Rais Magufuli anakubalika kwa 99% ndani na nje ya nchi. Mwambie rafiki yako

Nathan Jr

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,437
1,875
1. Watanzania tunayo imani na Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli kwa sababu ya kasi yake ya kupambana na rushwa,madawa ya kulevya,watumishi hewa,Ukusanyaji wa kodi,Maendeleo ya kilimo,ulinzi wa mbuga zetu na kuboresha utalii Tanzania,Kuwaendeleza wafanyabishara wa juu,kati na wale wa chini kama vile wamachinga na mama Ntilie lakini pia sababu ya kile ninachokiita mafundisho tunayoyapata kwake kama rais mzalendo.Rais Magufuli ambaye Uimara wa Rais wetu uko katika nyanja kuu tatu ya kwanza ni nchi kwanza ukiwemo na uzalendo ndani yake , Ujasiri na tabia kama aliyolelewa kule Geita tangu akiwa mtoto na kuujua umuhimu wa kuwatumikia watanzania baada ya kumaliza Chuo kikuu cha Dar es salaam kama Mkemia.

2. Kuanzia mwaka huu 25 January 2018 mpaka leo 1 July 2019 nimetafiti kwa kina nikagundua kuwa 99.9% ya watanzania wa kipato cha chini kama vile Mama Ntilie,wakulima wa mazao tofauti tofauti nchini,wavuvi,watalii,wachimba madini wadogowadogowa na wakubwa ,wawekezaji wasafilishaji kama vile bodaboda,mabasi,Daladala,wafanyakazi wa wa vyombo vya usafilishaji, wanafunzi wa elimu ya msingi,sekondari na vyuo, na jamii nzima WANAMKUBALI NA KUMPONGEZA kwa 99% Mheshimiwa Rais DR John Joseph Pombe Magufuli kwa yote pia wanayo Imani naye kwenye utendaji wake kwa kuwa ameweza kutekeleza mahitaji na mipango mbalimbali ya maendeleo ya watanzania yenye nuru ya Leo na kesho ambayo ni kujenga miundombinu ya umeme, kupambana na rushwa na kuzingatia sana neno lake, Huduma za afya na mageuzi ya elimu,maji,Utamaduni kama vile michezo kwa mfano hivi karibuni alisimama na kuwapongeza Taifa stars kwa kuwagawia viwanja bure na huduma za jamii shirikishi.

3. Uhalisia wa kusimamia sector za serikali,kusimamia majeshi yetu TakukuruLeo mafisadi hawafanyi ufisadi rushwa imepungua,Police leo Tanzania majambazi waliokuwa wanapora kwenye mabenki,kupora watu usiku wamekimbia,MUNGU AKUBARIKI MH RAIS MAGUFULI
 
Rais Bora Africa
 
Uwongo wa kiwango cha sifuri, hakuna mkulima, mfanyakazi, mfanyabiashara na mwanafunz anaemkubali magu, labda umeota ndoto ya mchana, ukweli ni kwamba magu siyo kwamba hakubaliki tu na pia hapendwi na watanzania kutokana na matendo mabaya ambayo watanzania ni magen kwetu, 2020 ikulu ataisikia tu shika neno langu
 
Anayekubalika hawezi zuia wasiokubalika

Anayekubalika hawezi kuwa na Ulinzi ule

Anayekubalika hawezi kuacha katiba
FB_IMG_1549781877339.jpg
 
Umekunywa chai? Umeacha hela ya mboga kwa mkeo? Ushalipa kodi ya nyumba? Hela ya umeme unayo..kodi ya maji ushalipa..pay as you earn ushalipa..uchafu takataka ushalipa...gari ushaweka mafuta .? Ushailipia kodi yake? Usjalipia kodi fremu yako ..? Ushalipa kodi TRA, Ushalipa leseni ya biashara,
 
1. Watanzania tunayo imani na Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli kwa sababu ya kasi yake ya kupambana na rushwa,madawa ya kulevya,watumishi hewa,Ukusanyaji wa kodi,Maendeleo ya kilimo,ulinzi wa mbuga zetu na kuboresha utalii Tanzania,Kuwaendeleza wafanyabishara wa juu,kati na wale wa chini kama vile wamachinga na mama Ntilie lakini pia sababu ya kile ninachokiita mafundisho tunayoyapata kwake kama rais mzalendo.Rais Magufuli ambaye Uimara wa Rais wetu uko katika nyanja kuu tatu ya kwanza ni nchi kwanza ukiwemo na uzalendo ndani yake , Ujasiri na tabia kama aliyolelewa kule Geita tangu akiwa mtoto na kuujua umuhimu wa kuwatumikia watanzania baada ya kumaliza Chuo kikuu cha Dar es salaam kama Mkemia.

2. Kuanzia mwaka huu 25 January 2018 mpaka leo 1 July 2019 nimetafiti kwa kina nikagundua kuwa 99.9% ya watanzania wa kipato cha chini kama vile Mama Ntilie,wakulima wa mazao tofauti tofauti nchini,wavuvi,watalii,wachimba madini wadogowadogowa na wakubwa ,wawekezaji wasafilishaji kama vile bodaboda,mabasi,Daladala,wafanyakazi wa wa vyombo vya usafilishaji, wanafunzi wa elimu ya msingi,sekondari na vyuo, na jamii nzima WANAMKUBALI NA KUMPONGEZA kwa 99% Mheshimiwa Rais DR John Joseph Pombe Magufuli kwa yote pia wanayo Imani naye kwenye utendaji wake kwa kuwa ameweza kutekeleza mahitaji na mipango mbalimbali ya maendeleo ya watanzania yenye nuru ya Leo na kesho ambayo ni kujenga miundombinu ya umeme, kupambana na rushwa na kuzingatia sana neno lake, Huduma za afya na mageuzi ya elimu,maji,Utamaduni kama vile michezo kwa mfano hivi karibuni alisimama na kuwapongeza Taifa stars kwa kuwagawia viwanja bure na huduma za jamii shirikishi.

3. Uhalisia wa kusimamia sector za serikali,kusimamia majeshi yetu TakukuruLeo mafisadi hawafanyi ufisadi rushwa imepungua,Police leo Tanzania majambazi waliokuwa wanapora kwenye mabenki,kupora watu usiku wamekimbia,MUNGU AKUBARIKI MH RAIS MAGUFULI
Mmeambiwa mje msemi hivi ili mwakani mpige zote 99%
 
Hizo takwimu ni kiboko
Tunaompinga JF tu ni zaid ya 0.1%
Tanzania ina watu 55,000,000+ Jf ina memba 10,000 tu kwa mahesabu wanaompinga JF ni kama 5,500

Hesabu iko hivi.
5,500 gawa kwa 55,000,000 alafu zidisha na 100 itakuwa 0.01
 
Back
Top Bottom