Wakuu
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, alipaswa kutoa taarifa muhimu kwa umma kuhusu masuala ya uchaguzi kupitia vyombo vingi vya habari ili...
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania.
Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki...
Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.
Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema...
Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema;
"Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu...
Wanabodi,
Wakati tukisubira hiyo saa 11:00, naomba kuchukua fursa hii, kuwaandaa kisaikolojia, ndugu zangu Watanzania, lazima tujifunze kukubali kitu kinachoitwa "Utawala wa Sheria" "The Rule of...
Waswahili wanasema siku ya kufa nyani miti yote uteleza.
Msemo huu unaweza kuuchukulia kawaida ila kiukweli haya ndo yanayokikumba Chama cha Mapinduzi mwaka huu
Ukisoma hati ya Mashtaka ya...
Bila Shaka hamjambo!
Hata Wana CCM wengi wamechoka kuabudu na kuogopa baadhi ya familia za viongozi.
Hakuna mwana CCM anayependa kuwa Chawa, au mzazi anayefurahia kuona mtoto Wake aliyemzaa...
Kama kawaida, Edo na Baba Levo ndio watu ambao they can speak nothing but truth .
Edo alishawahi kumwambia Cheusi kuwa asiseme watu wanajiteka wakati wanapoteza familia zao.
Baba Levo ana inborn...
Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako...
Wanasaikolojia husema binadamu (siyo mtu) dhaifu hujaribu kuficha udhaifu wake kwa kufanya mambo yake kwa kutegemea mitulinga.
CCM imekuwa inaongoza nchi hii Kwa zaidi ya miaka 33 sasa tangu...
BUNGE la 12 linavunjwa rasmi Tarehe 27 Juni 2025 baada ya kumaliza kazi yake kwa miaka 5 kama watanzania tutalikumbuka Bunge hili kwa lipi chini ya Spika Tulia Ackson?
Nasema hivi nikiwa hai,kwa mwenye akili anajua kabisa watu wanaenda kutema nyongo zao,
Yaani ukweli wa uovu wao CCM sasa uanenda kuanikwa kweupe.Watu wanaenda kuungana kwa waziwazi kuanzia...
Najaribu kuwaza tu kinachoweza kutokea, aidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya , any cause of harm or worse, death of Lissu while in your custody, tawaeleza nini watanzania na dunia?
Muachieni...
Baada ya uchaguzi wa Mwaka 2019 na 2020 kuwa wa dhuruma na kuchafuliwa Chadema walikubaliana kutoshiriki Chaguzi zozote mpaka kuwe na tume huru, ila badae walijitafakari na kuamua kuingia kwenye...
Mwanadiplomasia Nguli na aliyekuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Ktiiba Nchini amegongelea msumari wa No Reform no Election.
Amebainisha hayo akisema kwa sasa uchaguzi umepoteza maana kabisa na...
Makamu Mwenyekitu CHDAEMA, John Heche akiwa anaongea na waandishi wa habari April 12, 2025 ikiwa ni baada ya kutangazwa rasmi kuwa CHADEMA kwa kutofika kusaidi kanuni za maadili ya uchaguzi...
Hivi kuna sababu gani kwa polisi wetu kutumika vibaya na CCM kwa kuteka, kukamata, kuumiza na kumbakia kesi ya uhaini Mh Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati tunaweza kushindana kwa hoja na...
Siku moja watoto wetu watatuuliza: Tulifanya nini wakati taifa letu lilikuwa linahitaji mabadiliko? Natamani kusema nilisimama kwa ajili ya haki, nilipigania Tanzania yenye matumaini, haki, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.