Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi. 2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi...
6 Reactions
96 Replies
3K Views
Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi. Je CHADEMA expectations zao ni zipi? Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
9 Reactions
93 Replies
3K Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mahabusu ya Watoto Mkoani Mtwara, na kueleza kwamba dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita...
1 Reactions
2 Replies
325 Views
Tumsikilize Askofu hapo chini ; Well , kuna mmoja alihoji mbona Kenya iliweza kukitoa chama tawala kabla ya reforms ? - Kenya sio Tanzania, Kenya wapo mbele ya muda sana. Kwenye Uchaguzi Polisi...
5 Reactions
8 Replies
644 Views
Kipindi Cha uchaguzi, Kila msanii anaingiaga studio na kurekodi nyimbo za kuwasifu CCM, na kuwakashifu wapinzani (Chadema) CCM utumia pesa nyingi kuwalipa wasanii Ili kampeini zinoge. Mwaka huu...
2 Reactions
0 Replies
237 Views
Binafsi naona kuna haja ya kupitia upya swala la maswala ya teuzi. Rais hapaswi kuwa na power Pana namna hiyo ya kuteua na kutengua kiasi hiki. Ningeshauri kwa positions nyeti kama za kiusalama...
2 Reactions
9 Replies
482 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM, Amos Makalla wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi katika Uwanja wa Maulid ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa...
0 Reactions
12 Replies
452 Views
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi mwenye usikivu mkubwa kwa wakulima wa korosho, akisisitiza kuwa pembejeo za bure alizotoa kupitia serikali...
0 Reactions
9 Replies
662 Views
Hapa nakunywa konyagi kubwa nikawa nawaza mawazo haya. Hebu kama wadau wa JF tuzungumze ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema kuhusu hii mada: “CCM ina uwezo wa kumvua mtu roho yake ya kweli bila...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu watu wa Mungu wanajf popote mlipo kila mmoja kwa imani yake, ila sio kwa machawa wa ccm.( zingatia neno sio kwa machawa wa ccm) Rejea mada tajwa. Binafsi nachukua nafasi hii ya...
-1 Reactions
4 Replies
435 Views
Credit kwa yerrico G55 😄
1 Reactions
6 Replies
631 Views
Diwani wa kata ya Kitandililo Halmashauri ya mji Makambako Imani Fute, ameomba viongozi wazee na waliokaa kwenye nafasi za uongozi kwa muda mrefu wawapishe vijana ili nao waoneshe uwezo wao katika...
0 Reactions
3 Replies
566 Views
Friends and Our Enemies, Wengi wao wanachadema hawapendi kuliskia hili,lakini NDIYO ukweli wenyewe. Siasa za HARAKATI ndani ya nchi hii na bara hili kwa ujumla zilishafanyika na zikakamilika...
7 Reactions
58 Replies
2K Views
Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii? === "Tumefanya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, na tumeona mapungufu makubwa. Kwa mfano, Kanuni za Maadili...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Baada ya CHADEMA kutangaza kutoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 na chaguzi ndogo zote kwa kipindi cha miaka mitano kutokana na kutosaini kanuni za Maadili ya Uchaguzi, Katibu wa Itikadi...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimesema hakitamvumilia mwanachama yeyote ambaye ataanza kujipitisha majimboni na kuanza kupiga kampeni kabla ya wakati. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Vyama vyote vya siasa havitaki kuwepo mgombea huru. Hii ni kwa sababu itaondoa uwezo wa chama cha siasa kumdhibiti mwanachama anae tofautiana nacho. Huu ni wakati muafaka wa kumpa haki kamili raia...
4 Reactions
16 Replies
814 Views
Kwenye Waislam waliowahi kufanya kazi Serikalini na hawa wanofqnya kazi kwenye Taasisi za Umma sasa, naweza kusema Muislam pekee ninayemuamini na kumuona ni muislam kweli ni Prof. Assad. Huyu...
3 Reactions
14 Replies
780 Views
Awali ya yote niseme kuwa watu kutofautiana mawazo ni jambo zuri na la kawaida sana, ikiwa wataendelea kuheshimiana kwa tofauti zao, yaani kutofautiana pasina kuhitilafiana. Misimamo ya CHADEMA...
1 Reactions
3 Replies
380 Views
Yakasemwa na tume ya Jaji Kisanga, yakarudiwa na tume ya Jaji Bomani yakaja kurudiwa zaidi na tume Jaji Warioba.( Hizo ni tume zilizoundwa na wasomi huru sio machawa). Ukweli ni kwamba ...
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Back
Top Bottom