figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,840
- 63,343
Siku ya kufukuzwa ikifika mtataarifiwa
Habari potofu imeandikwa kwamba Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imetangaza rasmi kumfuta uanachama Bw. John Mrema. Kwamba hatua hii imefikiwa baada ya kubaini kwamba Bw. John Mrema na kundi lake linalojiita G55 hawana nia njema na mustakabali wa Chama na wana malengo ya kudhoofisha maazimio kadhaa yaliyopitishwa.
Eti uamuzi huu umefanyika baada ya Kamati Kuu ya Chama kukutana kwa dharura na kujadili mambo kadhaa ikiwemo operesheni inayoendelea ya No Reforms, No Elelction.
Imetolewa leo Jumatatu, 07 Aprili 202
Brenda Rupia Mkurugenzi wa Mawasiliano.
Huo ni uongo