Naomba tujadili hii maada kwa kirefu.
Mada yetu: Hivi waChina wanaobishana na Marekani ndio hawa wanaofanya uwinga Kariakoo?
Katika medani ya kimataifa, China na Marekani hushindana vikali...
Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea"...
Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka Zanzibar, wamekiburuza mahakamani chama hicho pamoja na mambo mengine wakilalamikia upendeleo katika mgawanyo wa...
Serikali ya awamu ya sita imepongezwa kwa kupeleka mradi wa maji wa Miji 28 katika Wilaya 3 za Mkoa wa Tabora ambazo zilikuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji huduma ya maji.
Pongezi hizo...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imebaini uzembe na ucheleweshaji wa maamuzi katika taasisi mbalimbali za umma, hali iliyosababisha mali...
https://youtu.be/UrmiHUuMW8k?si=8Zq7aoVlL4uoABVb
Ameeleza kuengua wagombea wa chama fulani tu ni dhahiri ajenda ya siri. Amesema Jeshi la Wananchi peke yake kwa sasa ndio linafanya kazi kwa...
Tofauti ya Lisu na CHADEMA yake na Mpinzani mkuu wa Museveni, Bob Wine na chama chake
Bob wine alipohojiwa na BBC swahili kuwa uchaguzi mkuu Uganda unafanyika mwakani je atagombea pamoja na kuwa...
KIVUKO CHA MV KOME III KUONGEZA NGUVU BUCHOSA
Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) inatekeleza mradi wa ujenzi wa vivuko vipya 6.
Kivuko MV.KOME III no moja ya vivuko...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Ule Utukufu wa Mungu unaoitwa No Reforms No Election umeingia DSM.
Mapokezi ya jambo hilo kwenye Jiji hilo lenye Mchanganyiko wa Watu yametikisa kwa kiwango cha...
Huyu mtu hana mandate yeyote kutoa matamko kukemea jambo lolote, Kwa sababu uwepo wake katika kusimamia uchaguzi si halali. Mtu aliyeteuliwa na Mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa CCM atawezaje...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili...
"Kwa chaguzi tatu mfululizo thamani ya kura imepotea. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hakukuwa na kura, takribani wagombea wote wa upinzani walienguliwa. Mwaka 2020 tuliona kwa mara ya kwanza kura...
Binafsi nakukubali sana kwa kazi ngumu unayoifanya ya ukombozi wa Nchi hii. Naomba kutoa maoni yangu kama ifuatavyo:-
1. Pamoja na kuendelea kutoa Elimu ya No Reforms No election, naomba kiundwe...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 17, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuchukua hatua za haraka za kuvunja nyumba iliyojengwa kimakosa...
Imeelezwa kuwa dereva wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Muhajiri Haule, aliyepoteza maisha katika ajali ya gari iliyosababisha pia kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, Gissima...
Salaam,
Rais Samia anazidi kutrend kimataifa, suala la Lissu limezidi kutrend na kumuweka kwenye spot Rais Samia. Sasa anaanza kufafanishwa na kina Museveni na Kagame. Kwenye hiyo video...
Wizara ya TAMISEMI imesema kupitia ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP) imefanikisha hatua ya kihistoria ya kusaini mikataba na watoa huduma watatu wa uendeshaji wa awamu ya pili ya mabasi...