Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukweli siku zote una speed ya kobe lakini haujawai kushindwa kufika mwisho wa safari. Ndivyo ilivyo kwa utawala wa awamu ya 6 wanatundanya na kutuona labda hatuna akili lakini kuna siku ukweli...
7 Reactions
44 Replies
434 Views
Wanabodi, Niko hapa ukumbi wa Four Points by Sheraton, nikiwaripotia live mubashara, Kikao Kazi kati ya Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini kupitia...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, John Heche Ni Muongo sana Anapokuwa Jukwaani, anakuwa anatoa sauti kubwa huku akiongea takwimu za uongo uongo na Uzushi uzushi tu akifikiria anaongea na kuzungumza na...
8 Reactions
180 Replies
2K Views
Manispaa ya Ilemela Mwanza, Kata ya Ilemela kuna Mtendaji anakusanya michango kwa ajili ya kufanikisha shughuli za mwenge, wanapita katika ofisi na taasisi mbalimbali kuomba michango hiyo. Sasa...
0 Reactions
1 Replies
120 Views
Huku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari. Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko...
3 Reactions
8 Replies
200 Views
Ikiwa Serikali ilijuwa kwamba imenunua meli mbovu ambayo mda wote ingezama lakini iliacha ikaendelea kutumika Hadi ilipopinduka na kuua maelfu ya watu,lengo la kufanya haya ilikuwa ni nini hasa...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na maofisa wote wa Jeshi la Polisi wanapaswa kutekeleza Katiba na sheria za nchi, badala ya kufuata maelekezo ya viongozi ambayo...
1 Reactions
5 Replies
219 Views
Ungelidhani kweli ni mtu kumbe ilikuwa njaa na si dhamiri kama alivyo nabii Lissu -- Video hii inatoka kwenye mdahalo wa mubashara (live debate) uliorushwa na kituo cha televisheni cha Star...
3 Reactions
8 Replies
266 Views
RUVUMA KUPAA: NDEGE ZA ATCL KUONGEZWA, VYUO VIKUU VIWILI KUANZA OKTOBA,MKANDARASI BARABARA YA NJOMBE KUKABIDHIWA MRADI Ongezeko kubwa la abiria wanaoingia na kutoka Songea mkoani Ruvuma sasa...
0 Reactions
7 Replies
154 Views
Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu...
43 Reactions
195 Replies
4K Views
Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman? Gharama ya...
3 Reactions
9 Replies
308 Views
Dangote hapendi usiri usiri na ndiyo maana alisema waziwazi gharama za ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta lakini serikali ya Tanzania haipendi uwazi maana wanataka rushwa. Tumejaa watu ambao...
11 Reactions
27 Replies
372 Views
Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani. Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi...
2 Reactions
19 Replies
437 Views
1. Je Yuko hai? 2. Kama Yuko hai anafanywaje? Kula na kulala milele au ? 3.Je anayemtunza kama Yuko hai Huwa anaongea nae? 4. Au anampa Chakula na kuondoka? 5. Je kama Yuko hai anawaza nini...
9 Reactions
78 Replies
1K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali iko tayari kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kiongozi au mtumishi yeyote wa umma atakayebainika kufanya matumizi mabaya ya rasilimali za...
0 Reactions
6 Replies
171 Views
Tuna wanasiasa wengi sana wapo kwa maslahi ya matumbo yao tu lakini wana support siasa ambazo moyoni wenyewe wanazipinga. Moja yao ni Prof. Mkumbo na Katambi. Wote walikuwa wameongea sana huko...
3 Reactions
12 Replies
245 Views
Hamjambo wote! Kama swali linavyoeleza hapo juu. Mwenye Majibu ya haki aje hapa na atoe majibu. Pili, ni maeneo gani yaliyopo Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar? Maana GenZ wanasema...
10 Reactions
278 Replies
4K Views
Tunafahamu kwa sasa kama nchi hatuzalishi zaidi ya megawatts 5000 nikimaanisha megawatts tunazozalisha ni kama 4000+ hizi ni ndogo sana KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA KUPITIA MIRADI MITATU AMBAYO...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka Kikatiba ya kutoa Amri kwa Majeshi au mkuu wa Jeshi la Polisi. Akizungumza leo Jijini Dar es salaam, Madeleka amesema...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
  • Redirect
Ni sifa au dongo?πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ "...Natoa PONGEZI kwa Serikali kwa kugundua MIPANGO MIBAYA dhidi ya nchi yetu. Ili kuendelea KUIMARISHA USALAMA nchini, naiomba Serikali IWALIPE VIJANA FEDHA NYINGI ILI...
2 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…