Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Tuko tayari kwa maandamano. Tunahitaji tu yatangazwe kama ni 7/7 au kabla we are ready. Hii nchi haitakuwa ya CCM ya kufanya wanavyotaka
1 Reactions
Replies
Views
Hii mentality ya kuishi kupitia siasa kula kupitia mikutano ya Hadhara ifikie mahali iondolewe hasa kwa hawa wanasiasa wanaotegemea wale kupitia kapu la donation. Wewe mwanaume unaishije kwa...
3 Reactions
18 Replies
214 Views
Amani iwe nanyi, Kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 iliorekebishwa mwaka 1992 n.k; Tanzania ni muungano wa nchi mbili( Tanganyika na Zanzibar),na ni taifa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewaagiza Makamanda wa Polisi nchini washirikiane na Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuchunguza na kuwakamata wapinzani wanaomtukana Rais pamoja na...
2 Reactions
262 Replies
32K Views
================== Kadiri miaka inavyokwenda, nimejifunza jambo moja muhimu sana: Maisha ya bandia ni maisha ya gharama kubwa sana. Gharama yake si fedha tu, bali pia ni gharama ya kiroho...
18 Reactions
28 Replies
662 Views
Haiwezekani mtanzania kupata huduma ya kulala kwenye nyumba ya wageni lazima awe na NIDA tofauti na hapo inahesabika mhalifu. Haiwezekani mikutano ya kisiasa inazuiliwa tena na waziri wa mambo ya...
2 Reactions
5 Replies
138 Views
Habari za Sabato! Harakati na siasa ni kama mchezo wa Draft au wale wakulungwa wanacheza Chess games. Mtu yeyote anayejua kucheza Draft kikamilifu basi harakati na siasa hazitamsumbua. Kwenye...
5 Reactions
70 Replies
773 Views
Tuzo hiyo alikabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) ambaye pia ni Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt...
3 Reactions
47 Replies
695 Views
CAG Mstaafu Profesa Mussa Assad amedai kuna Waziri kijana Awamu hii ya Sita ana ukwasi wa kutish alipoingia tu madarakani. Prof Assad amesema "Namjua kijana mmoja Waziri, ana magari matatu ya...
21 Reactions
125 Replies
3K Views
Aibu hiyo Kabambe imemkuta katika Mkutano uliohusisha Madereva wa bodaboda Anatuhumiwa kuwasilisha bungeni hoja ya bodaboda kuchangia elfu 1 kila siku ili wajenge barabara za Mbeya Mkutano huo...
10 Reactions
20 Replies
498 Views
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa Serikali imezitaka mamlaka za TPDC, PBPA na EWURA kuhakikisha kuwa punguzo la bei ya mafuta katika soko la dunia linaanza kuonekana kwa wananchi...
2 Reactions
8 Replies
383 Views
  • Redirect
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza bungeni leo Juni 26, 2026, amesema Mipango yote ya serikali ikiwe Dira ya Maendeleo pamoja na Bajeti Kuuu ya serikali kwa mwaka 2026/2027 ambayo...
0 Reactions
Replies
Views
Je watafanikiwa ? Baada ya kushindwa kupitia Samia na NCHIMBI kuwaadaa watanzania Sasa wametengeneza misheni nyingine eti mgogoro wa Tanganyika na Zanzibar. Hivi Kuna mzanzibar mwenye ubavu wa...
9 Reactions
12 Replies
449 Views
Rais wa Kenya William Ruto ameonya dhidi ya aina yoyote ya machafuko, uharibifu wa mali, au kutatiza huduma muhimu kabla ya maadhimisho ya wiki ijayo ya maandamano ya kupinga serikali ya Juni 25...
1 Reactions
1 Replies
89 Views
"Mheshimiwa Spika, zipo tetesi katika baadhi ya maeneo kwamba viongozi wapo kama wamepigwa ganzi. Wanasubiri nini PDF, mkeka, teuzi. Haya ni mambo ya ajabu. Mambo ya ajabu. Kuwa ofisini na...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Nimetafakari sana matukio yanayoendelea Tanzania hivi karibuni. Kuna jambo moja la kutisha sana nimegundua. Ni kwamba haya mambo yanayoendela Tanzania, hususa kinachoonekana kama ni mgogoro wa...
2 Reactions
8 Replies
186 Views
Mh Rais hapo chini nimeweka nakara ya barua kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigela, mh Rais mkuu huyu wa mkoa amegeuka wakala wa matajili wa Geita hautetei sisi wanyonge wa taifa hili...
3 Reactions
34 Replies
567 Views
"Aidha, kupitia utaratibu mpya wa utoaji wa mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri, ninazieelekeza taasisi za fedha na waratibu wa mikopo hiyo, kuondoa masharti magumu...
1 Reactions
3 Replies
103 Views
Juzi, waziri mkubwa, Lameki Madilu wa nchi ya Ahaha aliacha dunia hoi. Katika kujipendekeza, kumpendezesha na kumpamba aliyempa cheo si akaropoka eti kutegemea misaada kumepitwa na wakati na dunia...
8 Reactions
28 Replies
443 Views
Kufanya vizuri katika kuchangia Chama , sio kwamba anayetoa Pesa nyingi. Kutoa Pesa nyingi ni jambo jema kwa kadiri ambavyo Mtu anabarikiwa !!. Tuangalie ' Consistency' ya Mwanachama katika...
10 Reactions
19 Replies
175 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…