Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni Aibu kwa Raisi Samia na CCM kushidwa hoja kwa kiasi hiki. badala ya kujadili hoja wanakimbilia kuwashika na kuwafungulia mashtaka wapinzani. Ni Mtanzania gani mwenye akili yake haoni yanayo...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu. Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM...
20 Reactions
87 Replies
5K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Bunda aliposimama kuwasalimia akiwa njiani kuelekea Musoma Jumanne - tarehe 22 Aprili 2025...
1 Reactions
6 Replies
573 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza leo, John Mrema amesema kuwa CHADEMA imeua ndoto za wanachama wengi waliotaka kugombea kwenye Uchaguzi ba kuongeza kuwa hana uhakika kuwa kama chama hicho kitakuwepo hadi...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
2 Reactions
176 Replies
5K Views
Ndugu zangu katika Kristo YESU. Zama zimebadilika, Kwa Sasa ni zama za Kuwawajibisha wote wanaojaribu kupandikizia watu Maneno. Ninawaomba TEC kama mtasoma Uzi Huu, kabla ya WASAFI HAWAJAFUTA...
2 Reactions
66 Replies
3K Views
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Sure Mwasanguti, amewataka wenezi wa chama hicho kuzingatia kanuni na miongozo ya CCM na kutokujihusisha na masuala ya kuwa machawa...
0 Reactions
1 Replies
409 Views
Najiuliza hili swali mara nyingi. Angekuwepo je wananchi wangemkubalia astaafu baada ya kumaliza mihula yake miwili? Je, yeye mwenyewe angekuwa tayari kustaafu na kurudi Chato huku akimtazama...
4 Reactions
56 Replies
2K Views
Adv. E. Kilatu, LLB & LLM (Const. & Admn. Law) Utangulizi Siku chache zilizopita Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam alitoa Tamko linalotishia watu kufika mahakamani ili...
4 Reactions
6 Replies
906 Views
Usiku wa mtoko wa pasaka matukio mengi yamefanyika kichawa sana :4WeirdJam: tulitegemea iwe sehemu ya kuusifu utukufu wa Mungu kwa kumtoa mwanaye wa pekee aliyetukomba kwa msalaba dhidi ya...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kinachopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi. Rais wetu mpendwa Amefika hapo alipo kiuongozi kwa Neema tu ya Mwenyezi Mungu. Amepanda na kukwea ngazi za kiuongozi kwa...
0 Reactions
9 Replies
614 Views
Huu uchawa asee yajayo yanafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja. ==== Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Nusrat Hanje ameandaa Maombi na Dua Maalum ya Viongozi wa Dini na Wazee...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu leo tarehe 22 Aprili, 2015 amefika Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Rais wa Jamhuri ya...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Kwa sasa naona serikali iko busy sana kuzalisha wazalendo wengi wawe na uzalendo kwa mtu au watu au chama,badala ya kuzalisha wazalendo kwa Taifa, naiona hatari sana kwenye hili Taifa letu hapo...
1 Reactions
7 Replies
353 Views
Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila...
2 Reactions
14 Replies
822 Views
Ni hayo tu. Kichwa kinajitosheleza. Maana kanisa limekuwa la kinafiki.
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Hii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo👇👇 Mapaka saa 6 na nusu mchana...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa amenukuliwa akisema kuwa Rais Samia Ameridhia Iliyokuwa Halmashauri ya Rufiji kupewa Hadhi ya Mji ambapo Jengo kubwa la Makao Makuu la...
7 Reactions
93 Replies
5K Views
Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, kada wa CHADEMA, Hilda Newton amesema kuwa Jeshi La Polisi wamezuia mkutano wa CHADEMA uliopangwa kufanyika kwenye soko la Kariakoo. Kwa mujibu wa Hilda, sababu...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
#HABARI Gari yenye namba za usajili T 566 CXL mali ya Philimon Mng'ong'o, Katibu Mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Mbeya mjini mkoa wa Mbeya imechomwa moto majira ya saa 10:00 usiku wa...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Back
Top Bottom