Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

My Take Nakubaliana kabisa na Paulo ,hao wanaojiita Maaskofu kazi zao ni porojo za Kisiasa kushabikia Wapinzani huku wamemsahau Yesu. Wakidhibitiwa watasema uhuru wa dini unainhiliwa wakati...
8 Reactions
104 Replies
4K Views
Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k Yaani ni kama hakuna...
15 Reactions
80 Replies
3K Views
Unaweza ukadhani ni maskhara lakini Lisu ni kama hayuko peke yake 2020 ilikuwa akatwe na NEC pale Dodoma lakini shujaa akaokoa jahazi dakika za mwisho Mbowe naye baada ya kukataa usuluhishi wa...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
Maana wenye makanisa hayo juu hawajaonekana kukerwa na kinacho fanywa, nadhani inabidi mjitafakari dini yenu inaamini katika nini?au mnathamini fedha na mali na sadaka zao tuu kuliko utu wao?
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Kumbuka, umekuwa ukijulishwa vitu vingi; umekuwa ukipewa taarifa nyingi kabla ya wewe kutenda au kutendewa chochote. Umejiaminisha kuwa hakuna kitu chochote kibaya au kizuri kitakachokupata bila...
0 Reactions
3 Replies
418 Views
Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi. Hata hivyo...
20 Reactions
468 Replies
24K Views
Taifa ambalo raia wengi hasa vijana hawana ajira, umaskini ni wa kiwango cha juu huku baadhi wakiwa wamepita mafunzo ya kijeshi na kubaki mitaani, ni Taifa delicate sana. Kwa msingi huo, kuna...
1 Reactions
3 Replies
346 Views
Niliwekeza kwenye Samia Account kupitia CRDB na masharti yalikuwa ni kupata asilimia 30 kila baada ya miezi mitatu. Jana nimeenda kuangalia salio langu kama kweli wameniwekea hiyo asilimia 30 ya...
3 Reactions
11 Replies
977 Views
Hawa watu ambao kila siku wamekuwa wakijifanya mabingwa wa kuitetea CHADEMA kwenye mitandao—akina Madenge, Sativa, Mwita, Ntobi na wengine—leo wamekosekana kabisa mahakamani kwenye kesi ya Lissu...
1 Reactions
13 Replies
627 Views
Wananchi wa Tanzania wametupwa ununio, wakivuja damu baada ya kupigwa kikatili na polisi, wakiwa mahakamani Kisutu kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Hivi ndivyo serikali...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika. Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana. Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.?
0 Reactions
3 Replies
256 Views
Si semi kwa kumchukia inawezekana serikali inamkamata mtu aliye kuwa na kasoro kwenye akili. ,Utaalamu wa kidaktari unakubali kuwa kila binadamu ana uwendawazimu kwa kiasi fulani,hakuna asiekuwa...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Niweke wazi kwanza, mimi sio timu Tawala wala Tawaliwa bali timu maendeleo. Kila kukicha tunaona makundi yanaibuka yanayosema kocha wetu anaupiga mwingi hadi unamwagika lakini bahati mbaya ni...
5 Reactions
10 Replies
702 Views
NASIKILIZA KIONGOZI MMOJA TU.EKUBALIANA M NIBAKI NDNA YA PFISI NIWAPE UPDATE NA XXXX AMEKIMBILIA SEHWMU FLAN AKITOA TAARIFA USHAURI TU TUSIWATUMIE WANANCHI VIBAYA M NATAMAN KUSIKIA KUNDI KUBWA...
1 Reactions
15 Replies
679 Views
Huwezi kutuhumiwa na hapo hapo ukajichunguza na kujihukumu. Gambo alitoa shutuma nzito za ubadhirifu dhidi ya wizara ya TAMISEMI, ilitosha kwa spika wa bunge kumuagiza CAG kwenda kupitia matumizi...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abduhabib Mwanyemba, amewataka viongozi wa dini na baadhi ya taasisi nchini kuacha kuingilia masuala ya siasa...
0 Reactions
4 Replies
455 Views
Baadhi ya waandishi wa habari wamedai kuzuiliwa kuingia eneo la Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi zinazomkabiki Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, leo AprilI 23, 2025. Chanzo cha...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa. Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
-2 Reactions
23 Replies
1K Views
Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji...
4 Reactions
206 Replies
5K Views
Back
Top Bottom