Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan ameweka mkazo mkubwa kwenye kuimarisha sekta ya kilimo (sekta inayoajiri 60% ya watanzania), hatua inayojenga msingi wa maendeleo jumuishi ya taifa...
1 Reactions
11 Replies
744 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2025/2026 ya kiasi cha shilingi...
1 Reactions
0 Replies
358 Views
Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere Hoja za ufisadi katika ujenzi wa miradi ya maendeleo Arusha iliyotolewa na Mrisho Gambo haitakiwi kujibiwa na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa au Mkuu...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
“Si kwamba namtetea Makonda lakini katika sakata lao hili, Gambo ndie anaemchokoza Makonda, Gambo ana ugomvi na kila kiongozi anayekuja Arusha, alikuwa na ugomvi na viongozi waliopita wakina John...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakati kesi za Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu zikiendelea leo katika Mahakama ya Haki Mkazi Kisutu Dar es Salaam, askari wa Jeshi la Polisi wakiwa kwenye magari manne wamezingira nyumbani...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Huu unyama unatisha sana CHADEMA msikae kimya Chadema kusanyeni video zote mnayoteswa na Police, zipelekeni Human Rights Watch na Amnesty International ili dunia ijue
21 Reactions
82 Replies
3K Views
Waraka mkali na kinyang'anyiro cha Ubunge Arumeru Magharibi warushwa kwenye makundi sogozi. Bado miezi michahe pakuche.
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Katika kipindi cha Medani za Siasa kinachofanywa na Edwin Odemba (Chief Odemba) na kurushwa na Star TV, Meya wa jiji la Arusha aliulizwa kuhusu malalamiko kwamba Mbunge Gambo haudhurii vikao na...
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Ni kuhusu maana halisi ya Uasi na Uhaini. Mnalichukulia kwa urahisi neno hilo ambalo lina adhabu kubwa duniani. Adhabu ya Kifo kisheria. Maneno ya Bagonza yaliyo toholewa kutoka katika andiko...
5 Reactions
65 Replies
2K Views
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, kwenye ziara yake katika mkoa wa Ruvuma wilayani Tunduru ambapo amesema kuwa "Kama ACT Wazalendo wangesusia Uchaguzi wa 2025, CCM...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
UJUMBE WA MWAKA MPYA 2025 KWA VIJANA WENZANGU WA KITANZANIA Na Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu vijana wenzangu! Tukiwa tunaanza safari ya mwaka mpya wa 2025, nipende...
2 Reactions
2 Replies
987 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu. Kesi hiyo imeahirishwa kwa...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
MOSI, Magereza mbalimbali nchini naamini wameanza kukarabati vyumba vya kulalia wafungwa na kuboresha miundo mbinu ya kuwadhibiti wanaoweza kuhatarisha usalama wa mazingira ya wafungwa sugu na...
0 Reactions
3 Replies
626 Views
1. Tunachangamoto ya kibiashara baina yetu na malawi, inashindikana vipi kuweka hali hiyo sawa ? Sio busara kabisa kukomoana ili hali wanaoumia ni wenye mazao na maskini. 2. Kesi za mahakamani...
0 Reactions
4 Replies
378 Views
Wakuu, Mjadala wa wazi kwa raia wa tabaka zote kuhusu msigano wa 'Haki' na 'Amani' katika jamii Mfalme mkuu wa Uingereza (The Great Alfred of Anglo-Saxons) aliwahi kudokeza hivi RIGHT AND PEACE...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Haya yanayoendelea yaani yanatuchefua watanzania hivi mfumo wa ulinzi na usalama mnakaa vikao kweli na kujadiri Nini Cha kufanya katika taifa? Najiuliza Mwenyekiti wa vyombo vya ulinzi na usalama...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu-Momba JOTO kisiasa katika majimbo yaliyopo mkoani Songwe limeamza kupanda baada ya Mbunge wa Tunduma, David Silinde kudaiwa kuandaa vijana kumzuia mbunge wa Momba, Condester...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Shekhe Mmoja huko Mtandano amekosoa baadhi ya Viongozi ambao ni Waislam wanaCCM wanaompa sifa mpaka wanakufuru Shekhe Huyo ameuliza mbona Dr Samia Suluhu Hassani alikuwa kiongozi tena Makamu wa...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna. Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Safari zenu za ukimbizi na kufanya kazi nje ya nchi zimewapa kiburi na sasa mnategemea nchi za kimagharibi kuwasaidia katika kupata malengo yenu. Ila kwa sasa itakuwa mumechelewa sana sana...
0 Reactions
9 Replies
653 Views
Back
Top Bottom