Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto. Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au...
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Tukiacha Uchawa na kujipendekeza kama Kahaba aliyeona mkoba wa Dhahabu za Babylon kwenye chumba cha siri kwa kuhani wa mungu Murduk ndani ya hekalu la Enki. Ile hotuba Madame kaharibu kabisaaaa...
18 Reactions
75 Replies
3K Views
"...unadhani Lissu ameingia kichwa kichwa kugombea! Jamaa walijipanga muda sana baada ya kutoridhishwa na mambo yasiyo ya upinzani wa KWELI wa Mbowe. La mno hasa ni baada ya kila dalili kuonyesha...
17 Reactions
78 Replies
3K Views
Hellow! Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama, Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake...
13 Reactions
34 Replies
2K Views
1. Kuna idadi ya makatibu wengi sana wanabadirishwa kipindi hiki. Makatibu ni waajiriwa ukigoma huna kazi. 2. Makatibu wa ngazi za chini kupeleka majina yenye makosa mikoani ili washi dwe...
4 Reactions
10 Replies
530 Views
Huyu mfuasi wa Lissu hajui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 au kaamua kujifanya mwendawazimu? Kwa huu mdahalo wa jana hakuna mwenye nafuu kwenye hawa washiriki wanne. Wote nawapa alama 0/100...
1 Reactions
10 Replies
765 Views
Kwasababu CCM imejaa ujinga, kulogana, kuogopana, kutoambiana ukweli, kuishi kinafiki na kishirikina, kumuogopa mwenyekiti ambaye ni mpuuzi tu nchi hii si yake wala, kukubali kutoambiana ukweli No...
3 Reactions
17 Replies
484 Views
Kweli siasa ni sayansi, anachokifanya Lissu ni sayansi ya siasa, inahitaji akili zaidi kuliko nguvu, pesa au ujanja ujanja. Nani anaweza kuamini kuwa leo hii Mbowe tayari yuko nje wa mkondo wa...
8 Reactions
17 Replies
896 Views
Habari za Sabato! Nimeona Mbowe Akihojiwa na Kikeke. Kwa kweli hofu ipo dhahiri machoni mwake. Hata body language yake inamkataa akijaribu kuficha hofu yake. Ni kama amekata tamaa pakubwa...
29 Reactions
80 Replies
4K Views
Salaam Wana JF. Kwanza kabisa naomba niwapongeze wale walioanzisha forum hii kama sehemu ya matumizi ya uhuru wao binafsi. Aidha, niwapongeze kwani forum hii ni sehemu ya harakati muhimu ya...
34 Reactions
531 Replies
75K Views
Hizi pesa zote Mil.150 Rais kapatia wapi za kugawa hovyo ? Moja ya kazi ya Rais wa JMT ni kusaidia kusambaza dini? === Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa...
8 Reactions
73 Replies
7K Views
Habari za jumapili. Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21. Sijajua kitu gani kinawafanya wasione...
36 Reactions
101 Replies
4K Views
== Mhe John Heche anasema yeye waziwazi anamuunga mkono Mhe Tundu Lissu kwa sababu ni mtu mkweli sana ni muadilifu sana na anachukia rushwa kwa moyo na nguvu zake zote. Mhe John Heche...
22 Reactions
103 Replies
5K Views
Mapinduzi ya nishati ya magari yanazidi kushika kasi nchini Tanzania, lakini ukosefu wa vituo vya kujazia gesi unalifanya mchakato huo kusuasua. Kama ilivyo kwa Nigeria na baadhi ya nchi nyingine...
2 Reactions
0 Replies
304 Views
Liwalo na liwe this is too Much!Nikiri mimi ni Shabiki wa Lissu lakini anapoelekea hapana,kama anahama CHADEMA ahame tu namtakia Safari njema asituharibie Taasisi,sisi tutabaki Mashabiki wa...
1 Reactions
3 Replies
306 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka mkoa wa Mara wamejitokeza hadharani na kueleza msimamo wao kuwa kwenye mchakato wa kinyang'anyiro cha kutafuta viongozi wa Kitaifa wa chama hicho...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa faida ya wasio-fahamu, Antipas Lissu ni Mwamini mtiifu wa Kanisa Takatifu la Mitume yaani Kanisa Katoliki la Roma. Vilevile, kwa maokozi mengi aliyookolewa na MWENYEZI Mungu hakika Tundu ni...
2 Reactions
14 Replies
654 Views
Maana kitendo cha kumuunga mkono Lissu ni wazi unapoteza kila kitu ndani ya CHADEMA. Na jinsi ya Makonda alivyotanda Arusha sijui kama kupitia chauma ataweza kungara
0 Reactions
7 Replies
505 Views
Ndugu Watanzania wenzangu, tunafahamu nguvu ya siasa katika taifa letu.Wapo wenye vyama vya siasa na wapo Watanzania wengi wasio na vyama ambao wote kwa pamoja tumekuwa tukiathiriwa chanya au hasi...
0 Reactions
8 Replies
379 Views
Mzee kikwete akiulizwa kuhusu Mtazamo wake wa Uchaguzi wa Mwaka huu na nafasi ya CCM amesema: "Mimi naamini chama kipo kwenye mazingira mazuri, lakini watu wanasema Politics is local, kuelekea...
7 Reactions
91 Replies
7K Views
Back
Top Bottom