GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Wanabodi,Huu ni mwezi wa wanavyuo au Graduate kuhitimisha safari yao vyuo vikuu ,Kwa ufupi ni kipindi cha Graduation au Mahafali
Pongezi za kwanza ni kwa Rais Magufuli ambaye aliamua hawa vijana kurudi shule baada ya mtikisiko wa corona waendelee na masomo yao,Bila Rais Magufuli kuamua hawa vijana warudi vyuo mwaka huu Graduation au Mahafali ingebaki hadithi or story
Hawa vijana watakwenda kuajiriwa moja kwa moja kwenye Viwanda vilivyojengwa na kuimarishwa zaidi ,Viwanda vimetapakaa mkoa wa pwani na ndio mkoa wenye viwanda vingi tangu 2014, Rejea hotuba ya Rais wakati akizindua Bunge la 12
Vijana hawa watakuwa wazalendo zaidi kwani hawa ni matokeo ya shule za kata,Wamesomeshwa kwa ada nafuu yaani sawa na bure,Hivyo lazima waishukuru serikali,Hata wakijisahau wazazi wao watawakumbusha kuwa wazalendo kwani hawakuingia gharama kuwasomesha
Sekta ya biashara yaani Mabenki yenye nguvu na Mifuko ya hifadhi za jamii hapa naongelea Pension Fund imeimarishwa zaidi tayari kuwapokea hawa vijana kuchapa kazi kwenye Mabenki na NSSF au Psssf au Bank of Tanzania (BOT)
Kwa tuliosoma zamani mambo yalikuwa magumu sana sana ,Taasisi za serikali zilikuwa hazijakuwa kama sasa na nyingi hazikuwepo kabisa,Maamuzi ya ccm kupitia Marais wake leo tuna taasisi na mashirika kibao ambayo yanatoa ajira kwa vijana wetu
Graduate wa mwaka huu ni neema tupu na Furaha, Kikubwa msiogope na kutishwa na watu kuwa hakuna ajira sio kweli, Kuna maelfu ya viwanda vimefunguliwa Tanzania nzima,Kikubwa ni uzalendo
Viva ccm,Viva ccm
Wazee wa Shikwambi tunawachora tu ,Ahaaa tutatoa ajira kwa mbinu kama tulivyoshinda kwa mbinu za kitanda kwa kitanda