Hii ni kumchafua Rais Samia kwa waliomshauri amsweke Lisu ndani na kumfungulia kesi ya UONGO ya uhaini.
I am convinced that such a serious case for the chairman of the main opposition party...
UHAINI ? Jinai ambayo adhabu yake ni Kunyongwa .
Kwa Tanzania mambo ni tofauti kabisa, Mwabukusi Alisema, nitawaongoza watanzania kwenye maandamano suala la DP World, eeehhh maajabu Polisi na DPP...
Mbinu moja wapo ya Watawala wachovu na waoga ni kutisha na kuogopesha umma wa unaowapinga kwa kutumia vyombo vya dola na adhabu za jela.
Kwa kuwa basi kila mtu anajua kesi ya UHAINI inayomkabili...
Chama kikuu cha upinzani, Chadema bado kinaendelea kusimamia ajenda yao ya No reforms, No elections ambayo ina lengo la kuitaka serikali kufanya mabadiriko kwenye sera na kanuni za uchaguzi mkuu...
ZAIDI YA MITI MILIONI 226 IMEPANDWA TANZANIA NZIMA
Kupitia kampeni ya kitaifa ya upandaji miti millioni 1.5 kwa kila Halmashauri nchini, jumla ya miti milioni 226.97 ilipandwa kwa mwaka 2023/2024...
Vyama vya upinzani kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii kwa ujumla.
1. Kuimarisha Tawala za Kidemokrasia
-...
Na:Mathias Byabato
Binafsi uwa siandiki sana kuhusu mambo ya siasa. Leo nimeona nisaidie muktadha kadri ya uelewa wangu. Kwa watu wanaojua mantiki na umuhimu demokrasia katika taifa lolote...
Hatua ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kufunguliwa mashitaka ya uhaini na uasi inakiweka chama hicho njiapanda, hasa ikielezwa kuwa kiongozi huyo ameonyesha ujasiri mkubwa kuikabili Serikali...
Nyaraka za pasaka toka makanisa tofauti zitajaa masimango, vijembe na ukosoaji wa serikali ya rais Samia. Hii inatarajiwa kutokea kufuataia makosa ya kubambikiwa aliyopewa Lisu na kupelekea...
Hawa waasisi wa Taifa hili wamekuja wamekwenda.
Tuna wajibu wa kudumisha amani waliyotuachia.
Kama yupo taahira,punguani,muovu, anayetaka kuvuruga amani ya nchi,bado tuna wajibu wa kudumisha amani...
Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi ana Mamlaka ya kukifungia chama chochote kutoshiriki uchaguzi. Pili ni Kwa kutumia kifungu kipi na hicho kifungu hakiendi kinyume cha Katiba.
Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi ...
Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Marko Henry Ng’umbi.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai...
Habari wanajukwaa na heri ya sikukuu ya matawi.
Ndugu wanabodi kama mtakumbuka mwaka 2023 ilitokea ajali ya pawatila na pikipiki iliyopelekea kifo Cha mbunge wa Jimbo letu ndg. Mtega. Tukio Hilo...
Ruzuku ya CHADEMA itaisha June mwaka huu 2025 bunge baada ya kuvunjwa
Wamesusa uchaguzi hivyo kwa miaka mitano ijayo CHADEMA haitakuwa na pesa za ruzuku hata shilingi 100
Maana yake kwa miaka...
Baada ya mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kuilalamikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa madai ya kutotenda haki, mkurugenzi wa uchaguzi wa tume hiyo, Kailima Ramadhan amesema hawezi...
Twende pamoja:
Hoja hii kwamba “Hata kama CHADEMA ( Na vyama vingine) watashiriki au wangeshiriki, wanakuwa kama hawajashiriki tu.” ina mizizi katika hali halisi ya kisiasa na kisheria nchini...
Kitu kimoja kutoka kwa Magufuri hakuwa mnafiki, alidiali na Upinzania mchana kweupe kabisa, hakudanganya kwamba ni mwana Democrasia hapana alikuwa wazi kabisa na alitanka wazi wazi kudili na...
1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.
2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.