Watanganyika wamegeuka kuwa oombaomba ndani ya nchi ya Zanzibar. Kama wazanzibar hawawataki katika nchi yao si muondoke? Kwanini mnang'ang'ania kukaa katika nchi ya watu kwa lazima? Mnasubiri...
Juzi Mnyika amesema CHADEMA imepoteza mil. 918 kwa kutofanya mikutano je! Hizi Hela zinaingiaje nchini? Au hazipitii bank?
Ni beberu yupi aliwapa chadema Hela ili ikiwezekana tumuwekee vikwazo...
Kila kitu hubadilika ila mabadiliko ndo kitu pekee hakibadiliki.
Mabadiliko yanapokuja au kutokea , Jaribu kuyaeleweka na kubadilika kutokana na hayo mabadiliko .
Mfano mdogo ni platform za...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema kuwa Serikali haina ugomvi na chama chochote cha siasa, bali inaweka mbele kipaumbele...
Waziri Mkuu Lameck Nchemba, amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali.
Dkt...
Gazeti la Mwafrika mwaka 1958, Oktoba 11 liliandika "WAMEFUKUZWA KATIKA TANU NA MKUTANO MKUU WA MWAKA"
Gazeti hilo liliandika
Mkutano mkuu wa TANU umemfukuza katika chama Sh. Sulemani Takadiri...
Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti...
CCM wakiangalia mbele ni giza sababu haakuna walichofanya. Hivyo wanahofu ya kuondolewa madarakani. Mikutano ya CHADEMA inawatisha kwani walitegemea CHADEMA imekufa. Hata 29.10.2025 walipiga...
Habari wadau wa JF Siasa, niende kwenye mada hapo juu.
Itakumbukwa tarehe 7/7/1954 kuna Wajumbe 17 wanaokumbukwa katika historia kwenye kuchangia pakubwa kuanzishwa Chama cha TANU.
Miongoni mwao...
Kwa heshima, naomba mamlaka husika zifanye tathmini ya kina kuhusu utendaji wa baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri ambao wananchi na baadhi ya viongozi wamekuwa wakilalamikia utendaji wao...
MAPOKEZI YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA WILAYANI IKUNGI
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Juni 27, 2026 amewasili mkoani Singida kuendelea na ziara yake ya kikazi, ambapo...
Wanabodi,
Kwanza naomba msishitushwe na Maneno hayo, mkadhai ni Maneno yangu mimi Pascal Mayalla, nikiwatukana waheshimiwa wabunge wetu kuwa ni ma "stupid!". No!, sio mimi, bali hayo ni baadhi ya...
Kwa ufupi kabisa, mpaka sasa Taifa la Tanzania limeshapoteana.
Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa...
Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge...
Hii ikimaamisha,
viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa...
Wakuu salama,
Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh...
Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za...
Wengi wanetambua kuwa kuvaa mashati na hizo T shirt za Kijani au kuendesha baiskeli za CCM waweza kupata ajali na binadamu wakapita wakikuangalia kama wale mbwa Kokomo wagongwao barabarani na...