Rais Samia, Tanzania amani ipo sisi tunaka haki

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,373
Reaction score
12,020
Rais naisi na Nina amini wewe na watu wako mna amani na HAKI mnayo lakini je

Sisi raia tunatawaliwa kwa haki?

Tunataka haki sio amani amani sie tunayoo
 
Hakuna haki duniani wewe bwege. Haki utapata mbinguni ukishakufa.

Kama mimi mwongo hama Tanzania nenda nchi yeyote unayoitaka, haki huwezi kupata
 
Napendekeza Dikteta Samia kukamatwa mara moja na kupelekwa sentro.
 
Neno haki lazima liwe adui kwake Kwa sababu Hana uwezo wa kiuongozi hivyo maguvu inabidi yatumike ili aendelee kulinda kiti..
 
Hakuna haki duniani wewe bwege. Haki utapata mbinguni ukishakufa.

Kama mimi mwongo hama Tanzania nenda nchi yeyote unayoitaka, haki huwezi kupata
Bwege Bahasha wako anae kushenyenta
 
Rais naisi na Nina amini wewe na watu wako mna amani na HAKI mnayo lakini je

Sisi raia tunatawaliwa kwa haki?

Tunataka haki sio amani amani sie tunayoo
Hili ni tatizo la wanaccm wote, wao wanaamin kudai haki ni uvumiifu wa aman. Damn bogus treaty guys!!
 
Back
Top Bottom