Katika mazingira ya kisiasa ya sasa, ni muhimu kutambua kwamba chama cha siasa kinapokuwa na nguvu kubwa katika kuendesha serikali, kuna hatari kubwa inayoweza kutokea.
Muundo wa chama na muundo...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka upinzani kutozibeza Tume za Uchaguzi, INEC na ZEC, na kudai si huru wakati Chadema na ACT Wazalendo vimekuwa vikiongeza idadi ya viti vya Udiwani, Uwakilishi...
Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi (CCM), Dkt Emmanuel Nchimbi amewataka Wabunge wenye nia ya kugombea watambuane na yeyote atakayeshinda au kushindwa amuunge mkono mwenzake.
Dkt Nchimbi...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitamani ACT Wazalendo kisusie uchaguzi, ili waweze kushinda kwa urahisi, lakini ACT...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameeleza kuwa anazo taarifa za baadhi ya asasi za kiraia na vyama vya siasa vinavyowapeleka Vijana wa Kitanzania...
NIMEAMBIWA na mizimu ya kwetu kyaibumba niwambie yakuwa viongozi wa Dini hawaongei wakiwa KWENYE MILANGO ya Gest house Bali wanaongea wakiwa KWENYE Madhabau ambayo hata wao watawala hawawezi...
Nikiwa Chamazi Wafanyabiashara wenzangu kutoka DRC wamenipigia simu wakiomba niwasaidie kupata Hotel ya kujihifadhi, Wamelalamika kwamba Hotel zote za Kariakoo zimejaa, na kwamba kuna Wageni wengi...
Nchi nyingi nazani zote Mambo ya Vilabu vya mpira sana yako ngazi za vyama vya Soka vya nchi husika ingawa hata vyama vyama vya soka navyo havihangaiki sana na Vilabu bali timu ya Taifa kwa sababu...
Nimeona taarifa ya projection ya ukuaji wa kiuchumi wa nchi yetu inaonyesha tunakaribiwa kwa karibu sana na Uganda lkn tukiendelea kuachwa mbali sana na kaka zetu wakenya.
Sisi ni mabingwa wa...
Rais naisi na Nina amini wewe na watu wako mna amani na HAKI mnayo lakini je
Sisi raia tunatawaliwa kwa haki?
Tunataka haki sio amani amani sie tunayoo
Vyama 12 vya siasa katika Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma vimetangaza kwa pamoja msimamo wao wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, wakipinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Naomba tu kuelimishwa kuhusu utajiri uliopitiza wa Mitume na manabii wa bongo
Papa ni Mkuu wa Kansa Katoliki na Nchi ya Vatican lakini utajiri wake ilikuwa ni USD 100 tu
Yaami Papa anayefanya...
WAZIRI KOMBO AWASILI NCHINI VIETNAM KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Hanoi, Vietnam kwa ziara...
Maana uongozi mpya wa chadema umewakatisha ndoto, matamanio na matarajio yao ya kiasia waliojiandaa na kuvumilia kuyatimiza kwa muda mrefu sana ndani ya chadema.
Leo hii ghafla, na kwa makusudi...
Bi sagrada ni kiongozi wa kitaifa ! Ni mwanamke aliyepokea kipigo kitakatifu mbele ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA na ujumbe wake ndani ya eneo la ukumbi wa mikutano hapo njombe mjini !!
Bi...
Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya ndugu wanaJF. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya CCM kumpigia Mbowe kelele kwa muda mrefu kwa sababu za kuchakachua...
Mpka sasa hivi CCM wakitaka wabaki madarakani wazingatie yafuatayo.
1. Waufute mfumo wa kutumia CHAWA kwasababu wamekinaiwa na wananchi na hawapendwi tena kwahiyo hawana ushawishi no more.
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.