Tatizo kubwa la Serikali ya CCM ni Denial

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,089
Reaction score
11,888
Kwa ufupi kabisa, mpaka sasa Taifa la Tanzania limeshapoteana.

Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa kubadilika.

Modality ya kutisha tisha raia, kuteka watu ilianzishwa na Nyerere na inatumika hadi sasa …Hii njia itaenda kuzalisha masacree zaidi ya ile Oct 29 : kibaya zaidi tunaambiwa raia kwa sasa wameanza ku access silaha za moto …. Ni hatari sana .

Taifa kwa sasa linahitaji viongozi watakaobadili hii Nyerere style ya uongozi na kuwa na viongozi wanaoweza kusikiliza na kuwa na maamuzi jumuishi na usawa kwa national resources

Dr Megalodon Mushi
Canada 🇨🇦
 
taifa kwa sasa linahitaji viongozi watakaobadili hii Nyerere style ya uongozi na kuwa na viongozi wanaoweza kusikiliza na kuwa na maamuzi jumuishi na usawa kwa national resources

Dr Megalodon Mushi
Canada 🇨🇦
this useless and completely nonsense article gentleman 🐒
 
Tatizo la hiki chama cha wajinga kwa sasa ni elite capture na clientele politics ambapo viongozi wanajitengenezea mifumo ya kuwafaidisha wao na makampuni yao.
 
Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa kubadilika.
Kwa hiyo wewe unachoona ni "generation has changed", lakini huoni kabisa kwamba huko CCM kwenyewe hakujabadilika?
Wanatumia 'modality' zile zile za 'generations' zilizopita.

Uchambuzi wa namna hii unakosa nguvu kabisa.

Unamwangalia Samia katika uongozi wake katika sura ileile na Mwalimu Nyerere, kwa mfano.
"...kuongoza nchi na kuchanganua mambo..." kunahitaji sifa tofauti za namna gani?

Una maana waTanzania waliopo sasa wanayo hadhi tofautikabisa na ile waliyokuwa nayo waliokuwepo katika 'generations' zilizopita?
Mahitaji ya ubinaadam wao ni tofauti kabisa?
Fikra za namna hii zinasikitisha sana.

Walaumu viongozi wabovu kwa mambo wanayowafanyia waTanzania; maswala ya tofauti za 'generations' yapo juu ya uwezo wa fikra zako.
 
Modality ya kutisha tisha raia, kuteka watu ilianzishwa na Nyerere na inatumika hadi sasa …Hii njia itaenda kuzalisha masacree zaidi ya ile Oct 29 : kibaya zaidi tunaambiwa raia kwa sasa wameanza ku access silaha za moto …. Ni hatari sana .
Toa mifano ya vitisho vilivyotumiwa na Nyerere vinavyofanana na hivi vya sasa tuijadili hapa
 
Taifa kwa sasa linahitaji viongozi watakaobadili hii Nyerere style ya uongozi na kuwa na viongozi wanaoweza kusikiliza na kuwa na maamuzi jumuishi na usawa kwa national resources

Dr Megalodon Mushi
Unao u-Dokta kama wa Samia, maana uandishi hauendani na hadhi ya udaktari wowote katika fani ya aina zote!
Unaweka 'allegation', bila hata ya kuonyesha ushahidi wa unachokizungumzia?

"...maamuzi jumuishi" ni ya namna gani; na "usawa kwa national resource" ni kitu gani?
 
Kwa upande wangu sifurahii kuona viongozi mpaka leo bado wanadhani wananchi ni wajinga, na wasio na uelewa wowote ule kuhusu elimu ya uraia na pia siasa za nchi!

Yaani wakati wananchi wengi wameamka na kudai uwepo wa Katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, uwepo wa haki za kiraia (mfano haki ya kuchaguliwa na ile ya kuchagua watu wawapendao), uwepo wa usawa kati ya mlalahoi na mwenye nacho, nk!

Wao hawataki mabadiliko yoyote yale ya kuwanufaisha wananchi! Badala yake wamechagua kutumia nguvu kama njia pekee ya kuzuia mabadiliko. Jambo hili ni hatari sana kwa mustakabari wa umoja wa Kitaifa. Chuki zitazidi kutamalaki kwenye jamii! Na matokeo yake si mazuri hata kidogo.

Ushauri wangu: Viongozi wa ccm wakubali mabadiliko ya kweli ili kulinusuru hili Taifa. Ubinafsi wao ni tishio kwa umoja wa Kitaifa.
 
