Leo April 13 ni birthday ya Mwalimu Nyerere. 103

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,017
Reaction score
6,771
Hawa waasisi wa Taifa hili wamekuja wamekwenda.
Tuna wajibu wa kudumisha amani waliyotuachia.
Kama yupo taahira,punguani,muovu, anayetaka kuvuruga amani ya nchi,bado tuna wajibu wa kudumisha amani ya nchi.
Kwamba yupo punguani alitaka kuleta vurugu isiwe kisingizio cha kuleta maafa.
Leo hii tunasikia Chadema watazuiwa kushiriki Uchaguzi.
Bado tunasubiri kuona uamuzi huu una maana gani.
Je Tundu Lissu atabadili mawazo na kusaini kanuni za maadili even though it is late.
Au G- 55 watafanya dili na INEC ili ishiriki Uchaguzi.
Au,watia nia Chadema watakwenda Chausta?
Mungu atuongoze tujadiliane with reason.
Ingekuwa vizuri kama INEC wangeacha milango wazo kwa mwanachadema yeyote anayetaka kugombea Uchaguzi kwa masharti hayo yaliyoandikwa kwenye hiyo fomu.
Ingekuwa vizuri kama Chadema wangeacha paranoia.
 
Taahira yupo mmoja tu na kafanikiwa ktoa kopi zake nyingi za kujifanya sio mataahira ila ukweli Sasa upo wazi kuwa taahira na hayawani anahanja ili abakie pale asipotakiwa.
 
na Mke wake bado yu hai, Mungu kawabariki sana wanawake wa Kikristo …
 
Hawa waasisi wa Taifa hili wamekuja wamekwenda.
Tuna wajibu wa kudumisha amani waliyotuachia.
Kama yupo taahira,punguani,muovu, anayetaka kuvuruga amani ya nchi,bado tuna wajibu wa kudumisha amani ya nchi.
Kwamba yupo punguani alitaka kuleta vurugu isiwe kisingizio cha kuleta maafa.
Leo hii tunasikia Chadema watazuiwa kushiriki Uchaguzi.
Bado tunasubiri kuona uamuzi huu una maana gani.
Je Tundu Lissu atabadili mawazo na kusaini kanuni za maadili even though it is late.
Au G- 55 watafanya dili na INEC ili ishiriki Uchaguzi.
Au,watia nia Chadema watakwenda Chausta?
Mungu atuongoze tujadiliane with reason.
Mimi ni mfuasi wa Mwalimu. Ila kwenye baadhi mambo aliyofanya wakati alipokuwa Rais, hata sikubaliane nayo!

Mfano kuamini kwake zaidi kwenye seara ya ujamaa, na kuuchukia ubepari kupitiliza; kumeturudisha sana nyumba kimaendeleo kama Taifa.

Kutumia pesa nyingi za nchi kugharamia ukombozi wa Bara la Afrika, huku huku kukiwa hakuna utaratibu wa namna ya kuzirejesha baada tu ya hizo nchi kupata uhuru.

Kutuunganisha na Zanzibar kwa Muungani wenye kero nyingi kwa pande zote mbili! I wish huu Muungano ungevunjika tu.

Kufuta mfumo wa vyama vingi uliokuwepo hata kabla ya Uhuru; na kutuletea chama dola kama ccm ambacho hakitaki kutoka mdarakani hata baada ya kuchokwa na wananchi walio wengi.

Na mwisho; kutuachia Katiba ya mwaka 1977, inayompa Rais madaraka makubwa ya kifalme! Hili jambo linakera sana.
 
Hawa waasisi wa Taifa hili wamekuja wamekwenda.
Tuna wajibu wa kudumisha amani waliyotuachia.
Kama yupo taahira,punguani,muovu, anayetaka kuvuruga amani ya nchi,bado tuna wajibu wa kudumisha amani ya nchi.
Kwamba yupo punguani alitaka kuleta vurugu isiwe kisingizio cha kuleta maafa.
Leo hii tunasikia Chadema watazuiwa kushiriki Uchaguzi.
Bado tunasubiri kuona uamuzi huu una maana gani.
Je Tundu Lissu atabadili mawazo na kusaini kanuni za maadili even though it is late.
Au G- 55 watafanya dili na INEC ili ishiriki Uchaguzi.
Au,watia nia Chadema watakwenda Chausta?
Mungu atuongoze tujadiliane with reason.
Ingekuwa vizuri kama INEC wangeacha milango wazo kwa mwanachadema yeyote anayetaka kugombea Uchaguzi kwa masharti hayo yaliyoandikwa kwenye hiyo fomu.
Ingekuwa vizuri kama Chadema wangeacha paranoia.
G55 wanakwenda kwa msaliti mwenzao huko 🚮.

20250413_105034.jpg
20250413_105017.jpg
 
Back
Top Bottom