Ibada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba...
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 hakuna mtu ambaye atazuia wala kuleta vurugu katika uchaguzi huo huku Jumuiya hiyo...
Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imekionya vikali Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kuwepo kwa tuhuma za kupanga kuzuia kufanyika kwa...
Wakati watu wakiwa na shauku ya kufuatilia kesi ya uhaini inayomkubali Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini(DPP) anaweza kuja na uamuzi wa kutoendelea na kesi ya...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga ndugu Ramadhani Ally Omary (Somo) amewataka viongozi wa chama cha maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) kuwa na msimamo kwa...
Aisee watu wa type ya Tundu Lissu huwa hawazaliwi hovyo hovyo
Lissu ndo mtu sahihi sana kwa Tanzania
Wallah kama kiongozi tunaye
Katika mtu unayeweza kumuamini na ku-count on him basi ni huyu...
Mwenyekiti wa Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Ndugu Ibrahim Musiba, leo tarehe 21 April 2025 amefanya ziara maalum katika Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa , ikiwa...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ameshauri busara itumike katika kutafsiri sheria zinazohusiana na uchaguzi, ili kuondoa misuguano isiyo ya lazima kabla ya uchaguzi...
Nyinyi wanasiasa wewe ni CCM umebahatika umeshika dola haina sababu kwa kuwa wewe una dola unamuona CHADEMA na wananchi unaona ni wabaya, hii ni nchi yetu sote
Kisheria, chama chochote cha kisiasa ni legal entity. Kinaweza kufungua au kufunguliwa mashitaka kwa jina lake chenyewe (in its own right). Hivyo, ni upumbavu mtupu kuwakamata viongozi wa chama...
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amesema jana alifuatwa na muumini mmoja ambaye aliomba kuombewa ili afanikiwe kushinda ubunge
Askofu Malasusa Ametoa wito Wakristo wajitokeze kwa wingi kugombea...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwakumbusheni na kuwataarifuni ya kuwa mnapoona Lissu anatoa lugha za uchochezi,ubaguzi na kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini . Ni kwa sababu hana...
Asalam Aleykum wana JF.
Ama baada ya salamu hizo, niende kwenye hoja moja kwa moja.
Ndugu zangu, upo usemi usemao "Duniani, kitu pekee ambacho hakibadiliki, ni mabadiliko!".
Mabadiliko...
Mkurugenzi na mwanasheria wa chama kwa sasa hawana mvuto ndani ya nje ya chama.
Licha ya mwanasheria kuwa Phd from Havard University lakini ukweli katika kesi za kisiasa haziwezi. Uwasiliwashaji...
Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili.
Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni...
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM sasa wanaiogopa CHADEMA kuliko hata namna wanavyomwogopa Mungu.
Ukweli huu unatokana na ukweli kuwa, ni dhahili kuwa Watanzania wote sasa hivi wameona na wameelewa...
Katika miaka 24 ya Mwalimu Nyerere kulikuwa na kesi 3 za uhaini.
Maasi ya 1964, kesi ya Mataka, Chipaka, na Bibi Titi, na mwisho kesi ya Hatty McGhee, Eugene Maganga, na wenzao.
Lakini tukumbuke...
Friends and our Enemies,
Kama kawaida yao, maaskofu wameendelea na maigizo yao ya kujifanya kuwa wao Wana uchungu zaidi na nchi hii kuliko viongozi wowote wale wa dini.
Kinachoshangaza Episodes...
Wajasiriamali na wafanyabiashara katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Jumapili ya Pasaka ya April 20,2025 walisheherekea sikukuu hiyo pamoja na Mbunge wa Jimbo lao la Hai Saashisha Mafuwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.