09 April 2025
MWABUKUSI AFUNGUKA MAZITO ATOA MSIMAMO WA TLS ''HATUMUOGOPI MTU'' AGUSIA NO REFORM NO ELECTION
https://m.youtube.com/watch?v=zFB3QFtmK3w
TLS ni mshauri wa umma people's power wakati...
Nchi ya Tanzania inatakiwa iige utaratibu wa Tume Huru ya Kenya. Kupata Mwenyekiti na Makamishna wa Uchaguzi wanatakiwa wapatikane kwa njia ya haki. Mfano wiki hii kule Kenya wametangaza nafasi...
Huwezi ukaudanganya umma siku zote.
Kwa vyovyote vile ilijulikana kuwa Kutakuwa na Uchaguzi wa SM mwaka huu na mwezi huu. Lakini inashangaza kuona CDM wapo kwenye mchakato wa uchaguzi wa ndani wa...
Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Aprili 13, 2025, nchini Saudi Arabia...
Wakuu hii ndo Ccm ninayoijua Mimi ambayo haijali wewe ulikuwa nani , umejitoa kiasi gani n.k
Mpaka Sasa Justin kimodoi mwili wake haujaletwa kwao Bukoba kwa ajili ya mazishi .
Changamoto kubwa...
Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu:
Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote...
Hakuna haja ya kusimama jukwaani na kuwashutumu watu kuwa wanampango wa kuharibu amani.
Serikali ipo vizuri na imesimama imara na iwape wananchi uhuru wa kuchagua wanyemtaka kwenye uchaguzi Mkuu...
Oneni maigizo ya CCM yalivyobuma japo wao wanavyoyapanga wanakua wanahisi "Wametumia Akili kwelikweli”.
Suala la Uenyekiti wa CHADEMA na Mgombea Urais Kupitia CHADEMA , maandalizi yalianza...
Pamoja na kuwa jimbo hili limeongozwa na chama twala kwa miaka yote isipokuwa mitano tu tangia nchi ipate uhuru wake lakini bado limekuwa la mwisho kimandeleao jijini Daresalaam!
Kwa Upande wa...
Ujumbe WA Mwl JK Nyerere juu ya watu wasiopenda mabadiliko , sasa sijui sisiemu hawapendi Mabadiliko au ni Vyama Vingine au ndio njia ya kumuenzi Nyerere
Kundi au watu wafuatao wameshiriki kuiuwa CHADEMA kwa mikono yao kwa makusudi mazima na wanastahili kulaumiwa sana
1.Wajumbe wa mkutano mkuu
2.Lissu
3.Lema
4.Heche
5.Wanaharakati uchwara
6.Dr Slaa...
https://youtu.be/me1JGU0NJaI?si=sO6f7TbfyzSezwww
➡Yeyote anayeweza kumsikiliza huyu mzee, na bado anaamini kuwa Tanzania kuna chaguzi, anaweza kubadili mawazo yake haraka sana na kuanza kupigania...
Tangu kwenye kuanza kwa Bunge hili la kumi,Wakili Msomi Tundu A.M.Lissu (Mbunge wa Singida Mashariki-CHADEMA) amekuwa akizungumzia suala la Muungano mara kwa mara. Amekuwa akitoa wito,kwa nyaraka...
Nikimalizia Johnmtembezi hapa katika vienga vya kutunga sheria, ili baadae tuwahi majukumu.
Huyu jamaa na sauti zake za ndani hasa za tahadhari sisichukuliwe kirahisi.
Malaika wananamna nyingi na...
Mwandishi: Elly Maduhu Nkonya
Katika hatua ya kushangaza lakini yenye ujumbe mzito, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekataa kusaini kanuni mpya za uchaguzi zilizotolewa kwa ajili...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amesema mmiliki wa nchi hii siyo chama chochote bali ni Watanzania wote.
Amesema kitendo cha Chama cha Demokrasia na...
Hii ndio Taarifa Mpya ya leo kutoka Kanda ya Nyasa, kwenye vile vinavyoitwa vipora vilivyosalia.
Wananchi wote wa Mbarali wakiwemo wanaccm wamekubaliana na hoja ya Chadema ya No Reform No...
Hello!
Yaani gari inanunuliwa Hadi 600 ml kwa Kodi za wananchi maskini, lakini haikatiwi Bima kubwa,
Kuna mtu anayejua sababu ni Nini hasa?
Au ni vile vya umma havina mwenyewe?
RIP mkurunzi...
Hivi kumuuwa mtu ambaye anataka tu sheria zinadilike ili chaguzi kuwa huru kwa Watanzania wote ni kwa kumnufaisha nani? Je ni kunufaida Watanzania hao hao!? Kama kweli watu wana nia nzuri na nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.