Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viti Maalumu vimekua ni nafasi za wachache kujimilikisha Mali tu. Hata kama ni Mtaji wa Biashara, miaka mitano haitoshi?? Vijana wako mtaani ,Moja haikai Wala Mbili !!. Hata wa Makundi maalumu...
3 Reactions
5 Replies
640 Views
Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
https://youtu.be/Fb3MoEVaBF0?si=wM-FkXAimnUm9d2R ➡️Huyu ni katibu wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Kanda ya Nyasa.... ➡️Awaonya kutumia jina la G55 la wazee wa zamani, wazee wa heshima waliokuwa...
5 Reactions
14 Replies
781 Views
Lissu amekuwa failure katika ajenda yake ya kwanza akiwa kiongozi wa chadema. Mzee Butiku anasema uchaguzi ni jambo takatifu. Haliwezi kuzuiwa. https://youtu.be/moFRPTLZiJ0?si=wXKDmukBjuS9eenO
4 Reactions
78 Replies
3K Views
Katibu wa Hamasa na chipukizi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM, amewataka Vijana wa Kitanzania kutanguliza utu mbele, kutodharauliana na kuhakikisha kuwa wanapambana katika kulijenga Taifa bila...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Uchaguzi wa Tanzania, ni uchaguzi unaofanyika kikatiba kila baada ya miaka mitano. Ni uchaguzi ambao haufanyiki kutokana na maoni au mapendekezo ya serikali, chama cha siasa, asasi ya kiraia...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Mbunge wa jimbo la Same Mashariki Anne Kilango Malecela ameandika na kusambaza kwa wananchi kitabu chenye kurasa 139 Kinachoeleza miradi ambayo imetekelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Matatizo mapya makubwa Tanzania ni 1. Rushwa. Rushwa ya uongozi hata kwa viongozi wa usalama ndiyo sababu ya wizi wa kura na mambo ya namna hiyo. Kutokuwa na adhabu kwa walarushwa wa serikali za...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche Newala #NoReformsNoElection
3 Reactions
0 Replies
249 Views
Wakuu salama… Jioni hii umetoka uteuzi wa Balozi Suzana Kaganda kupangiwa nchi ya Zimbabwe kama Balozi wetu huko. Kabla ya uteuzi huo, Balozi wetu alikuwa Simon Nyakoro Sirro. Je, Balozi Simon...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema endapo Uchaguzi Mkuu hautafanyika kama ilivyopangwa, serikali iliyopo madarakani inaweza...
0 Reactions
2 Replies
329 Views
Wataalamu wa mambo wanasema unapokutana na shetani wawili mbele yako chagua shetani mwenye nafuu, kwa kizungu "choose the lesser evil". Kama CHADEMA ingekubali kushiriki uchaguzi ingeenda...
1 Reactions
5 Replies
634 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa...
6 Reactions
89 Replies
4K Views
Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu. Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
No reform No Election limewatia tumbo joto hasa wasaka tonge. Slogan hii ilianzishwa na Wana CHADEMA wote na leo wanapotaka nafasi za Rais, Ubunge na Udiwani wanatoka wazi kuukana slogan yao...
2 Reactions
6 Replies
388 Views
https://youtu.be/--J45XU5LAs?si=_xbKbAZN1lVA2KpD Mh. Tundu Lisu ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema ameeleza kwa undani na urahisi sana mabadiliko 6 ambayo Chadema inadai, Katika mkutano wa leo wa...
6 Reactions
8 Replies
807 Views
Tunapenda mabadiliko lakini hoja ya kuzuia uchaguzi nchi nzima aisee haitekelezeki! Ingekua Kenya sawa, ila Tanzania hii vijana wengi Vilaz* tu hakuna kitu kitatokea Najaribu kufikiria uchaguzi...
6 Reactions
12 Replies
445 Views
Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana . Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua...
25 Reactions
50 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Jimbo la Arusha Mjini, Emanuel Zakaria maarufu kama Baba Bony, ametoa onyo kali kwa kundi la G- 55 ambalo linapinga msimamo rasmi wa chama hicho wa "No...
1 Reactions
5 Replies
582 Views
Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha...
1 Reactions
2 Replies
452 Views
Back
Top Bottom