angeanza kuchambua ule uchaguzi wa KKKT ambao mara zote hua anasusia na kuondoka ukumbini kabla ya mkutano wa uchaguzi kwisha,Hili ni darasa kwa watawala walioshupaza shingo kupora uchaguzi, uhuru na utu/haki ya wananchi!View attachment 3301420
Aiseh!huelwi Nini sasa!!?kwamba Lowasa alishindwa na jpm au!?Umetoka ahera lini kwa maana mengi ya duniani yamekupita!
Huyu jamaa angekuwa kiongozi mkuu wa kkkt mambo yangekuwa mazuri sana...Hili ni darasa kwa watawala walioshupaza shingo kupora uchaguzi, uhuru na utu/haki ya wananchi!View attachment 3301420
Meneno mazitoHili ni darasa kwa watawala walioshupaza shingo kupora uchaguzi, uhuru na utu/haki ya wananchi!View attachment 3301420
Mwenye masikio na asikie...Hili ni darasa kwa watawala walioshupaza shingo kupora uchaguzi, uhuru na utu/haki ya wananchi!View attachment 3301420