Nani ni nani mgombea wa CCM 2025

Nani ni nani mgombea wa CCM 2025

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
kama tunavyojua muda hausimami muda unakimbia tufanye magufuli tunaye hadi 2025

je ni nani atapeperusha bendera ya ccm mwaka wa 2025?

huu ni mjadala unaondelea chini kwa chini kwa sasa kila kaada wa ccm anamgombea wake mfukoni ila vikao sio vingi sana hii imesababiswa na usirias wa magufuli kwa mtazamo wake hataki mtu awe maarufu kuliko chama ndio maana kila anayeenda rofauti na mzee ndani ya chama anajikuta katika hali ya kushambuliwa na viongozi ndani ya chama

Tuachane na hilo je ni nani ana nafasi kubwa kupeperusha bendera ya ccm na sababu ni zipi?

Sifa za mgombea wa uRAIS 2025 hizi hapa

1.
Lazima awe muislam sio muislam tu awe member wa bakwata
2. Lazima awe mbunge au waziri (mgombea hawezi kutoka mtaani haiwezekani)
3. Lazima awe anakubalika kwa Rais iliyeko madarakani ( lazima mgombea amtii magufuli kwa miaka kumi mfululizo km magufuli alivyomtii kikwete)
4. Lazima mgombea akubalike na angalau marais wawili waliokwisha staafu
5. lazima mgombea akahakikiwe na makamu mwenyekiti wa chama kuna sehemu mgombea anapelekwa kukaa na makamu mwenyekiti wa chama kuongea na wazee wapo wazee kama sita hivi kazi yao nikujihakikishia mambo fulani (miiko ya nchi)
6. Lazima mgombea akubalike na mwenyekiti wa chama.
7. Lazima mgombea awe tayari kulinda muungano kwa gharama yeyote ile
8. Mgombea ambaye magu atamuamini kuendeleza hii miradi mikubwa isigeuke white elephant
NB hizi sifa hazipo kwenye katiba ya chama ila ndio sifa kuu za kwanza kuliko hata kiwango cha
elimu au maadili ya mgombea

je ni kina nani wana nafasi kubwa ya kudondokewa na bahati ya kupeperusha bendera ya ccm kulingana na sifa za mgombea hapo juu?

1. Hussein Mwinyi
huyu anapewa 8/10 taarifa za chini kwa chini za makaada zinasema mwakani ataenda kugombea Urais visiwani na mzee magufli akimaliza muda wake 2025 ndiyw atakayerudi kupeperusha bendera ya chama bara na visiwani hata baba yake alianzia visiwani kabla ya kugombea urais visiwani na akiondoka kule atamwachia waziri wa maji wa sasa profesa makame mbarawa myaa kukalia kiti cha visiwani

2. Kassim Majaliwa
waziri mkuu wa Tanzania anatajwa chini kwa chini hata jinsi anavyojiweka unaona ana ndoto fulani katika nchi hii japo nafasi aliyekalia imekuwa na gundu toka nchi ipate uhuru labda yeye ndio atakuwa wa kwanza tuendelee kuwa na subra

