Replies
3K Views
Hili swali la kiufundi sana. Kwamba tunazuia uchaguzi kwa kuwa huko watu wanakufa, hatutaki waendelee kufa. Lakini tunataka kuwatumia watu hao hao kupambana na majeshi ya nchi kuzuia uchaguzi...
3 Reactions
25 Replies
955 Views
HALI ya kisiasa jimboni Nzega Mjini kwa Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Hussein Bashe ni mbaya tofauti kutokana na kutokubalika na wananchi licha ya kutumia fedha nyingi kugawa kwa wajumbe na baadhi...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Kutokana na report ya CAG Shirika la TTCL chini ya waziri Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano limeongeza hasara kutoka Sh 4.32billioni mwaka 2022 hadi 27.7billioni mwaka 2023 licha ya...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
CHADEMA IN AUTOLYSIS This is precisely what is precipitating in CHADEMA HEAVY WEIGHTA IN LOGGERHEADS The Riverr between them is turning out to be the fourth global rift valley that only cosmic...
1 Reactions
3 Replies
508 Views
Mkuu wetu mtukufu ambaye ni mtumishi namba moja wa Taifa ili, Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli, anaendelea kuliongoza Taifa katika misingi aliyoirithi kwa Viongozi waliopita hususani Baba wa...
17 Reactions
92 Replies
53K Views
We got a good one to deal with Corruption in the country, we must support and defend him, When people think that corruption is becoming a growing problem, they tend to be less willing to report...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Tunakumbuka ile hotuba ya mara ya kwanza pale Bungeni dodoma Ilikuwa hotuba ambayo imejaa mambo ambayo watanzania wanapenda kusikia na kutekelezwa Kwa mawazo yangu nilidhani itaishia tu maneno...
17 Reactions
97 Replies
11K Views
1. Watanzania tunayo imani na Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli kwa sababu ya kasi yake ya kupambana na rushwa,madawa ya kulevya,watumishi hewa,Ukusanyaji wa kodi,Maendeleo ya kilimo,ulinzi...
3 Reactions
124 Replies
10K Views
RC CHALAMILA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI JIMBO LA KIBAMBA UBUNGO. -Amshukuru Rais Dkt Samia kwa kutoa pesa nyingi zinazowezesha utekelezaji wa miradi hiyo -Ataka usimamizi mzuri wa...
0 Reactions
2 Replies
365 Views
Ni miaka imepita , Kama Taifa tumekwama maeneo yote muhimu Kama kuwa na 👇🏾 -Afya bora -Elimu bora -Ajira kwa vijana -Miundombinu bora Kinachotokea tunaenda hatua tano mbele na kurudi hatua...
2 Reactions
5 Replies
483 Views
Demokrasia ya Tanzania tangu mwaka 1992 hadi 2025. Niya Hisani Kuomba, Kupewa na mtawala wa Ki-imla aliyopo madarakani?
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Mimi mganguzi sina chama cha siasa bali naheshimu sana maoni ya watu !G55 sio wahalifu na hawavunji katiba yoyote isipokuwa wamefuata Sheria ! Badala ya kujibiwa hoja zao wanatukanwa na badala ya...
3 Reactions
63 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…