PreGE2025 Jingu: Wananchi hawapo tayari kukinukisha, Chadema itafeli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,763
Reaction score
2,877
"Mwenyekiti wa Chama Taifa, anazungukwa na genge la watu wasiokuwa na uwezo. Nao wakimpelekea ushauri kama yaliyotokea kwenye uchaguzi, wanampelekea ushauri mfukuze fulani. Na yeye anakubali kwa sababu gani. Ni kwa sababu hana watu sahihi wa kumshauri katika mambo ya ujenzi wa chama," Makamu Mwenyekiti Chadema Kanda ya Kati, Jackson Jingu.
 
Ukiujua ukweli, utakuwa huru. Hakuna mabadiliko yatakayotokana na "kukinukisha" chini ya CHADEMA hii. Waache kuendelea kupoteza muda na kukipoteza chama.
 
..sasa mabadiliko yatapatikana vipi?
 
"Mwenyekiti wa Chama Taifa, anazungukwa na genge la watu wasiokuwa na uwezo. Nao wakimpelekea ushauri kama yaliyotokea kwenye uchaguzi, wanampelekea ushauri mfukuze fulani. Na yeye anakubali kwa sababu gani. Ni kwa sababu hana watu sahihi wa kumshauri katika mambo ya ujenzi wa chama," Makamu Mwenyekiti Chadema Kanda ya Kati, Jackson Jingu.
View attachment 3305278
Ndo.maana walimwachia kikao akabaki peke yake hopeless
 
Kiongozi si mtu anayewaonesha watu kinachowezekana tu.

Kiongozi anawaonesha watu mpaka kinachoweza kuwezekana.
 
Ukiwa sehemu ya walamba asali huwezitaka kukinukisha kwani mnuko huo ni dhidi yenu.Kauli jumuishi kama hiyo ni dalili ya kuvimbiwa asali na yatokayo kinywani ni athari za tumbo kuchafuka
 
"Mwenyekiti wa Chama Taifa, anazungukwa na genge la watu wasiokuwa na uwezo. Nao wakimpelekea ushauri kama yaliyotokea kwenye uchaguzi, wanampelekea ushauri mfukuze fulani. Na yeye anakubali kwa sababu gani. Ni kwa sababu hana watu sahihi wa kumshauri katika mambo ya ujenzi wa chama," Makamu Mwenyekiti Chadema Kanda ya Kati, Jackson Jingu.
View attachment 3305278
Unajua maana ya kukinukisha ? Kwani mpaka mda huu hakijanuka kwa kumbabikia kesi ya uhani lissu .

Nyie machawa Mungu awachukue mapema ili taifa lipone ,sema mwenyewe Amina
 
Kiongozi si mtu anayewaonesha watu kinachowezekana tu.

Kiongozi anawaonesha watu mpaka kinachoweza kuwezekana.
ama kweli “kipendacho roho hula nyama mbichi”

Wahenga walisema mapenzi upofu….
 
Hapana, si mapenzi mkuu.

Hii ni mantiki tu.

Kiongozi anatakiwa kufanya kazi yake ya kuwaongoza watu kufanya kitu sahihi.

Akiwaongoza watu kufanya kitu sahihi, halafu watu wasipofanya, hapo kiongozi kashatimiza wajibu wake, tatizo lipo kwa watu. Kiongozi hana lawama.

Sasa kwa nini unataka kiongozi asifanye kazi yake ya kuongoza kwa sababu unafikiri watu hawako tayari?

Utajuaje watu hawako tayari kabla ya kuwapa watu hao mtihani wa kuwapima ujue kama wako tayari ama la?
 
Back
Top Bottom