3. Dr. Shein
huyu ni moja ya makaada wachache wa visiwani waaminifu na siasa za mwalimu nyerere anapiwa chapuo sana japo mwenyewe amekuwa akisikika mara kwa mara kuwa anataka kupumzika baada ya 2020 lakini jina lake linasemwa sana na ni anaaminika sana hana makundi wala upande
4. Suleiman Jafo
toka aingie kwenye baraza la mawaziri awamu ya tano amekuwa ameonesha uwezo mkubwa sana atendaji wake unaonekana naye anatajwa tajwa sana na makaada pia ankubalika na makundi ya wasio vigogo na baadhi ya vigogo ndani ya chama ni mwaminifu na mtiifu kwa boss wake na amejiweka mbali na kundi la vijana inalomkosoa sana mwenyekiti kumbuka kuna kundi linamkosoa hadhsrani na lingine kwa kificho na taarifa zao zipo lumumba ila huyu kijana ameepuka hili
5. Khamis Kingwangalla
huyu jamaa ni jembe sana sema hana nyota ya kutajwa ni kiongozi moja mzuri sana ana kila kitu nimemfatilia binafisi ana sifa zote za kupeperusha bendera ya ccm na pia anajua namna ya kujishusha alikuwa na utoto mwanzoni ila amekomaa sana kwa sasa loote linaweza kutokea cv yake imeshiba sana any thing can happen
6. Bernad Membe
kwanza ieleweke wazi hizi kelele za membe sasahivi zinamalengo ya kumfanya aendelee kusikika ili 2025 asipate taabu kujitangaza kama mnavyojua siasa za Tanzania kama sio mbunge huwezi kuwa na nguvu yeyote ya watu kukufatilia kwa hiyo mzee membe anajiandalia mazingira ya kugombea 2025 ila sasa bifu lake na mzee sijui atatoboaje kwenye nec ile ya watu watano japo kila kitu kinawezekana kwa kuwa ni mzoefu wa michezo ya siasa wanaweza wakakaa chini na mzee wakamaliza bifu njia ikawa rahisi kugombea ubunge
wengi watuliza bernad kaingiaje hapo wakati hii ni awamu ya bakwata? ukweli ni kuwa mzee nae ni bakwata kwa habari za kina
8. Makamba January
huyu kijana unaweza kumhurumia tu kwa kuwa ndiye aliyejiapiza kuutaka urais kwa gharama yeyote alifanya kosa kubwa sana 2015 baada ya kuukosa uwaziri mkuu alijiamini lazima awe waziri mkuu ila alipokosa hakuonyesha kitoridhika na baadala yake alitunia lugha ya picha kumkashifu mzee nafikiri hili tukio linamnyima mengi sana kwenye utawala wahuu na hili tukio litamgharimu sana huko mbeleni kama tunavyojua mzee moja ya vitu asivyovipenda ni dharau
pia huyu mh anaonekana yupo karibu zaidi na wafanya biashara wenye asili ya asia na hawa watu hawaaminiki hata kidogo na deep state kitu kinachopelekea yeye binafsi asiaminike miongoni mwa makaada wengi ndani ya ccm
9. Tunaweza tukapata mgombea wa surprise (Magu hatabiriki)
hapa lolote linaweza likatokea na kusababisha ccm kuvunjika vipande vipande zaidi ya ilivyotokea ile 2015

ahsante kunisikiliza
 
hakuna hata mmoja kati ya uliowataja ambaye ana dalili za kuwa rais labda membe tu. narudia tena rais ajaye ni yule ambaye amewahi, atakuwa au ni waziri wa mambo ya nje.

husein mwinyi kwa utabiri wangu atakuwa ni rais ajaye wa Zanzibar na atafata mkondo wa baba yake mzee Mwinyi kwa kuwa rais wa bara tena.
 
pia, natabiri kuwa Rais Magufuli kwa hiari yake mwenyewe bila kulazimishwa , kushurutishwa na kushinikizwa na yeyote ataamua kutogombea tena 2020 na mrithi wake atakuwa ni.............. naye atakaa mpaka 2030 atakapokuja kumuachia urais wa tanzania mhe. Mwinyi kutoka 2030-2040 baada ya kuwa rais wa zanzibari 2020-2030. nimeota tu itakuwa hivyo.
 