"Jambo ambalo wenzetu wa Magharibi walipewa NEEMA NA MUNGU kulichunguza, kulifahamuni, kulielewa na kuliheshimu sana ni suala zima linaloitwa MUDA. Hii ni rasilimali ya bure ambayo hairudi mara mbili. Hii rasilimali huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO (Changes). Kitaalamu hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupinga mabadiliko. Awe MWEMA au Awe MBAYA, lazima atakutwa na MABADILIKO.

Wenzetu wazungu walichotushinda ni hapa tu: NIDHAMU KWENYE MUDA, kwasababu wanafahamu muda huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO katika nyanja zote za maisha: Binafsi, Kijamii, Kisiasa, Kiroho, Kiuchumi na Kitamaduni. Hivyo basi kuweza kukabiliana na MABADILIKO yanayoletwa na MUDA, wenzetu wakabuni kitu kinaitwa MPANGO MKAKATI (STRATEGIC PLANNING). Wenzetu walifahamu kwamba hawawezi kuzuia MABADILIKO lakini wanaweza kuyaratibu (MANAGE). You cannot stop changes, but you can manage and mitigate them."
===========

MALCOM LUMUMBA
 
Screenshot_20260616-173300~2.png
 
Kwa ufupi kabisa, mpaka sasa Taifa la Tanzania limeshapoteana.

Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa kubadilika.

Modality ya kutisha tisha raia, kuteka watu ilianzishwa na Nyerere na inatumika hadi sasa …Hii njia itaenda kuzalisha masacree zaidi ya ile Oct 29 : kibaya zaidi tunaambiwa raia kwa sasa wameanza ku access silaha za moto …. Ni hatari sana .

Taifa kwa sasa linahitaji viongozi watakaobadili hii Nyerere style ya uongozi na kuwa na viongozi wanaoweza kusikiliza na kuwa na maamuzi jumuishi na usawa kwa national resources

Dr Megalodon Mushi
Canada 🇨🇦
Nioneshe video au ushahidi Nyerere akitisha tisha watu???

Hakuna mtu mwenye AKILI akawa KATILI.

Duniani kote mtu anayejibu HOJA kwa UKATILI mostly kichwa chake huwa ni PANZI na ni FISADI, kuna mambo anaficha.

Acheni kumlaumu Nyerere kwa upumbavu wenu wenyewe.
 
"Jambo ambalo wenzetu wa Magharibi walipewa NEEMA NA MUNGU kulichunguza, kulifahamuni, kulielewa na kuliheshimu sana ni suala zima linaloitwa MUDA. Hii ni rasilimali ya bure ambayo hairudi mara mbili. Hii rasilimali huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO (Changes). Kitaalamu hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupinga mabadiliko. Awe MWEMA au Awe MBAYA, lazima atakutwa na MABADILIKO.

Wenzetu wazungu walichotushinda ni hapa tu: NIDHAMU KWENYE MUDA, kwasababu wanafahamu muda huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO katika nyanja zote za maisha: Binafsi, Kijamii, Kisiasa, Kiroho, Kiuchumi na Kitamaduni. Hivyo basi kuweza kukabiliana na MABADILIKO yanayoletwa na MUDA, wenzetu wakabuni kitu kinaitwa MPANGO MKAKATI (STRATEGIC PLANNING). Wenzetu walifahamu kwamba hawawezi kuzuia MABADILIKO lakini wanaweza kuyaratibu (MANAGE). You cannot stop changes, but you can manage and mitigate them."
===========

MALCOM LUMUMBA
Hakika. Tanzanias watu wanatumia bilions kufanya mambo ya kuficha ukweli kusifu na mabango while tunaweza kutumia hizo pesa na kuleta maendeleo…. Kuna namna kuna shida
 
Nioneshe video au ushahidi Nyerere akitisha tisha watu???

Hakuna mtu.mwenye AKILI akawa KATILI.

Duniani kote mtu anayejibu HOJA kwa UKATILI mostly kichwa chake huwa ni PANZI na ni FISADI, kuna mambo anaficha.

Acheni kumlaumu Nuerere kwa upumbavu wenu wenyewe.
Tanzania ilianza kuharibiwa na nyerere. Ushahidi unaotaka kuniambia mimi nikupe ni impractical na hauja reason well kuniomba huo ushahidi

Tabia za kutumia USALAMA wa Taifa ku silent probers alianza Nyerere : tofauti yake na hawa wa sasa yeye alifanya kwa siri… watu hawakuwa wanatekwa hadhqrani . JK ndio alianza mambo ya kuteka hadharani….. Samia na JPM ni continuation

Suali la msingi, nchi utaishi kwa kukataa maoni na critics hadi lini!?
Generation ya sasa ni tofauti sana ; kama CCM wasipoelewa hili … hatari ni kubwa sana ahead . Ni bomb in the making
 
Back
Top Bottom