Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zilitumika South Afrika na Marekani na kusaidia kuiambia dunia unyama uliokuwa unaendelea. Watu wameumwa na mbwa Kisutu, wako kwenye sindano za siku tano za kichaa cha mbwa. Vyombo binafsi...
1 Reactions
6 Replies
604 Views
Jaza hotuba ilivyo sema halafu sikiliza jawabu ,Chadema ombeni msamaha ujuwaji wenu unamuumiza mwenzenu .akubali alikosea maana unapoipeleka maneno ya Mheshimiwa Lisu ,jawabu unapata ni kosa...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Maana chadema is no more, sote ni mashahidi. Na wanachadema wote nchini wamekata tamaa kabisa, na wanajuta kupindukia kuchagua uongozi uliokosa mipango na maono ya kisiasa na kusababisha kuangusha...
-2 Reactions
28 Replies
1K Views
Askofu kibwetere alikuwa na wafuasi wake waliokosa maarifa na kumtegemea yeye kwa kila asemalo bila kupima madhara yake mwisho wa siku akawafungia kanisani na kuwachoma moto wakaangamia kwa kukosa...
14 Reactions
87 Replies
3K Views
Leo siandika kama mtu mstaarabu... naandika kama raia aliyekasirishwa Nchi hii imegeuzwa ya familia chache huku viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kijinga Unajua kinacho umiza zaidi? bado...
3 Reactions
3 Replies
506 Views
Bro, sis, listen up! Ninasema haya kwa hasira, straight from the heart, no sugarcoating. Vijana wa Tanzania, bado hamjaimaliza shule! Msidanganyike! Kusoma sio tu kupata vyeti, kusoma ni...
3 Reactions
12 Replies
542 Views
Na Rev. Eliona Kimaro Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana Hapatakuwa na amani kama hakuna haki, ukiona amani ipo mahali ujue ni kazi kubwa ya haki...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakili Jebra Kambole kupitia ukurasa wake wa X anaandika; "Polisi wamefika nyumbani kwa wakili Tundu toka Usiku wanataka kupekua uhaini wa maneno! Tumieni akili kidogo unaendaje kupekua nyumbani...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
RAIS SAMIA AVUTIA UWEKEZAJI WA TRILIONI 1.4 - MADINI ▪️Mradi wa ujenzi wa mgodi kugharimu Trillioni 1.4 ▪️Dhahabu ya kwanza kuanza kuzalishwa robo ya kwanza ya Mwaka 2027 ▪️Rais Samia apongezwa...
0 Reactions
6 Replies
564 Views
Baada ya kuufutilia mzozo huu ambapo siyo siri pana wengi wamepoteza maisha, wengi wamepotezwa na sasa waziwazi wengi wameumizwa na wengine akiwamo TAL, bayana wapo magerezani: Kwamba tatizo ni...
12 Reactions
93 Replies
4K Views
Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na...
38 Reactions
185 Replies
16K Views
Kupitia ukurasa wake wa X, mjumbe wa kamati kuu Chadema Godbless Lema ameanduka: "Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu...
24 Reactions
55 Replies
4K Views
Ndio sababu Tanzania tunataka viongozi wanaohimiza utulivu na Amani Ahsanteni sana
2 Reactions
10 Replies
338 Views
Kitendo cha Jeshi la Polisi kupiga wafuasi wa Chadema na wengine kutupwa porini Mabwepande baada ya kujeruhiwa na kuvunjwa miguu na mikono kamwe hakiwezi kuiacha nchi salama! Pia soma: Pre GE2025...
6 Reactions
79 Replies
3K Views
Nimeona clip ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wasira katika akaunti ya Godbless Lema kwenye mrandao wa X ambapo Wasira anasikika akisema maneno haya: "CCM haitatoka madarakani mpaka Yesu...
14 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimekutana na aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji wa mwaka 2024 ambaye ni mkuu wa shule mojawapo katika mkoa wa tabora, kwa masikitiko makubwa ameeleza namna viongozi wa...
0 Reactions
2 Replies
337 Views
1. CCM Haijakidhi Mahitaji ya Wananchi Wengi Kwa muda mrefu, CCM imekuwa madarakani, lakini maisha ya Watanzania wengi bado yamejaa changamoto kubwa: Ukosefu wa Ajira: Vijana wengi, ambao ndio...
1 Reactions
7 Replies
701 Views
Katika Uislamu, kuna hadithi maarufu sana inayosema kuwa kiongozi muadilifu atapata thawabu kubwa Siku ya Kiyama. Mtume Muhammad (SAW) amesema: "Watu saba watapata kivuli cha Mwenyezi Mungu siku...
1 Reactions
5 Replies
368 Views
Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa === Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni...
1 Reactions
9 Replies
683 Views
Kutana na 𝐌𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈 Bw. Masanja Mkandamizaji akizunguka nchi nzima kukuonesha namna ambavyo 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 yetu inapendeza. Masanja anakuonesha miundombinu ya barabara, madaraja, vituo vikubwa...
1 Reactions
6 Replies
793 Views
Back
Top Bottom