Ni Dr Bashiru Ally Kakurwa, ccm general secretary
 
Suleiman jafo na kassim majaliwa wapo vizuri zaidi kiutendaji kuliko Hussein Mwinyi japo nafasi aliyopo inambeba saana

Japo naona kassim majaliwa anafaa zaidi coz hapendi uzembe pia Ana diplomasia na ni mtafutaji

Pia kigwangala sio wa kumbeza maana katika mawaziri wote wanaofanya vizuri kwa ubunifu jamaa yupo on fire
 
Para No. 1 Haji Mwinyi ni mchezaji wa YANGA
Suleiman jafo na kassim majaliwa wapo vizuri zaidi kiutendaji kuliko Haji Mwinyi japo nafasi aliyopo inambeba saana

Japo naona kassim majaliwa anafaa zaidi coz hapendi uzembe pia Ana diplomasia na ni mtafutaji

Pia kigwangala sio wa kumbeza maana katika mawaziri wote wanaofanya vizuri kwa ubunifu jamaa yupo on fire
 
Afadhali filiku njombe sorry alishakufa Lazaro nyarandu Alisha achana nao bora lissu aje atusaidie na katiba yetu ya kitemi nasio ya maridhiano na mwisho sisi ndio hatima ya taifa letu
 
Huyu Hussein Mwinyi akawe Rais wa Zanzibar Urais wa Tanzania bara ni ngumu kwa Mzanzibar kupewa hasa hiki kipindi. Lile panga lililomkata Dr Salim Ahmed Salim ndilo litakalomkata Dr Hussein Mwinyi
kama tunavyojua muda hausimami muda unakimbia tufanye magufuli tunaye hadi 2025

je ni nani atapeperusha bendera ya ccm mwaka wa 2025?

huu ni mjadala unaondelea chini kwa chini kwa sasa kila kaada wa ccm anamgombea wake mfukoni ila vikao sio vingi sana hii imesababiswa na usirias wa magufuli kwa mtazamo wake hataki mtu awe maarufu kuliko chama ndio maana kila anayeenda rofauti na mzee ndani ya chama anajikuta katika hali ya kushambuliwa na viongozi ndani ya chama

tuachane na hilo je ni nani ana nafasi kubwa kupeperusha bendera ya ccm na sababu ni zipi?

sifa za mgombea wa uRAIS 2025 hizi hapa

1. lazima awe muislam sio muislam tu awe member wa bakwata
2.lazima awe mbunge au waziri (mgombea hawezi kutoka mtaani haiwezekani)
3.lazima awe anakubalika kwa Rais iliyeko madarakani ( lazima mgombea amtii magufuli kwa miaka kumi mfululizo km magufuli alivyomtii kikwete)
4.lazima mgombea akubalike na angalau marais wawili waliokwisha staafu
5.lazima mgombea akahakikiwe na makamu mwenyekiti wa chama kuna sehemu mgombea anapelekwa kukaa na makamu mwenyekiti wa chama kuongea na wazee wapo wazee kama sita hivi kazi yao nikujihakikishia mambo fulani (miiko ya nchi)
6.lazima mgombea akubalike na mwenyekiti wa chama.
7.Lazima mgombea awe tayari kulinda muungano kwa gharama yeyote ile
8. mgombea ambaye magu atamuamini kuendeleza hii miradi mikubwa isigeuke white elephant
N
B hizi sifa hazipo kwenye katiba ya chama ila ndio sifa kuu za kwanza kuliko hata kiwango cha
elimu au maadili ya mgombea

je ni kina nani wana nafasi kubwa ya kudondokewa na bahati ya kupeperusha bendera ya ccm kulingana na sifa za mgombea hapo juu?

1.hussein mwinyi

huyu anapewa 8/10 taarifa za chini kwa chini za makaada zinasema mwakani ataenda kugombea Urais visiwani na mzee magufli akimaliza muda wake 2025 ndiyw atakayerudi kupeperusha bendera ya chama bara na visiwani hata baba yake alianzia visiwani kabla ya kugombea urais visiwani na akiondoka kule atamwachia waziri wa maji wa sasa profesa makame mbarawa myaa kukalia kiti cha visiwani

