Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiukweli hili ni kundi kubwa sana sema kisiasa Wapinzani hawalipi Umuhimu unaostahili. Kundi hili limeathirika kwa muda mrefu sana toka kipindi cha Magufuli takribani Miaka 10 kuna watu...
2 Reactions
14 Replies
767 Views
Kundi la wabobezi wa Siasa za Chadema wako upande wa G55 upande wa Lisu hauna wabobezi ajitathimini CV za G55 kisiasa ndani ya Chadema zimekakamaa na zimejaa weledi wa kisiasa na uzoefu mkubwa...
0 Reactions
8 Replies
419 Views
Kwa uongozi huu wa Sasa wa Lissu,Lema na Heche na genge lake wamefeli kwa mengi sana.Hawa watu wanaenda kuuwa chama. Washauriwe wajiuzuru .Hadi Sasa hakuna hata moja wamewin.Nitahamasisha...
-1 Reactions
8 Replies
588 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha...
29 Reactions
158 Replies
7K Views
Kupitia kipindi cha One on One with Doyo Hassan Doyo, Mgombea Urais wa Tanzania 2025 kupitia chama cha NLD amesema ingawa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri sana katika uongozi wake...
0 Reactions
4 Replies
488 Views
Waovu, kwa mujibu wa vitabu vyao, walifanya uovu hadi wakashushiwa dini. Waliuana sana. Rejea Sodoma na Gomora, vita vya upanga, vita ya dunia, na mengine mengi na madhambi mengine. Sina ushahidi...
1 Reactions
6 Replies
456 Views
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Tundu Lissu amesema hayo baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA tokea achaguliwe kuwa mwenyekiti wa Chama hicho. Tundu Lissu amesema kuwa tuna uchaguzi Mkuu Oktoba, na tuna No...
12 Reactions
93 Replies
6K Views
BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza kuwa CCM itaendelea...
1 Reactions
8 Replies
668 Views
Wananchi wanalia kila siku, mfano maguruwe barabara mbovu kama mazingira ya mwezi, lakini DC na TARURA wamejikita kwenye viti vyao vya starehe, wakisikiliza kilio cha wana nchi kama wimbo wa...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu, amesema wako tayari kufanya ‘uasi’ ili kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu usifanyike. Lissu ametoa kauli hiyo...
13 Reactions
131 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa sheria na kwa kuzingatia waraka wa serikali wa March 19,2009( waraka namba: C/CE 45/271/01/01/87), mtumishi wa umma hapaswi kukatwa zaidi ya theluthi mbili ya mshahara wake.Kwa...
14 Reactions
49 Replies
16K Views
Nimeona nitoe maoni yangu kuhusu hii fukuza fukuza iliyoanza huko CHADEMA chini ya Tundu Lissu. Ni jambo limeshangaza wengi kwa chama cha demokrasia kukataa maoni tofauti na kutotaka kabisa...
1 Reactions
7 Replies
463 Views
Mrema anasema Et, Bora tushiriki, ili CCM isipite kirahisi na Bungen kukatwa na CCM tu. Mimi nakuuliza, kwani Bungeni sahizi CCM yuko na nani??.hamkushiriki 2020??. Baba Bonny wa Arusha...
23 Reactions
112 Replies
6K Views
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa sekretarieti na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge. Catherine Ruge ni mmoja ya Kikundi cha ndani...
22 Reactions
213 Replies
11K Views
Naam habari za wakati ! Tambiko ni ibada maalumu ya jadi inayofanyika ili kuomba jambo fulani toka kwa nguvu zisizoonekanika kwa macho ya kibinadamu, watu wengi hupendelea kuita nguvu hizi...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama wa shoka , chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
2 Reactions
56 Replies
2K Views
Napenda niwakumbushe ya kwamba kiongozi wa G55 Bwana John Mrema alipigwa Chini kwenye kura za maoni ndani ya CHADEMA kwenye kugombea ubunge Jimbo la Segerea. Mbowe akambeba na kumsimamisha...
0 Reactions
1 Replies
377 Views
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Singida, Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kikishinikiza uchaguzi mkuu wa...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu akieleza namna ambavyo askari wanakatwa mishahara yao. Video: Mwendokasi TV
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom