Ukumbusho wako wa kirafiki kwamba kumekuwa na ushirika kila wakati. Tangu zamani mpaka sasa... Duniani kote.. Kuwa mshirika... Jiunge na mtandao Jenga jumuiya yq wazalendo wa Tanganyika Kuza...
Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete leo amekuwa miongoni mwa wabunge wabunge la Tanzania walioshiriki zoezi la uoshaji magari ya watu mbalimbali kwa lengo la kupata fedha...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa...
Waliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha.
Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea...
Kuna Kampuni ya Mawasiliano ya simu imejenga MNARA kwenye eneo langu lililopimwa, mjini,Bandari Salama,Wanatumia eneo la 500 Sqm, Kwa malipo ya laki tatu, mkataba ulisainiwa miaka nane ya nyuma...
Wa Tanzania nawaomba tunapokaribia kipindi hiki cha uchaguzi ni vizuri kumushilikisha Mungu.
Wa Tanzania Tuna dini
1: Wakristo
2: Waislam
3: Wapagani
Sasa ni wakati wa kila mtu kwenda mbele...
Katika video inayosambaa mitandaoni hivi leo, Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, anasikika akitoa kauli zilizojaa jazba, dhihaka na matusi kwa serikali, huku akikosa kabisa hoja mbadala au...
CCM.wana strategy za kishamba sana. Wanajua leo.watu.wako.busy na simba sasa wanatumia.upenyo huo kumkamata lissu.
Soma Pia: Polisi wamkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
Kwa kweli sisi hizo...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema hali ya siasa na utekelezaji wa demokrasia nchini umeendelea kuimarika kutokana na maboresho ya mifumo na jitihada...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amempongeza Naibu Waziri wake, Dkt. Godwin Mollel na kueleza kuwa anaitendea haki nafasi yake hiyo na amekuwa msaada mkubwa kwake.
Amesema hayo Aprili 8, 2025...
Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi, CP Charles Mkumbo, amesema jeshi hilo lipo tayari kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake ya kulinda raia na mali zao na kuzuia...
Akili zangu za usiku wa kuamkia leo zimenituma kuwaza hivyo.
Yawezekana katabia ka kufanya udalali ndiko kalikokuwa kanazuia CHADEMA wasitangazwe washindi ngazi ya Rais hata kama ni kweli...
Tanzania tumepitia kipindi kigumu sana ndani ya uongozi uliopo madarakani kwa sasa
Tumeona kila aina ya uchawa wa viongozi wetu kwa kumpaka mafuta namba1 kwa mgongo wa chupa aka UCHAWA!! Kila mtu...
Wakuu,
"Tulipoimba ule wimbo pale hatuna tena Deni, na Rais Samia Suluhu Hassan, Mimi ningekuwa mwandishi wa habari, habari yote leo ingekuwa kwenye Taarifa ya Habari, tukicheza kama...
Hali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leadership character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama...
Katibu Uhamasishaji wa UVCCM Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, Akida Mnyamisi Akida akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha redio cha Nuru FM.
“Wapinzani wa Tanzania tunaishi kama watoto yatima ni watu ambao tunapata mateso sana kwenye hii Nchi lakini haya yote yataisha siku tukipata katiba mpya” Shabani Itutu
Kupata matukio na taarifa...
Wakuu,
Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Musoma mjini kimemtaka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 kwa kupinga kampeni ya ‘No Reforms, No Election’ na kuidhalilisha kampeni ya tonetone, la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.