2.kassim majaliwa
waziri mkuu wa Tanzania anatajwa chini kwa chini hata jinsi anavyojiweka unaona ana ndoto fulani katika nchi hii japo nafasi aliyekalia imekuwa na gundu toka nchi ipate uhuru labda yeye ndio atakuwa wa kwanza tuendelee kuwa na subra

3 dr.shein
huyu ni moja ya makaada wachache wa visiwani waaminifu na siasa za mwalimu nyerere anapiwa chapuo sana japo mwenyewe amekuwa akisikika mara kwa mara kuwa anataka kupumzika baada ya 2020 lakini jina lake linasemwa sana na ni anaaminika sana hana makundi wala upande
4 Suleiman jafo
toka aingie kwenye baraza la mawaziri awamu ya tano amekuwa ameonesha uwezo mkubwa sana atendaji wake unaonekana naye anatajwa tajwa sana na makaada pia ankubalika na makundi ya wasio vigogo na baadhi ya vigogo ndani ya chama ni mwaminifu na mtiifu kwa boss wake na amejiweka mbali na kundi la vijana inalomkosoa sana mwenyekiti kumbuka kuna kundi linamkosoa hadhsrani na lingine kwa kificho na taarifa zao zipo lumumba ila huyu kijana ameepuka hili
5 khamsa kingwangwala
huyu jamaa ni jembe sana sema hana nyota ya kutajwa ni kiongozi moja mzuri sana ana kila kitu nimemfatilia binafisi ana sifa zote za kupeperusha bendera ya ccm na pia anajua namna ya kujishusha alikuwa na utoto mwanzoni ila amekomaa sana kwa sasa loote linaweza kutokea cv yake imeshiba sana any thing can happen
6.bernad membe
kwanza ieleweke wazi hizi kelele za membe sasahivi zinamalengo ya kumfanya aendelee kusikika ili 2025 asipate taabu kujitangaza kama mnavyojua siasa za Tanzania kama sio mbunge huwezi kuwa na nguvu yeyote ya watu kukufatilia kwa hiyo mzee membe anajiandalia mazingira ya kugombea 2025 ila sasa bifu lake na mzee sijui atatoboaje kwenye nec ile ya watu watano japo kila kitu kinawezekana kwa kuwa ni mzoefu wa michezo ya siasa wanaweza wakakaa chini na mzee wakamaliza bifu njia ikawa rahisi kugombea ubunge
wengi watuliza bernad kaingiaje hapo wakati hii ni awamu ya bakwata? ukweli ni kuwa mzee nae ni bakwata kwa habari za kina
8.makamba january
huyu kijana unaweza kumhurumia tu kwa kuwa ndiye aliyejiapiza kuutaka urais kwa gharama yeyote alifanya kosa kubwa sana 2015 baada ya kuukosa uwaziri mkuu alijiamini lazima awe waziri mkuu ila alipokosa hakuonyesha kitoridhika na baadala yake alitunia lugha ya picha kumkashifu mzee nafikiri hili tukio linamnyima mengi sana kwenye utawala wahuu na hili tukio litamgharimu sana huko mbeleni kama tunavyojua mzee moja ya vitu asivyovipenda ni dharau
pia huyu mh anaonekana yupo karibu zaidi na wafanya biashara wenye asili ya asia na hawa watu hawaaminiki hata kidogo na deep state kitu kinachopelekea yeye binafsi asiaminike miongoni mwa makaada wengi ndani ya ccm
9.tunaweza tukapata mgombea wa suprise (magu hatabiriki)
hapa lolote linaweza likatokea na kusababisha ccm kuvunjika vipande vipande zaidi ya ilivyotokea ile 2015

ahsante kunisikiliza
 
Sifa ya kwanza umesema mgombea lazima awe Muislamu halafu mgombea namba 6 umemuweka MEMBE! Hii imekaaje? Bernald na BAKWATA, wapi na wapi!!!!
 
pia, natabiri kuwa Rais Magufuli kwa hiari yake mwenyewe bila kulazimishwa , kushurutishwa na kushinikizwa na yeyote ataamua kutogombea tena 2020 na mrithi wake atakuwa ni.............. naye atakaa mpaka 2030 atakapokuja kumuachia urais wa tanzania mhe. Mwinyi kutoka 2030-2040 baada ya kuwa rais wa zanzibari 2020-2030. nimeota tu itakuwa hivyo.

