La Padri Kitima Linategua Kitendawili Cha Muda Mrefu.

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,169
Reaction score
60,527
Bandiko kutoka X

LA PADRI KITIMA LINATEGUA KITENDAWILI CHA MUDA MREFU

Walianza kuwamwagia tindi kali kina Sheikh Soraga kwa lengo la kufitinisha na kuwagawa Wazanzibari. Wakamuua Padri Mushi Zanzibar, wakachoma moto Makanisa ya Zanzibar ili wafitinishe baina ya Watanganyika na Wazanzibari lakini kwa umuhimu mkubwa fitna baina ya Waislamu na Wakristo. Kusudi kuzima madai ya Wazanzibari kuhusu Muungano.

Ni watu wale wale ndio walio vamia kwenye Misikiti ya Zanzibar kuwakamata na kuwabambikia kesi za uwongo (kesi za ugaidi) ambazo zilisababisha wawawekwe kizuizini kwa uonevu, kinyume na sheria viongozi wa UAMSHO kwa karibu miaka 10 bila ya kuwakuta na hatia.

Hawa ni watu wale wale waliompiga risasi Sheikh Ponda, ndio wale wale waliompiga risasi Tundu Lissu. Ni watu wale wale walio wateka na kuwapoteza kina Ben Saanane na kina Soka na wengine.

Mwandishi Sammy Awami anawaeleza kuwa ni watu wenye ujasiri mkubwa. Naam ni kweli kwa sababu wao hufanya matukio kisha hujichunguza na baada ya hapo hakuna ripoti ya maana inayokuja huendelea kufanya ukatili wao.

Wala usidhani wanakereka na #NoReformsNoElection tu? Bali wanakereka zaidi na ile sauti ya wale wanaosema huu ni wakati wa kudai Tanganyika yao. Hili la muungano linawakereketa rohoni.

Alhamdulillah! Namshukuru Allah kuwa mambo haya sasa ameanza kuyabainisha hadharani ndugu zetu wa Tanganyika wameanza kuisikia na kuiona sura halisi ya ADUI yetu nyoka wa kijani. Inshaallah tutafika.
 
NYUMA YA KIFO CHA

Christopher Mtikila KUNA JAMAA MAHARUFU SANA NA KUNDI LAKE ...ANAITWA,ROSTAM AZIZI ...AWA WALIMUUA HADI MZUNGU ALIYE KUJA KUCHUNGUZA MAMBO YA UJANGILI NCHINI KWA KUMPIGA NA RISASI KWENYE HELICOPTER.​

NYUMA YA KIFO CHA MTIKILI KUNA JAMAA MAHARUFU SANA NA KUNDI LAKE ...ANAITWA,ROSTAM AZIZI ...AWA WALIMUUA HADI MZUNGU ALIYE KUJA KUCHUNGUZA MAMBO YA UJANGILI NCHINI KWA KUMPIGA NA RISASI KWENYE HELICOPTER.
Hata lisu alikamatwa kwa maelekezo ya ROSTAM.Baada ya kuhoji mambo Ya makaa ya mawe huko kusini
 
Pia lissu alikubali kutumiwa kipumbavu na huyo huyo Rostam azizi dhidi ya JPM hivyo kuna code ya maagano ya siri nadhani Lissu kayakiuka ndiyo maana si chadema si lissu wala mbowe wanathubutu kumtaja Rostam azizi ovyo ovyo ....Lissu alikubali kutumiwa na ccm waliokuwa wanampinga JPM ..leo ilo kundi ndiyo lipo ikulu na kuwaandama chadema urafiki wao umekufa
 
Pia lissu alikubali kutumiwa kipumbavu na huyo huyo Rostam azizi dhidi ya JPM hivyo kuna code ya maagano ya siri nadhani Lissu kayakiuka ndiyo maana chadema si lissu wala mbowe wanathubutu kumtaja Rostam azizi ovyo ovyo ....Lissu alikubali kutumiwa na ccm waliokuwa wanampinga JPM ..leo ilo kundi ndiyo lipo ikulu na kuwaandama chadema urafiki wao umekufa
Walimtumia vipi?
Fafanua ili tujue
 
Bandiko kutoka X

LA PADRI KITIMA LINATEGUA KITENDAWILI CHA MUDA MREFU

Walianza kuwamwagia tindi kali kina Sheikh Soraga kwa lengo la kufitinisha na kuwagawa Wazanzibari. Wakamuua Padri Mushi Zanzibar, wakachoma moto Makanisa ya Zanzibar ili wafitinishe baina ya Watanganyika na Wazanzibari lakini kwa umuhimu mkubwa fitna baina ya Waislamu na Wakristo. Kusudi kuzima madai ya Wazanzibari kuhusu Muungano.

Ni watu wale wale ndio walio vamia kwenye Misikiti ya Zanzibar kuwakamata na kuwabambikia kesi za uwongo (kesi za ugaidi) ambazo zilisababisha wawawekwe kizuizini kwa uonevu, kinyume na sheria viongozi wa UAMSHO kwa karibu miaka 10 bila ya kuwakuta na hatia.

Hawa ni watu wale wale waliompiga risasi Sheikh Ponda, ndio wale wale waliompiga risasi Tundu Lissu. Ni watu wale wale walio wateka na kuwapoteza kina Ben Saanane na kina Soka na wengine.

Mwandishi Sammy Awami anawaeleza kuwa ni watu wenye ujasiri mkubwa. Naam ni kweli kwa sababu wao hufanya matukio kisha hujichunguza na baada ya hapo hakuna ripoti ya maana inayokuja huendelea kufanya ukatili wao.

Wala usidhani wanakereka na #NoReformsNoElection tu? Bali wanakereka zaidi na ile sauti ya wale wanaosema huu ni wakati wa kudai Tanganyika yao. Hili la muungano linawakereketa rohoni.

Alhamdulillah! Namshukuru Allah kuwa mambo haya sasa ameanza kuyabainisha hadharani ndugu zetu wa Tanganyika wameanza kuisikia na kuiona sura halisi ya ADUI yetu nyoka wa kijani. Inshaallah tutafika.

Nyoka wa kijani hanaga sumu
 
Attachments

  • FB_IMG_1514991328593.jpg
    FB_IMG_1514991328593.jpg
    26.3 KB · Views: 18
Pia lissu alikubali kutumiwa kipumbavu na huyo huyo Rostam azizi dhidi ya JPM hivyo kuna code ya maagano ya siri nadhani Lissu kayakiuka ndiyo maana si chadema si lissu wala mbowe wanathubutu kumtaja Rostam azizi ovyo ovyo ....Lissu alikubali kutumiwa na ccm waliokuwa wanampinga JPM ..leo ilo kundi ndiyo lipo ikulu na kuwaandama chadema urafiki wao umekufa
🚮🚮🚮
 
🚮🚮🚮
Kamuulize lissu kwa siri atakuambia ndiyo maana lissu kakataa ushirika na ABDUL amjiulizi kwa nini adbul wa samia ndiye aliye taka kumpa rushwa lissu na samia alitoka mbio kumtizama lissu hospital nairobi...LISSU ALIKATAA KUTUMIKA MARA YA PILI.
 
Back
Top Bottom