Nimeamini Magufuli ni Chuma yuko Ngangari hateteleki

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1,445
Reaction score
1,891
Tunakumbuka ile hotuba ya mara ya kwanza pale Bungeni dodoma

Ilikuwa hotuba ambayo imejaa mambo ambayo watanzania wanapenda kusikia na kutekelezwa

Kwa mawazo yangu nilidhani itaishia tu maneno pale Bungeni, kumbe haikuwa maneno tupu, nimefarijika sana kuona ahadi zake, hotuba yake vinaendana na vitendo

Wala rushwa kawabana
Wazembe ndo usiseme
Wahujumu uchumi amekuwa mwiba kwao
Waliokuwa wadanganyifu kazini kawamaliza

Tukadhani ni nguvu ya soda, kumbe tulijidanganya jamaa hakati tamaa

Tunakuunga mkono mheshimiwa

Tanzania-Today.jpg
 
Kwenye ile hotuba mzee amekwama ishu ya Deomkrasia tu na Utawala Bora ila mengine yote ukiyaangalia ndiyo anapambana nayo..

Ukiisoma au kutazama ile video ukalinganisha na yanayoendelea aisee jiwe kajitahidi sana kusimamia maneno yake..

Afanyie kazi tu ishu ya utawala bora na aache demokrasia ifanye kazi mambo yawe mukide!
 
Kweli.kwenye utawala wa sheria hajapakaza vema ila kwa maoni yangu na fikra zangu kuna jinsi atapafikiria
 
Kwenye ile hotuba mzee amekwama ishu ya Deomkrasia tu na Utawala Bora ila mengine yote ukiyaangalia ndiyo anapambana nayo..

Ukiisoma au kutazama ile video ukalinganisha na yanayoendelea aisee jiwe kajitahidi sana kusimamia maneno yake..

Afanyie kazi tu ishu ya utawala bora na aache demokrasia ifanye kazi mambo yawe mukide!
Mmekalia ishu ya Demokrasia na Utawala Bora kila siku utafikiri huko ufipani kuna demokrasia na utawala bora. Kanyaga hapo hapo Magufuli usiwasikilize hawa vinyangarika.
 
Duuh! Mie wala sio mtu wa ufipani mkuu. Umenisingizia!
 
Kwenye ile hotuba mzee amekwama ishu ya Deomkrasia tu na Utawala Bora ila mengine yote ukiyaangalia ndiyo anapambana nayo..

Ukiisoma au kutazama ile video ukalinganisha na yanayoendelea aisee jiwe kajitahidi sana kusimamia maneno yake..

Afanyie kazi tu ishu ya utawala bora na aache demokrasia ifanye kazi mambo yawe mukide!
Hata Mimi nakubariana na wewe tungekua tunazungumza haya pasipo unafiki ,hata haya mambo ya utawala bora ,bora pia inatakiwa kumshauli kwanjia ambazo Yeye anahitaji ,harafu pia Yeye ni mwanadamu hawezi kua 100% hivyo anahitaji Ushauli,siyo kutukana nakutoa maneno yasiyokua na staha.
 
Duuh! Mie wala sio mtu wa ufipani mkuu. Umenisingizia!
Mkuu inaonyesha Ni jinsi gani watu huwa hawasomi content yote, wanasoma juu juu tu, akiona meneno flani flani tayari wankimbilia kucomment.........
 
Back
Top Bottom