Nitakua wa mwisho kuamini! Na ikitokea hivyo, basi watanzania walio wengi hasa wafanyakazi tutashangilia sana.
 
Huu ndio ujinga unaorudisha nchi yetu nyuma kila baada ya decade 1....

Tunaongelea 2020 wewe unaleta abrakadabra za 2025 hapa.

Mkuu ni hatari sana wajinga, waoga, wabinafsi na wapumbavu wakijibadilisha na kuwa members wa "the praise and worship team"
 
kama tunavyojua muda hausimami muda unakimbia tufanye magufuli tunaye hadi 2025

je ni nani atapeperusha bendera ya ccm mwaka wa 2025?

huu ni mjadala unaondelea chini kwa chini kwa sasa kila kaada wa ccm anamgombea wake mfukoni ila vikao sio vingi sana hii imesababiswa na usirias wa magufuli kwa mtazamo wake hataki mtu awe maarufu kuliko chama ndio maana kila anayeenda rofauti na mzee ndani ya chama anajikuta katika hali ya kushambuliwa na viongozi ndani ya chama

tuachane na hilo je ni nani ana nafasi kubwa kupeperusha bendera ya ccm na sababu ni zipi?

sifa za mgombea wa uRAIS 2025 hizi hapa

1. lazima awe muislam sio muislam tu awe member wa bakwata
2.lazima awe mbunge au waziri (mgombea hawezi kutoka mtaani haiwezekani)
3.lazima awe anakubalika kwa Rais iliyeko madarakani ( lazima mgombea amtii magufuli kwa miaka kumi mfululizo km magufuli alivyomtii kikwete)
4.lazima mgombea akubalike na angalau marais wawili waliokwisha staafu
5.lazima mgombea akahakikiwe na makamu mwenyekiti wa chama kuna sehemu mgombea anapelekwa kukaa na makamu mwenyekiti wa chama kuongea na wazee wapo wazee kama sita hivi kazi yao nikujihakikishia mambo fulani (miiko ya nchi)
6.lazima mgombea akubalike na mwenyekiti wa chama.
7.Lazima mgombea awe tayari kulinda muungano kwa gharama yeyote ile
8. mgombea ambaye magu atamuamini kuendeleza hii miradi mikubwa isigeuke white elephant
N
B hizi sifa hazipo kwenye katiba ya chama ila ndio sifa kuu za kwanza kuliko hata kiwango cha
elimu au maadili ya mgombea

je ni kina nani wana nafasi kubwa ya kudondokewa na bahati ya kupeperusha bendera ya ccm kulingana na sifa za mgombea hapo juu?

1.hussein mwinyi
huyu anapewa 8/10 taarifa za chini kwa chini za makaada zinasema mwakani ataenda kugombea Urais visiwani na mzee magufli akimaliza muda wake 2025 ndiyw atakayerudi kupeperusha bendera ya chama bara na visiwani hata baba yake alianzia visiwani kabla ya kugombea urais visiwani na akiondoka kule atamwachia waziri wa maji wa sasa profesa makame mbarawa myaa kukalia kiti cha visiwani

2.kassim majaliwa
waziri mkuu wa Tanzania anatajwa chini kwa chini hata jinsi anavyojiweka unaona ana ndoto fulani katika nchi hii japo nafasi aliyekalia imekuwa na gundu toka nchi ipate uhuru labda yeye ndio atakuwa wa kwanza tuendelee kuwa na subra

