Siku ya kufukuzwa ikifika mtataarifiwa
Habari potofu imeandikwa kwamba Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imetangaza rasmi kumfuta uanachama Bw. John Mrema. Kwamba hatua...
Kumekuwa na tabia ya taasisi na watendaji mbalimbali wa serikali kutekeleza jambo kwa matukio.Mfano utakuta maeneo fulani kukitokea mlipuko ndipo polisi wanaweka beria na umakini baada ya muda...
CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,
1. No reforms, no election bado haijaeleweka.
2. G55 wanataka kukipasua chama
3. COVID-19 wanataka kurudi
4. Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea...
Nimekuwa nikimfuatilia sana John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Ni wazi uzalendo wa John Heche kwa hii nchi ni zaidi ya Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traoré.
Kwa Maoni yangu John...
Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55.
Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema.
Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, Ashura Masoud, amewataka wanachama wa CHADEMA wenye maumivu ya uchaguzi kujenga mshikamano badala ya kujitenga au kupinga...
Mgogoro wa kiuongozi umeibuka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Simiyu, ukihusisha juhudi za Mwenyekiti wa chama hicho mkoa huo za kuwaonda Baadhi ya Wabunge Kinara akiwa ni Mbunge wa...
https://m.youtube.com/watch?v=8X9aksS1quw
Baada ya press conference, kundi la G55 waulizwa maswali magumu na waandishi wa habari juu ya wao G55 kupinga No Reforms No Election 2025 wakati uamuzi...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO),Leonce Martin amewaita wanachama wa kundi la G55 kuwa ni waasi ndani ya chama...
Miaka 10 iliyopita dr slaa alikua ni mwanasiasa wa upinzani maarufu hakuna aliyemfikia na dr slaa ni moja ya watu aliowafanya watu wengi hasa vijana kupenda siasa za upinzani
Baada ya miaka 15...
Kama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara.
Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani...
Katibu wa jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Hilary Kipingi amewataka madiwani wote katika wilaya hiyo kuhakikisha wanaandaa mikutano kuwaeleza wananchi...
Viti Maalumu vimekua ni nafasi za wachache kujimilikisha Mali tu.
Hata kama ni Mtaji wa Biashara, miaka mitano haitoshi??
Vijana wako mtaani ,Moja haikai Wala Mbili !!.
Hata wa Makundi maalumu...
Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu.
Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya...
https://youtu.be/Fb3MoEVaBF0?si=wM-FkXAimnUm9d2R
➡️Huyu ni katibu wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Kanda ya Nyasa....
➡️Awaonya kutumia jina la G55 la wazee wa zamani, wazee wa heshima waliokuwa...
Lissu amekuwa failure katika ajenda yake ya kwanza akiwa kiongozi wa chadema. Mzee Butiku anasema uchaguzi ni jambo takatifu. Haliwezi kuzuiwa.
https://youtu.be/moFRPTLZiJ0?si=wXKDmukBjuS9eenO
Katibu wa Hamasa na chipukizi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM, amewataka Vijana wa Kitanzania kutanguliza utu mbele, kutodharauliana na kuhakikisha kuwa wanapambana katika kulijenga Taifa bila...
Uchaguzi wa Tanzania, ni uchaguzi unaofanyika kikatiba kila baada ya miaka mitano.
Ni uchaguzi ambao haufanyiki kutokana na maoni au mapendekezo ya serikali, chama cha siasa, asasi ya kiraia...
Mbunge wa jimbo la Same Mashariki Anne Kilango Malecela ameandika na kusambaza kwa wananchi kitabu chenye kurasa 139 Kinachoeleza miradi ambayo imetekelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika...
Matatizo mapya makubwa Tanzania ni
1. Rushwa. Rushwa ya uongozi hata kwa viongozi wa usalama ndiyo sababu ya wizi wa kura na mambo ya namna hiyo. Kutokuwa na adhabu kwa walarushwa wa serikali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.