Tumsikilize Askofu BANGONZA; CCM ni Refa na ni Mchezaji

Tumsikilize Askofu BANGONZA; CCM ni Refa na ni Mchezaji

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,094
Reaction score
11,890
Tumsikilize Askofu hapo chini ;

Well , kuna mmoja alihoji mbona Kenya iliweza kukitoa chama tawala kabla ya reforms ?

- Kenya sio Tanzania, Kenya wapo mbele ya muda sana. Kwenye Uchaguzi Polisi na Jeshi huwa wanakuwa upande wa wananchi ndio maana walifanikiwa.

Tanzania Jeshi na Polisi kwenye Uchaguzi hawapo Neutral….wanakuwa side ya CCM…. Ndio maana by now , Samia ni Rais already .Mtake Msitake, Mchague Msichague….yeye ni Rais hadi 2030. Hivyo mnaenda kupoteza muda na kuingia kwenye uchaguzi hewa.

Hatuwezi kuwa na MSHINDANI ambae anaenda kuchagua marefa wa kuchezesha mpira ambao na yeye anacheza. Only for ignorants !

HATUWEZI kuwa na Uchaguzi ambao… process zake haziwezi kwenda KUHOJIWA MAHAKAMANI. Matokeo yakishatangazwa huna haki ya kwenda mahakamani kupinga MATOKEO.

Mwandishi wa Katiba ya CCM ndio Mwandishi wa Katiba ya Nchi, ndio Maana hata Samia kapita kwa Azimio.

Mnasema, Uchaguzi Ufanyike kwanza ndio Chadema idai Reform , are you guys mad? Ni lini mtajifunza Ukweli?

Mkishafanya Uchaguzi imeisha…hiyo

Jeshi na Polisi wajifunze ku reason , je kudai reform ni kuvuruga amani? Wasiwe robot…God gave them brain 🧠 . Mtakuja kuamrishwa na viongozi wahuni siku moja mtashangaa!

Nchi ipo kwenye Deni kubwa, tunategemea misaada na Mikopo

; toka lini misaada na kukopa ikaleta maendeleo, ?

Malawi inaongoza kwa kukopa na kupewa misaada since independence, by now , Malawi ni poorest country in Africa. Mikopo na Misaada haijawahi kuwa Solution ya Umasikini. Solution ya Umasikini ni CCM kutoka madarakani…, nyie ndio cut off point yaani mkitoka nyie…. Umaskini na hali duni zitapungua by 60%

Chadema ndio Chama kikuu Tanzania ambacho kinatetea maslahi ya Tanzania. Hayo mavyama mengine hayana impact na hayapo kwa ajili ya watanzania bali RUZUKU hivyo wanahaki ya kushiriki huo Uchafuzi


Chadema ina impact kubwa kwa Taifa and in 2020 we learned the hard way ….it was historical lesson …. We can’t do the same mistake .


It is now or Never….. Reform ni Mandatory
Mandatory
Mandatory

Dr . Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa,
WHO Regiona Office-Senior Expert
Rue 52,
Ottawa
Canada
 

Attachments

  • 16F31ABD-BEAF-4E12-AC78-AADC334A24FF.mp4
    19.1 MB
  • 60F07C81-BC13-4F1C-A2EE-7B05051006C6.mp4
    35.3 MB
Hakika Hakika Hakika Hawa Sasa ndio viongozi wa Dini wanaohitajika Hapa Tanzania
 
Polisi ni wa Tanzania ni failures tupu hivyo kupata ajira wao ni msaada na siyo haki yao hawezi kutenda haki
 
VERY SOON ATAHOJIWA KUHUSU URAIA WAKE , MAANA NCHI HII NAONA INAJIENDEA YENYEWE, INAONGOZWA NA MALAIKA WASIOTAKA KUAMBIWA UKWELI NA KUKOSELEWA WANAPOKOSEA.
Hizo zama zimepitwa na wakati
 
Hili andiko linalinda heshima ya PhD na kuhamasisha wengine watafute hiyo PhD.
 
It is now or never ! Fanyeni Reform acheni kubadili jina la tume mkasema
Mnatume huru… hiko ni kiwango cha chini kabisa cha akili… kubadili jina na kusoma tumehuru… hiyo ndio refom


THIS TIME NO
KAFANYENI UCHAGUZI NA HAO MAMLUKI

TUNACHOHOTAJI NI REFORM HATUTAKI REFA MCHEZAJI
 

Attachments

  • B290EF47-4A75-43A2-90C0-0CBEEB445C3B.mp4
    5.7 MB
VERY SOON ATAHOJIWA KUHUSU URAIA WAKE , MAANA NCHI HII NAONA INAJIENDEA YENYEWE, INAONGOZWA NA MALAIKA WASIOTAKA KUAMBIWA UKWELI NA KUKOSELEWA WANAPOKOSEA.
Hizo zama zimepitwa na wakati
Mabadiliko Tanzania yataletwa na Chadema tu

Hao wengine ni mamuluki ni kama
Kondoo
 
Back
Top Bottom