3 dr.shein
huyu ni moja ya makaada wachache wa visiwani waaminifu na siasa za mwalimu nyerere anapiwa chapuo sana japo mwenyewe amekuwa akisikika mara kwa mara kuwa anataka kupumzika baada ya 2020 lakini jina lake linasemwa sana na ni anaaminika sana hana makundi wala upande
4 Suleiman jafo
toka aingie kwenye baraza la mawaziri awamu ya tano amekuwa ameonesha uwezo mkubwa sana atendaji wake unaonekana naye anatajwa tajwa sana na makaada pia ankubalika na makundi ya wasio vigogo na baadhi ya vigogo ndani ya chama ni mwaminifu na mtiifu kwa boss wake na amejiweka mbali na kundi la vijana inalomkosoa sana mwenyekiti kumbuka kuna kundi linamkosoa hadhsrani na lingine kwa kificho na taarifa zao zipo lumumba ila huyu kijana ameepuka hili
5 khamsa kingwangwala
huyu jamaa ni jembe sana sema hana nyota ya kutajwa ni kiongozi moja mzuri sana ana kila kitu nimemfatilia binafisi ana sifa zote za kupeperusha bendera ya ccm na pia anajua namna ya kujishusha alikuwa na utoto mwanzoni ila amekomaa sana kwa sasa loote linaweza kutokea cv yake imeshiba sana any thing can happen
6.bernad membe
kwanza ieleweke wazi hizi kelele za membe sasahivi zinamalengo ya kumfanya aendelee kusikika ili 2025 asipate taabu kujitangaza kama mnavyojua siasa za Tanzania kama sio mbunge huwezi kuwa na nguvu yeyote ya watu kukufatilia kwa hiyo mzee membe anajiandalia mazingira ya kugombea 2025 ila sasa bifu lake na mzee sijui atatoboaje kwenye nec ile ya watu watano japo kila kitu kinawezekana kwa kuwa ni mzoefu wa michezo ya siasa wanaweza wakakaa chini na mzee wakamaliza bifu njia ikawa rahisi kugombea ubunge
wengi watuliza bernad kaingiaje hapo wakati hii ni awamu ya bakwata? ukweli ni kuwa mzee nae ni bakwata kwa habari za kina
8.makamba january
huyu kijana unaweza kumhurumia tu kwa kuwa ndiye aliyejiapiza kuutaka urais kwa gharama yeyote alifanya kosa kubwa sana 2015 baada ya kuukosa uwaziri mkuu alijiamini lazima awe waziri mkuu ila alipokosa hakuonyesha kitoridhika na baadala yake alitunia lugha ya picha kumkashifu mzee nafikiri hili tukio linamnyima mengi sana kwenye utawala wahuu na hili tukio litamgharimu sana huko mbeleni kama tunavyojua mzee moja ya vitu asivyovipenda ni dharau
pia huyu mh anaonekana yupo karibu zaidi na wafanya biashara wenye asili ya asia na hawa watu hawaaminiki hata kidogo na deep state kitu kinachopelekea yeye binafsi asiaminike miongoni mwa makaada wengi ndani ya ccm
9.tunaweza tukapata mgombea wa suprise (magu hatabiriki)
hapa lolote linaweza likatokea na kusababisha ccm kuvunjika vipande vipande zaidi ya ilivyotokea ile 2015

ahsante kunisikiliza

Non of the above.
 
pia, natabiri kuwa Rais Magufuli kwa hiari yake mwenyewe bila kulazimishwa , kushurutishwa na kushinikizwa na yeyote ataamua kutogombea tena 2020 na mrithi wake atakuwa ni.............. naye atakaa mpaka 2030 atakapokuja kumuachia urais wa tanzania mhe. Mwinyi kutoka 2030-2040 baada ya kuwa rais wa zanzibari 2020-2030. nimeota tu itakuwa hivyo.
Umeota uku unavuta bangi uchi
 
Back
Top Bottom