Baadhi ya Wabunge ni Stupid!, Tanzania haina Demokrasia!, Bunge ni Rubber Stamp!- TBC, Watch Now! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya Wabunge ni Stupid!, Tanzania haina Demokrasia!, Bunge ni Rubber Stamp!- TBC, Watch Now!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Nov 25, 2011.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,563
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Wenye access na TV, Please watch TBC-1 Now!.

  Hiki ni kipindi cha "This Week in Perspective", kinachoendeshwa na Mzee Adam Simbeye.

  Mada ya leo ni Performance ya Kikao cha Bunge kilichopita!

  Ma panelist ni Sakina Datoo, Finigan wa Simbeye, Hassy Kitine na Prof. Lwaitama.

  Kipindi ni moto wa kuotea mbali haswa kwa kuzingatia kinarushwa na TBC!, they call a spade a spade!.

  Miongoni mwa nondo zilizomwagwa ni

  Baadhi ya Wabunge wa bunge letu are very Stupid!, their stupidity ilionekana kwenye michango yao kuchangia muswada wa katiba!

  Tanzania haina uhuru wa kweli, wala Demokrasia ya kweli!,

  Bunge letu sii bunge chochote, wala lolote, ni just a Rubber Stamp ya mahitaji ya serikali!


  Mgomo wa Chadema kususia mjadala, wapongezwa!

  Endeleeni kuangalia!

  Endelea kufuatilia

  Update 1
  Kipindi kimemalizika!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Funny....
   
 3. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Hssy Kitine has good points,bunge lilijadili zaidi personalities za individuals kuliko hoja ya katiba
   
 4. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  vikuku vilitawala pia
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  more updates mkuu
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,563
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  Unfortunately, kipindi kimekwisha!
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Pasco wewe si uko nao wale ma stupid kwa kuonyesha Chadema were stupid kutoka nje leo hao unaowapa majina haya ni wa KAFU au CCM au bado wafa na Chaadema ?
   
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Pasco, Unajua nilitaka kuuliza hili kwani nakumbuka nilipokuwa napitia kanuni za bunge, matrusi na kumdhalilisha mbunge ni moja ya miiko ya Bunge... Lakini kwa jinsi walivyokuwa wakimtupia matusi TL ktk ile video...duh mwenyewe nilichoka. Hasa huyu Mama Kilango yaani sikujua kama mama yule anaweza ongea utumbo kama alivyoongea...Halafu kichekesho ni kwambaalikuwa akishindwa hata kuhema yaani jazba ilimjaa kiasi kwamba alikuwa anashindwa hata kufikiri na kupanga maneno..
   
 9. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Mkuu Pasco tunashukuru kwa updates wengine huku hatuna access ya Tbc...by the way wht is ur commentr kwa huo mjadala?
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,563
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  Baadhi ya Wabunge wa bunge letu are very Stupid!, their stupidity ilionekana kwenye michango yao kuchangia muswada wa katiba!
  Muswada wa mchakato wa kuelekea kupata katiba mpya, ni very important na serious issue, kitendo cha baadhi wa wabunge kutojadili subject matter na kushupalia kushambulia watu, vyama au hutuba, was nothing but the display of their stupidity!.
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  SAKINA DATOO yuko kwenye league nyingine kabisa ya uelewa....
  anaweza kumfanya mtu 'anaeonekana' ana akili sana
  kuonekana mpumbavu kabisa...
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wamejadili kwa undani sana juu ya kituko hiki cha Bunge....Muswada unaletwa Bungeni kwa mara ya Kwanza kwa lugha ya Kiingereza, wabunge wanaukataa kwa sababu haueleweki kwa wananchi(hivyo ina maana umekuwa fully-rejected).
  Kituko kinaanza pale unapoletwa sasa ukiwa katika Lugha iliyokubaliwa ya Kiswahili, halafu wabunge, Spika na Wanasiasa wanadai kuwa UNASOMWA KWA MARA YAPILI....gOOOSH!, ni upumbavu huu! Kama Wananchi walishindwa kuusoma awali kutokana na Lugha, utasemaje kuwa unausoma kwa mara ya pili? Everything has to start afresh!...
  Hakika hiki ni kituko cha kumalizia mwaka!
  Kimsingi wamepongeza sana uamuzi wa cdm kutoka, badala ya kwamba wangebaki ndani na kurusha viti hewani!
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,563
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mkandala, kwenye mjadala huo, wamemshutumu sana Madam Speaker kwa kuplay double standards!. Nkirudi kwa mama K, kumbe hukujua anaweza kuongea ...ule?!, basi huyo uliyemsikia ndie yeye haswa, halisi!. Naomba lets spare her kwa vile ni mama wa mmoja wa members waandamizi na wamiliki wa jf, hivyo kwa heshima ya mwenzetu, naomba tumstahi mama, maana akishuka humu mwenywe, vita vyake huwa haviishi!.
   
 14. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Discussion was hot, critical and analitical minds digested what was going on in the last parliament session which shameless past the constitition bills. I like the stand of Dr Kitene who is ex- ccm. He submitted his comments by putting clear that the ccm mp's fail to stand for common good and rather stood for part's interest which is danger to the welfair of the nation and party because people have enough awareness with what is going on, their interest and the future of their nation.
   
 15. M

  Mkandara Verified User

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  sababu hii peke yake inatosha kabisa kuwasilisha kwa JK...
  Kwa Ujumbe wa CDM hawana haja ya kuongea mengi, hii inatosha kabisa..Yaani mimi nasubiri tu yatakayo ajili huko Ikulu...
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280

  Kama JF wao humjadili FF na si hoja zake.
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Kwani ukiwakilishwa Bungeni ndio wanaujadili wananchi? ni juzi juzi tu hapa tulikuwa hatujuwi bungeni kinaendelea nini, leo si bahati yetu tunarushiwa live.
   
 18. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,563
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  The Boss, huyu binti ni habari nyingine!. Alipomove toka Sunday Citizen kuhamia the Guardian on Sunday, nilimwambia it was a mistake, kama kile kipindi cha 'Kiti Moto' kilivyohama toka Channel Ten kwenda ITV.

  Baada ya muda mfupi yakamkuta yaliyomkuta, nikamuuliza kama sasa ameamini?!. Mwanzo niliamini yeye ni "mkataa pema, pabaya panamuita", kumbe sivyo, ilikuwa ndio njia ya Mungu, kumuepusha na shari, alijiondokea akaenda kupiga shule ya ukweli UK, sasa amerudi akiwa ni chuma cha pua!, huyu dada anakata issues hakuna mfano wake!. Sijua kama ndio karudi jumla au yuko likizo maana alijoin giat media team kule kule UK.
   
 19. M

  Mkandara Verified User

  #19
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Halooooo! na kwa nini wasikujadili wewe ikiwa sifa zote unazo wewe...
   
 20. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,967
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Pasco, sisi hatuji hapa kumchambua mtu kama 'mama wa mtu', tunaongelea utumbo aliongea huko mjengoni. Kuongea utumbo haijalishi kama wewe ni mama wa mtu fulani au la. Tulidhani ni mama mpenda nchi mwenzetu lakini ametusaliti kwa kushabikia, tena kwa maneno ya ajabuajabu, uozo ambao unafanywa na wasioipenda hii nchi. Tuna kila sababu ya kumwambia ukweli kwamba aliongea utumbo.
   
Loading...