Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria...
CHADEMA inatimiza miaka 33 mwaka huu toka kuanzishwa kilianzishwa 1992
Jua siri ya namba 33 na uhusiano na kifo cha CHADEMA
Katika ulimwengu wa Freemason kiwango cha juu cha cheo cha...
Kumbukumbu ya miaka 103 ya Mwalimu Julius Nyerere
https://m.youtube.com/watch?v=OAQFxrJBfPc
Makamu wa Rais Dk. Philiph Mpango ameyaongea haya katika kumbukumbu ya miaka 103 ya Mwalimu Nyerere...
Barabara ya Mlimba–Ifakara imekuwa kero ya muda mrefu kwa wananchi, ambapo inadaiwa imekuwa kama sehemu ya kupatia Kura kila ifikapo Uchaguzi. Kwa mujibu wa mtumiaji huyu wa X
"Barabara Mlimba...
"Ukiwa hutaki kufuata Maadili wewe unataka kuchagua nchi, sisi CHAUMA tunasema jambo vla kwanza baada ya ubwabwa ni amani na huu ubwabwa kama hakuna amani hauliki"
Katibu Mkuu Chama Cha Cha...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema hatakuwepo katika kusaini maadaili Uchaguzi ya 2025 na hajateua Afisa au Kiongozi yeyote kwenda...
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa makala za mwandishi nguli wa mtandao wetu wa jamii forum hususani Jukwaa la Siasa kwa muda mrefu sana. Huyu si mwengine ni Guru la uandishi na ufatiliaji wa mambo...
Mara yangu ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka 2019, wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mwaka 2020 sikupiga. Haukuwa na mvuto kwangu.
Mwaka huu naona changamoto ya mwaka 2020 inaninyemelea...
Wakuu
Katibu Mkuu wa Chama cha United Democratic Party (UDP), Saumu Rashid, kajitambulisha kwa Salamu ya Rais Samia kwa kusema "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..." wakati wa hafla ya kusaini...
Kimsingi hawa G55 wa Chadema yawezekana ndio wenye nia ovu zaidi kwa sababu lengo na nia yao haiko wazi
Kwanini wamejiita G55 jina la lkundi la Njelu Kasaka?
Nadhani ndani ya Chadema tatizo ni...
Jambo kubwa lipo nyuma ya Taifa baada ya ccm chama tawala kuingia kwenye msuguano mkali wa no reform no election. Upo msemo unasema ogopa akili ya mwanadam. Mwisho wakunukuu. Soku zote ktk dunia...
Wakuu,
Mambo ni motooo!
====
Heche amaesema lolote likimpata lissu akiwa gerezani Samia si tu atawajibu Watanzania bali ataijibu Dunia. Heche amesema suala la Lissu linafika kimataifa, wakili...
Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and...
Wakuu,
Inasemekana hapo ni Moshi majira ya saa 19:35 maeneo ya Mbuyuni sokoni ambapo watekaji walikuja na Noah nyeusi wakamkamata kijana mmoja wakataka kuondoka naye ila wananchi waliwagomea...
Unalionaje hilo?
Profesa wa Hesabu akishiriki kwenye mitihani ya darasa la saba!
1. Akifurahia kufaulu atachekwa! Haitarajiwi darasa la saba amshinde Profesa. Bora hata kama angekuwa ni Ph.D...
Wakuu mbunge wa viti maalum eti naye anamwambia Lissu kwamba ameishiwa sera, mtu ambaye yupo bungeni ni kama kwa hisani tu.
Kwanza ule utaratibu wa kuwawekea ukomo hawa viti maalum ungeanza...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili mkoani Tabora kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora, na kupokelewa...
Simlaumu, ila nahisi amechangia pakubwa mtatiziko wa kisiasa uliopo nchini kwa sasa. CHADEMA wameamua kususia uchaguzi kwa sababu ya mapungufu yaliyopo kwenye mfumo mzima wa uchaguzi.
Inaaminika...
Chadema mnachanganya mambo!! Kwa sasa chadema ni chama kidogo sana chenye mbunge Mmoja wa kuchaguliwa!!!
Mmeharibu zaidi kwa kukataa kushiruki uchaguzi .Hili siyo sawa .kumbe hamna mipango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.